Watanzania, tuuchukie ufisadi kama tunavyochukia matukio mengine. Mafisadi hawajawahi kuwa Marafiki wa Tanzania

Too personal
How come akemee UFISADI wakati yeye mwenyewe na kitaasisi chao wanafanyia watu UFISADI na UTAPELI,kama mtahiniwa alisafiri kutoka Dar mpaka Geita na kuishia kulala stendi ya mabasi nia ahudhurie Usaili kesho yake ambao ni Usaili hewa huoni kama ni UFISADI huo??kabla hajakemea na kutaka kutoa kibanzi cha UFISADI kwenye jicho la mwingine ni vema aanze kukemea na kuondoa Boriti la UFISADI kwenye Taasisi yao ya kitapeli ya Wajja Hospital
 
Kwani ilikuwaje mkuu mbona uko kama mtoto ? Usaili kuna kupata na kukosa umekosa tulia njaa zako ndio zilikusafirisha , pili hicho kituo kama ni cha binafsi na wana mtu hawezi ita interview ni wataajiri tu uwe una tumia akili nilipita kwenye tangazo lao umeandika mambo mengi sana .Ugumu wa maisha usifanye usumbue watu ,kama hujaajiriwa jiajiri , ungekuwa unatukana taasisi yangu ningekushitaki kabisa .
 
Fikra mbadala ni wewe na wenzio mkatae kuwa chawa wa mafisadi.
Gentleman,
ni vema kurilax ama kukaa kimya kabisa, ikiwa umefikia ukomo wako wa mwisho wa tafakuri juu ya mambo muhimu na mazito sana ya kitaifa hususani yaliyokulemea ufahamu, kuliko kuendeshwa na dhana za potofu sana unyumbu au uchawa ambazo completely ni useless, na zisizokua na impact yeyote kwenye mageuzi au maendeleo ya mtu au watu katika eneo mahalia 🐒
 
Hayo ndio chanzo kikuu cha matatizo yetu kama taifa na kama waafrika,iwapo kwako unaoni sii tatizo huna sababu ya kutumia nguvu zote hizo kuhalalisha hayo.
 
Kwani ilikuwaje mkuu mbona uko kama mtoto ? Usaili kuna kupata na kukosa umekosa tulia njaa zako ndio zilikusafirisha , pili hicho kituo kama ni cha binafsi na wana mtu hawezi ita interview ni wataajiri tu uwe una tumia akili nilipita kwenye tangazo lao umeandika mambo mengi sana .Ugumu wa maisha usifanye usumbue watu ,kama hujaajiriwa jiajiri , ungekuwa unatukana taasisi yangu ningekushitaki kabisa .
Eti ungenishtaki,kwa akili zipi ulizonazo??wakati naingia Utumishi wa Umma mwaka 1998 nadhani ulikuwa kiunoni kwa Baba yako,kwa kifupi sina shida ya Ajira,isipokuwa kwenye ukweli lazima usemwe vitaasisi vya kitapeli kama hiki cha Wajja Hospital viache kusumbua watu
 
Hayo ndio chanzo kikuu cha matatizo yetu kama taifa na kama waafrika,iwapo kwako unaoni sii tatizo huna sababu ya kutumia nguvu zote hizo kuhalalisha hayo.
kwanza kabisa nakusihii ujitenge na kuacha upotoshaji wa wazi zazi.

hakuna matatizo yote yote nchini, iwe ni kisiasa, kiuchumi wala kijamii. Nchi ni tulivu, ya amani na kwakweli usalama ni wa kiwango cha juu sana.

kama una makasiriko binafsi, hilo linabaki kua tatizo binafsi. ni vema kutafuta ufumbuzi binafsi.

Infact,
hakuna haja kubabaika kuhalalisha chochote wala kutumia nguvu kutetea chochote. Mambo ni bayana hadharani mchana kweupe.

wala rushwa wanachukuliwa hatua na kuwajibishwa bila mbambamba yoyote gentleman 🐒
 
Mtaishia kubwatuka tu,kuna huy mu iran wa igunga anawatafuna tu.
Mpk mje mgundue mshaliwa.
Mkataba mingine na Iran umeandikwa.
Nyie mnapiga kelele hapa
 
kwanza kabisa nakusihii ujitenge na kuacha upotoshaji wa wazi zazi.

hakuna matatizo yote yote nchini, iwe ni kisiasa, kiuchumi wala kijamii. Nchi ni tulivu, ya amani na kwakweli usalama ni wa kiwango cha juu sana.

kama una makasiriko binafsi, hilo linabaki kua tatizo binafsi. ni vema kutafuta ufumbuzi binafsi.

Infact,
hakuna haja kubabaika kuhalalisha chochote wala kutumia nguvu kutetea chochote. Mambo ni bayana hadharani mchana kweupe.

wala rushwa wanachukuliwa hatua na kuwajibishwa bila mbambamba yoyote gentleman 🐒
Sawa hata mbuni waonapo hatari wanachimbia kichwa mchangani huku kiwiliwili kikiwa hakina pakwenda.
 
Ufisadi umekuwa sehemu ya tunu ya taifa letu. Ndio maana pamoja na serikali kuwa na viongozi wasomi wengi hawana uwezo wa kushughulikia vitendo vya rushwa na ufisadi.
 
Hisia ,chuki na mihemko vikitawala mambo mengi sana huwa hayaendi sawa.

Ripoti za CAG zinatolewa, madudu mengi yanaonekana, pesa nyingi zinaliwa na kupotea.

Kwa sasa hali ilivyo utapiga mtoto wako au ukifanya tukio ambalo ndilo linavuta hisia za wajinga wengi na welevu wachache hapo haki itatendeka huku fisadi akiachwa anadunda mitaani.

Ufisadi hauna tofauti na uuaji, unyanyasaji na ulawiti.

Watu wanakufa sababu ya mpumbavu mmoja asiyejali maisha ya watu na kuwa na utu kakwapua ma bilioni.

Fisadi inatakiwa aimbwe kila sehemu, meme kila sehemu na achukiwe popote atakapo onekana.

CHADEMA ya Slaa walikuja na list of SHAME pale Mwembeyanga ndivyo inavyotakiwa .​
Bahati iliyombaya kwetu wengine wanaupenda,uliufuatilia uzi utathibitisha pasipo kuacha shaka.
 
Sawa hata mbuni waonapo hatari wanachimbia kichwa mchangani huku kiwiliwili kikiwa hakina pakwenda.
hakuna haja kujadili au kujifananisha na mbuni au nyumbu gentleman,

kutamani au kujifananisha na mbuni ni kufuru 🐒
 
Basi jua kujifananisha au kuwa mwizi pia ni hivyo hivyo.
kutamani au kujifananisha na mnyama au mwizi mnyang'anyi ni laana gentleman. Jiepushe na hali hiyo mbaya sana na isiyo ya baraka tafadhali gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom