Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Hisia ,chuki na mihemko vikitawala mambo mengi sana huwa hayaendi sawa.
Ripoti za CAG zinatolewa, madudu mengi yanaonekana, pesa nyingi zinaliwa na kupotea.
Kwa sasa hali ilivyo utapiga mtoto wako au ukifanya tukio ambalo ndilo linavuta hisia za wajinga wengi na welevu wachache hapo haki itatendeka huku fisadi akiachwa anadunda mitaani.
Ufisadi hauna tofauti na uuaji, unyanyasaji na ulawiti.
Watu wanakufa sababu ya mpumbavu mmoja asiyejali maisha ya watu na kuwa na utu kakwapua ma bilioni.
Fisadi inatakiwa aimbwe kila sehemu, meme kila sehemu na achukiwe popote atakapo onekana.
CHADEMA ya Slaa walikuja na list of SHAME pale Mwembeyanga ndivyo inavyotakiwa .