Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Kwa vile mpaka sasa Mungu bado hajasema ...
Spika Tulia kaiva sana kwenye suala kutafiri Sheria, naangalia hapa Bunge live wanapitisha muswada wa tume ya uchaguzi naona anamtoa knout mpaka AG huyu dada ni balaa wabunge wote wanampigia makofi.

Mbeya tunasema Tulia mitano tena.
Naunga mkono hoja Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

Tena sio Tulia mitano tena bali 2025 could be ni Dr. Tulia!.
Angalia tulikotoka nae
1. Hivyo japo ni mimi niliyemtabiria Dr. Tulia uspika, Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...

2. Fursa ya Spika mpya ilipojitokeza, niliwaomba CCM Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

3. Hivyo Dr Tulia aliposhinda nikamshauri Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

4. Kwa vile Rais Samia amesisitiza 2025 twende na Mwanamke Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! wengi wanadhani Mwanamke wa 2025 ni lazima awe Rais Samia, anaweza kuwa ni Dr. Tulia!.
5. Sababu ya kwanini 2025 anaweza kuwa ni Dr. Tulia ni HII

P
 
YEYE gn huyo.

Yesu, Allah, Eloi????

Vipi tumuhusishe wakati taifa linaamini "Mungu kauwawa" Richard Nietzsche founder of Secularism
 

Attachments

  • IMG_20231208_190351.jpg
    45 KB · Views: 9
Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku yao ya wanawake duniani hapo kesho.
Paskali
 
Za uteuzi tu hazijafika 50/50 na jemedari mwenyewe amekiri angependa ila anaangalia na vigezo

Chambilecho huko kwenye uchaguzi
 
Pascal ni miongoni mwa Watu muhimu hapa JF
Sana ila apunguze kujipendekeza kwa watawala.
Asante sana Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist , asante sana.
Mkuu Walola, WALOLA VUNZYA
Mtu anayejipendekeza kwa watawala, angeweza kubandika bandiko kama hili?.
P
 

Hivi Paskali, wewe ni Mwandishi nguli sana. Sitegemei kuona makosa ya kiutendaji kama haya kutoka kwako!

Hivi hoja ni gender au ni kuwa na mtu mwenye uwezo wa kuwa Rais wa JMT ? regardless ya gender !

Kama hoja ni gender ijulikane!
 
Hivi Paskali, wewe ni Mwandishi nguli sana. Sitegemei kuona makosa ya kiutendaji kama haya kutoka kwako!

Hivi hoja ni gender au ni kuwa na mtu mwenye uwezo wa kuwa Rais wa JMT ? regardless ya gender !

Kama hoja ni gender ijulikane!
Tanzania tumempata rais mwanamke by default only, kwa kudra za Mwenyezi Mungu tuu, sasa 2025 ndio tuchague rais mwanamke kwa mara ya kwanza!. Mfano JPM asinge... CCM isingesimamisha mgombea mwanamke!, not now!, never!.
P
 
Kwa maoni yangu, uchaguzi hutegemea wagombea waliojitokeza kugombea nafasi fulani na kati ya hao wagombea, mwenye sifa zaidi kuliko wengine ndiye anayepaswa kuchaguliwa. Lakini kwa sasa kusema tumchague mwanamke as if tuna list ya wagombea tayari naona ni kwenda nje kabisa! Hatumchagui tu mtu kwa vile ni mwanaume au mwanamke, bali yule mwenye sifa zaidi kati ya wagombea wenzake.
 
Sauti inaanza kusema mwanamke huyo ni Dr. Tulia!.
Hili la kuwakemea Mabeberu huku unawaangalia usoni hata Mwanasiasa Maarufu mh Tundu Lisu haliwezi...
Naunga mkono hoja, niliwahi kusema humu, Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana! Kisha nikasema Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

Kwa vile tumepania Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! kuna uwezekano huyo mwanamke wa 2025 sio Sa100 ni Tulia.

Ila mimi kwenye hesabu zangu, Dr. Tulia nilimpangia 2030-2040 kama ninavyoeleza hapa kwenye HII kitu.

P
 
Ki Afrika sio heshima wanaume kushindana na wanawake, ni aibu!Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Hivyo Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

p
 

Sio rahisi tamaa na laana ya ubaguzi wa maisha kwa viongozi wa Tanzania kuisha.Watajipanga na watapita ila Tanzania itabakia.
 
Advocate naomba support ya makala zako nagombea ubunge jimbo la hapa mjini.
 
Nagombea jimbo la kawe kupitia CCM.
Me ni zao la uvCCM nimetokea uvccm hadi now I'm matured ndani ya chama.
Need u'r support (material & moral support).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…