Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #161
Siamini kabisa uchawi!.Pasco we ni bonge la mchawi aiseh!!
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini kabisa uchawi!.Pasco we ni bonge la mchawi aiseh!!
Paskali, wewe ni mtu mmoja unaendika mambo kwa lugha rahisi ila ukiwa very analytical, detailed na unampa msomaji ku-connect dots.Wanabodi,
Kati ya maeneo magumu sana kwenye tasnia ya habari ambayo kwa sisi Tanzania tumelikosa, tunaendelea kulikosa, na kama hawatajitokeza watu wenye uwezo wa kulifanya, tutaendelea kulikosa, ni eneo la "news analysis" uchambuzi wa habari.
Kazi kuu za traditional media ni kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha, sasa katika hizo tatu, media ya Tanzania inafanya vizuri katika eneo la uhabarishaji, na kutoa burudani, lakini katika uelimishaji, bado tuna matatizo, na katika eneo la uchambuzi wa habari, news analysis ndio kabisa, media zetu nyingi hazina uwezo huo, kwasababu hazina watu wenye uwezo huo, matokeo yake, mtu akisema kitu, media zinachukua na kukirusha tuu hivyo hivyo kama kasuku, bila kukichakata na kukifanyia analysis.
Juzi kati hapa rais wetu Mhe. Mama kazuzungumzia need ya Watanzania kumchagua rais mwanamke mwaka 2025 kwa kusema tutamsimamisha Mwanamke, media zimelidaka kama lilivyo kikasuku kasuku na kuanza kulivurumisha, hivyo kuleta mjadala mkubwa kwenye media na mitandao ya jamii, mara kaanza kampeni mapema, mara kajiteua, mara ni ubaguzi wa kuwabagua wanaume, mara hivi mara vile, hivyo bandiko hili ni kuwasaidia kidogo, kuwafanyia a simple analysis ya alichokisema rais Samia.
Kwanza ni ombi kwenu Watanzania wenzangu, kwanza tuunge mkono msimamo wa rais wetu Samia kuwa uchaguzi mkuu wa rais na wabunge wa 2025, tuufanye, sio tuu ni zamu ya kuchagua mgombea mwanamke, bali tuifanye ndio zamu ya ukombozi rasmi wa mwanamke katika siasa, sio tuu tuchague rais mwanamke, bali tuchague wabunge na wadiwani wanawake kwa wingi na kuifikia ile 50/50 ya azimio la Beijing na hata kupita, ila kwenye urais, sio lazima ndio awe Mama Samia, anaweza kuwa yeye au mwanamke mwingine yoyote aliyepangiwa kwasababu mpangaji sio yeye, wala sio sisi, mpangaji na YEYE. Hivyo ikitokea, rais wa Tanzania kwa mwaka 2025 aliyepangiwa na YEYE, ni yeye Mama Samia, then who are we kusema no, kama ni yeye aliyepangiwa, na YEYE, then ni yeye!.
Hivyo mimi naunga mkono hoja ya rais mwanamke ile 2025, kwasabubu kiukweli kabisa, wanawake wana uwezo sana wa uongozi na wengine kuliko hata wanaume, ila siku zote, tumekuwa tukiwakandamiza kutokana na kutawaliwa na mfumo dume kwa miaka nenda miaka rudi, na mpaka Mungu alipoingilia kati. Kama Mungu asingeingilia kati na JPM akaendelea hadi 2025, CCM isingemsimamisha mgombea mwanamke, lakini baada ya Mungu kuingilia kati na Tanzania kwa mara ya kwanza tukapata rais mwanamke, na Mama Samia ameisha onyesha na kuthibitisha pasipo shaka kuwa wanawake wanaweza, then why not 2025 asiwe mwanamke sasa sio tena kwa kudra za Mwenyeenzi Mungu bali kwa chaguo la Mungu kwa Tanzania na kupata endorsement ya Watanzania kwenye sanduku la kura, kumchagua rais mwanamke na wabunge na madiwani wanawake wa kutosha. Na hili likifanyika na likakamilika kikamilifu, uchaguzi wa 2025 tukapata 50/50 ya wabunge na madiwani wanawake wa kutosha. Kazi ya kwanza ya Bunge jipya ni kufuta viti maalum, vitakuwa havihitajiki tena, vikiendelea kubaki ni wastage of time, money and resources.
Marais wa Nchi Hupangwa na Mungu, hata JPM alikuwa ni Chaguo la Mungu kwa Tanzanzia, ila Mungu huweza kulikatiza chaguo lake wakati wowote na kumchagua mwingine, hii haikuanza leo, toka enzi za Nabii Musa, alikatizwa hakuingia nchi ya ahadi Caanan, kwa sababu fulani. Everything happens for a reasons anazojua Mungu mwenyewe, hivyo hata Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania labda hadi 2025 ni Mungu tuu mwenyewe anajua. Kama Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania 2025 -2030, then Mungu atasema nasi hapa katikati kabla ya 2025, kwasababu hata JPM, hakuna aliyejua Mungu alipanga nini, vivyo hivyo kwa Samia 2025, ni Mungu tuu pekee ndiye ajuaye amepanga nini, lakini kwa utaratibu wa CCM, urais huu wa sasa wa Mama Samia ulioletwa kwa kudra tuu za Mwenyezi Mungu, hii ni awamu yake ya kwanza, hivyo kila mtu anajua utaratibu wa CCM, anajua uchaguzi wa 2025 ndio awamu yake ya pili ya Mama Samia but only if ndivyo Mungu alivyopanga.
