Watanzania, tuuchukie ufisadi kama tunavyochukia matukio mengine. Mafisadi hawajawahi kuwa Marafiki wa Tanzania

Watanzania, tuuchukie ufisadi kama tunavyochukia matukio mengine. Mafisadi hawajawahi kuwa Marafiki wa Tanzania

Hisia ,chuki na mihemko vikitawala mambo mengi sana huwa hayaendi sawa.

Ripoti za CAG zinatolewa, madudu mengi yanaonekana, pesa nyingi zinaliwa na kupotea.

Kwa sasa hali ilivyo utapiga mtoto wako au ukifanya tukio ambalo ndilo linavuta hisia za wajinga wengi na welevu wachache hapo haki itatendeka huku fisadi akiachwa anadunda mitaani.

Ufisadi hauna tofauti na uuaji, unyanyasaji na ulawiti.

Watu wanakufa sababu ya mpumbavu mmoja asiyejali maisha ya watu na kuwa na utu kakwapua ma bilioni.

Fisadi inatakiwa aimbwe kila sehemu, meme kila sehemu na achukiwe popote atakapo onekana.

CHADEMA ya Slaa walikuja na list of SHAME pale Mwembeyanga ndivyo inavyotakiwa .​
Tutauchukia ufisadi endapo tume zinazoundwa nyuma ya mikamera kwa ajili ya kuchunguza ufisadi majibu hayatakuwa nyuma ya pazia
 
aulizwe makamu mwenyekiti taifa Chadema, wakati fulani alipiga mayowe ya nguvu mno haijulikani aliona nini kule ndrani ndrani kabisaa Chadema 🐒
FIsi hamuachi hata mfupa. Na mbona haijatajwa chedema wala ccm wala cuf nk nyege zako zinaanza kuhamia nyuma. Wajuzi wata ku Pdidy
 
FIsi hamuachi hata mfupa. Na mbona haijatajwa chedema wala ccm wala cuf nk nyege zako zinaanza kuhamia nyuma. Wajuzi wata ku Pdidy
gentleman,
ufisadi ni ufisadi tu, ndio maana makasiriko, mihemko na mazoezi ya kuporomosha matusi unafanya wewe tu pekee tu kwenye hoja hiyo mahususi iliyokuzidi kimo.

au kuna mahali umeona kuna mihemko na maneno mbofu mbofu kama unavyojikoki kupandisha mori 🐒
 
Mwana CCM yoyote hata kama ni mzazi wako elewa kuwa huyo ni FISADI,ANAUNGA MKONO UFISADI ama ANASAIDIA MAFISADI KUFANIKISHA UFISADI.
 
gentleman,
ufisadi ni ufisadi tu, ndio maana makasiriko, mihemko na mazoezi ya kuporomosha matusi unafanya wewe tu pekee tu kwenye hoja hiyo mahususi iliyokuzidi kimo.

au kuna mahali umeona kuna mihemko na maneno mbofu mbofu kama unavyojikoki kupandisha mori 🐒
Kuna tusi hapo..?
 
Back
Top Bottom