Watanzania tutumie JamiiForums badala ya Facebook, TikTok, Instagram na mitandao mingine ya Kijamii

🀝🀝🀝
 
Hapo kwenye kupewa uhuru wa kuchangia hoja siyo kweli, JF huo uhuru HAUPO ukilinganisha na hayo majukwaa mengine.
Humu mod anaweza kuamua tu kufuta uzi au kufunga akaunti ya mtu bila sababu! Hayo majukwaa makubwa Duniani huwezi kukutana na huo utoto.
 
Usipofuata Sheria,kanuni na Sera za jf lazima uzuiliwe, Safi Sana
Hapo kwenye kupewa uhuru wa kuchangia hoja siyo kweli, JF huo uhuru HAUPO ukilinganisha na hayo majukwaa mengine.
Humu mod anaweza kuamua tu kufuta uzi au kufunga akaunti ya mtu bila sababu! Hayo majukwaa makubwa Duniani huwezi kukutana na huo utoto.
 
Sasa unatuandikia watumiaji wa jf. Kaandike huko fb, ig,X ili wajue kuna jf ili wajiunge siyo kutuandikia watumiaji wa jf kwamba tutumie jf!
 
Kwaiyo mdogo angu kutumia JF kunakufanya ujione matured mwenyewe? πŸ˜‚ πŸ˜‚
Nachokifahamu mimi mtandaoni utapata contents kulingana na unachopenda, unapenda page za udaku utaletewa udaku, unapenda makalio utakuwa recommended kwa pages za makalio,
Watu wanajifunza vitu vingi wanaconnect na outside world kupitia hiyo hiyo mitandao.
Ukija humu pia unakutana na watu wanaomba ushauri jinsi ya kutembea na wake za watu, mwengine atakwambia anataka kudate na kaka yake, mwengine ataanzisha uzi anadiscuss waislam wanakula vitumbua 32 n.k sasa sijui point yako ya kuona JF ina upekee au ni bora kuliko mitandao mingine ni ipi?
Sikatai JF ni miongoni mwa platforms nzuri lakini kusema hizo nyingine hazina maana hapo umefeli kamanda.
Binafsi natumia Facebook, Instagram, reddit, X, JF na platforms nyingine kibao muda wote ni kuswitch tu kucheki yanayojiri na kushare contents.
Kiufupi hii ni Pumba πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
kuna kamentality kamekuwepo watu kujiona matured, intellectual na kadha wa kadha wanapotumia JF. Kiufupi mimi naonaga ni utoto
 
Huna ulijualo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…