Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
ilisaidia nini hiyo list of shame, na hiyo chuki kwa mafisadi itasaidia nini wananchi, bila kuja na mawazo mapya na fikra mbdala kuukomesha huo ufisadi πHisia ,chuki na mihemko vikitawala mambo mengi sana huwa hayaendi sawa .
Ripoti za CAG zinatolewa ,madudu mengi yanaonekana ,pesa nyingi zinaliwa na kupotea.
Kwa sasa hali ilivyo utapiga mtoto wako au ukifanya tukio ambalo ndilo linavuta hisia za wajinga wengi na welevu wachache hapo haki itatendeka huku fisadi akiachwa anadunda mitaani.
Ufisadi hauna tofauti na uuaji ,unyanyasaji na ulawiti .
Watu wanakufa sababu ya mpumbavu mmoja asiyejali maisha ya watu na kuwa na utu kakwapua ma bilioni.
Fisadi inatakiwa aimbwe kila sehemu , meme kila sehemu na achukiwe popote atakapo onekana .
CHADEMA ya Slaa walikuja na list of SHAME pale Mwembeyanga ndivyo inavyotakiwa .
aulizwe makamu mwenyekiti taifa Chadema, wakati fulani alipiga mayowe ya nguvu mno haijulikani aliona nini kule ndrani ndrani kabisaa Chadema πje hao mafisadi ni chama gani hapa nchini..?
Mafisadi ndiyo wameshika usukani wa nyanja zote zauongozi wa nchi, labda useme tuikatae CCM maana ndiyo inawafuga mafisadi.Hisia ,chuki na mihemko vikitawala mambo mengi sana huwa hayaendi sawa.
Ripoti za CAG zinatolewa, madudu mengi yanaonekana, pesa nyingi zinaliwa na kupotea.
Kwa sasa hali ilivyo utapiga mtoto wako au ukifanya tukio ambalo ndilo linavuta hisia za wajinga wengi na welevu wachache hapo haki itatendeka huku fisadi akiachwa anadunda mitaani.
Ufisadi hauna tofauti na uuaji, unyanyasaji na ulawiti.
Watu wanakufa sababu ya mpumbavu mmoja asiyejali maisha ya watu na kuwa na utu kakwapua ma bilioni.
Fisadi inatakiwa aimbwe kila sehemu, meme kila sehemu na achukiwe popote atakapo onekana.
CHADEMA ya Slaa walikuja na list of SHAME pale Mwembeyanga ndivyo inavyotakiwa .
CAG alitoa ripoti ya ufisadi wizara nyingi TU! Maza akaishia kusema stupid! Ikaisha hivyo! Hii nchi ni ya hovyo sana!Hisia ,chuki na mihemko vikitawala mambo mengi sana huwa hayaendi sawa.
Ripoti za CAG zinatolewa, madudu mengi yanaonekana, pesa nyingi zinaliwa na kupotea.
Kwa sasa hali ilivyo utapiga mtoto wako au ukifanya tukio ambalo ndilo linavuta hisia za wajinga wengi na welevu wachache hapo haki itatendeka huku fisadi akiachwa anadunda mitaani.
Ufisadi hauna tofauti na uuaji, unyanyasaji na ulawiti.
Watu wanakufa sababu ya mpumbavu mmoja asiyejali maisha ya watu na kuwa na utu kakwapua ma bilioni.
Fisadi inatakiwa aimbwe kila sehemu, meme kila sehemu na achukiwe popote atakapo onekana.
CHADEMA ya Slaa walikuja na list of SHAME pale Mwembeyanga ndivyo inavyotakiwa .
Au Yale majizi mapapa yenye rangi ya majani mabichi ,,yanaweyo weka fedha nje ya nchi ,Yale yanayotuma watot wao kua wageni rasmi na kutoa michango ya Malaki ya ela wakat ni watot wadogo wanao somaaulizwe makamu mwenyekiti taifa Chadema, wakati fulani alipiga mayowe ya nguvu mno haijulikani aliona nini kule ndrani ndrani kabisaa Chadema π
makaveli,tulikubaliana Kula Kwa urefu wa kamba,Kula kamba zenyewe hiyo ruhusa haija tolewa. lbd tusubiri.Tunachukia moyoni na huo ni udhaifu wa nafsi
Prophet Muhammad S.A.W.
Ufisadi hauishi na hautokuja kuisha kwa jinsi tunavyochukulia mambo.
si wanefundishwa ukarimu na kujitolea.Au Yale majizi mapapa yenye rangi ya majani mabichi ,,yanaweyo weka fedha nje ya nchi ,Yale yanayotuma watot wao kua wageni rasmi na kutoa michango ya Malaki ya ela wakat ni watot wadogo wanao soma
Ilisadia lowassa-RIP kutoingia madarakaniilisaidia nini hiyo list of shame, na hiyo chuki kwa mafisadi itasaidia nini wananchi, bila kuja na mawazo mapya na fikra mbdala kuukomesha huo ufisadi π
kwahivyo waliotajwa kwenye list of shame hawako madarakani na wala hayati EGLowasa hakuwako madarakani right?Ilisadia lowassa-RIP kutoingia madarakani
Hata kusumbua waomba kazi kuja mpaka Geita pale Wajja Hospital kwa Interview feki wakati tayari mna mtu wenu mdada ambaye mlimwambia aje saa 6 mchana wakati wengine mliwaambia waje saa 2 asubuhi nao ni UFISADI na UTAPELI kama huo mwingine tu,shame on you all Wajja HospitalHisia ,chuki na mihemko vikitawala mambo mengi sana huwa hayaendi sawa.
Ripoti za CAG zinatolewa, madudu mengi yanaonekana, pesa nyingi zinaliwa na kupotea.
Kwa sasa hali ilivyo utapiga mtoto wako au ukifanya tukio ambalo ndilo linavuta hisia za wajinga wengi na welevu wachache hapo haki itatendeka huku fisadi akiachwa anadunda mitaani.
Ufisadi hauna tofauti na uuaji, unyanyasaji na ulawiti.
Watu wanakufa sababu ya mpumbavu mmoja asiyejali maisha ya watu na kuwa na utu kakwapua ma bilioni.
Fisadi inatakiwa aimbwe kila sehemu, meme kila sehemu na achukiwe popote atakapo onekana.
CHADEMA ya Slaa walikuja na list of SHAME pale Mwembeyanga ndivyo inavyotakiwa .
Ningeshangaa Sana Fisadi Sr usitokee kupambania squad yakoπilisaidia nini hiyo list of shame, na hiyo chuki kwa mafisadi itasaidia nini wananchi, bila kuja na mawazo mapya na fikra mbdala kuukomesha huo ufisadi π
2007 mwembe yangakwahivyo waliotajwa kwenye list of shame hawako madarakani na wala hayati EGLowasa hakuwako madarakani right?
Gentleman,
hiyo list of shame ilitajwa mwaka gani, ili kuweka kumbukumbi sawa kwa faida ya wadau?π