Watanzania, tuuchukie ufisadi kama tunavyochukia matukio mengine. Mafisadi hawajawahi kuwa Marafiki wa Tanzania

Tutauchukia ufisadi endapo tume zinazoundwa nyuma ya mikamera kwa ajili ya kuchunguza ufisadi majibu hayatakuwa nyuma ya pazia
 
aulizwe makamu mwenyekiti taifa Chadema, wakati fulani alipiga mayowe ya nguvu mno haijulikani aliona nini kule ndrani ndrani kabisaa Chadema πŸ’
FIsi hamuachi hata mfupa. Na mbona haijatajwa chedema wala ccm wala cuf nk nyege zako zinaanza kuhamia nyuma. Wajuzi wata ku Pdidy
 
FIsi hamuachi hata mfupa. Na mbona haijatajwa chedema wala ccm wala cuf nk nyege zako zinaanza kuhamia nyuma. Wajuzi wata ku Pdidy
gentleman,
ufisadi ni ufisadi tu, ndio maana makasiriko, mihemko na mazoezi ya kuporomosha matusi unafanya wewe tu pekee tu kwenye hoja hiyo mahususi iliyokuzidi kimo.

au kuna mahali umeona kuna mihemko na maneno mbofu mbofu kama unavyojikoki kupandisha mori πŸ’
 
Mwana CCM yoyote hata kama ni mzazi wako elewa kuwa huyo ni FISADI,ANAUNGA MKONO UFISADI ama ANASAIDIA MAFISADI KUFANIKISHA UFISADI.
 
Kuna tusi hapo..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…