Kwa vile hili ya yeye kugombea 2025, rais Samia mwenyewe aliisha liweka vizuri kabisa ile siku anahojiwa na Salim Kikeke wa BBC, baada ya kuhojiwa kama atagombea urais 2025, rais Samia alijibu vizuri kabisa kuwa "kwa sasa tufanye kwanza kazi, ya 2025 tumwachie Mungu maana no one is shure kufika 2025", hivyo hata rais Samia aliposema 2025 tutamchagua mwanamke, hajamaanisha lazima mwanamke huyo awe ni yeye!. Hivyo ni busara kwa rais wetu Samia, hili la ugombea wa 2025, asilizungumze zungumze sana kwa sasa, ni vyema akaendelea na msimamo wake ule ule wa kwenye BBC kuwa ya 2025 tumuachie Mungu. Kwa sasa, rais aendelee ku deal na haya ya Kaizari, kwa kuchapa kazi na kazi iendelee na yale ya Kimungu tumuachie Mungu mwenyewe.
Swali linabaki, Jee Samia ndio mpango wa Mungu kwa Tanzania, 2025 ....
Nenda ukanisome in between the lines, nilisema nini kumhusu mtu anayeitwa Samia Suluhu Hassan, katika mabandiko haya.
Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na wanaume, katika kitu kinachoitwa "mfumo dume!" Swali ni je...www.jamiiforums.com
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
Wanabodi, Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu. Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya...www.jamiiforums.com
"Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Wanabodi, Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimepata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku...www.jamiiforums.com
Ukiisha soma, kama una uwezo to read in between the lines, jibu utakuwa umelipata.
Sasa kama mpangaji ni YEYE, na ndie amepanga 2025 ni yeye, then who are we to say no?.
2025 Twende na Mwanamke!.
Paskali
Ni wangapi wameishapokea hongo yao kama wewe na wangapi wanaendelea kusubiri hiyo hongo yao nao zamu yao ifike?Toka aniondolee dhulma ya loan board na kunipandisha daraja akili inaniambia Mama anafaa..
Miaka mitano iliyopita sikuwa na uhakika na nyongeza ya mshahara. Naamini Mwakani mambo yatakuwa vizuri. Cha msingi tumuombee afya,uhai,busara,hekima,utu na uzima kwa YEYE Mwenye Uwezo wa yote.
Wanabodi,
Swali linabaki, Jee Samia ndio mpango wa Mungu kwa Tanzania, 2025 ....
Sasa kama mpangaji ni YEYE, na ndie amepanga 2025 ni yeye, then who are we to say no?.
2025 Twende na Mwanamke!.
Paskali
Kwanza ni ombi kwenu Watanzania wenzangu, kwanza tuunge mkono msimamo wa rais wetu Samia kuwa uchaguzi mkuu wa rais na wabunge wa 2025, tuufanye, sio tuu ni zamu ya kuchagua mgombea mwanamke, bali tuifanye ndio zamu ya ukombozi rasmi wa mwanamke katika siasa, sio tuu tuchague rais mwanamke, bali tuchague wabunge na wadiwani wanawake kwa wingi na kuifikia ile 50/50 ya azimio la Beijing na hata kupita, ila kwenye urais, sio lazima ndio awe Mama Samia, anaweza kuwa yeye au mwanamke mwingine yoyote aliyepangiwa kwasababu mpangaji sio yeye, wala sio sisi, mpangaji na YEYE. Hivyo ikitokea, rais wa Tanzania kwa mwaka 2025 aliyepangiwa na YEYE, ni yeye Mama Samia, then who are we kusema no, kama ni yeye aliyepangiwa, na YEYE, then ni yeye!.
Hivyo mimi naunga mkono hoja ya rais mwanamke ile 2025, kwasabubu kiukweli kabisa, wanawake wana uwezo sana wa uongozi na wengine kuliko hata wanaume, ila siku zote, tumekuwa tukiwakandamiza kutokana na kutawaliwa na mfumo dume kwa miaka nenda miaka rudi, na mpaka Mungu alipoingilia kati. Kama Mungu asingeingilia kati na JPM akaendelea hadi 2025, CCM isingemsimamisha mgombea mwanamke, lakini baada ya Mungu kuingilia kati na Tanzania kwa mara ya kwanza tukapata rais mwanamke, na Mama Samia ameisha onyesha na kuthibitisha pasipo shaka kuwa wanawake wanaweza, then why not 2025 asiwe mwanamke sasa sio tena kwa kudra za Mwenyeenzi Mungu bali kwa chaguo la Mungu kwa Tanzania na kupata endorsement ya Watanzania kwenye sanduku la kura, kumchagua rais mwanamke na wabunge na madiwani wanawake wa kutosha. Na hili likifanyika na likakamilika kikamilifu, uchaguzi wa 2025 tukapata 50/50 ya wabunge na madiwani wanawake wa kutosha. Kazi ya kwanza ya Bunge jipya ni kufuta viti maalum, vitakuwa havihitajiki tena, vikiendelea kubaki ni wastage of time, money and resources.
Marais wa Nchi Hupangwa na Mungu, hata JPM alikuwa ni Chaguo la Mungu kwa Tanzanzia, ila Mungu huweza kulikatiza chaguo lake wakati wowote na kumchagua mwingine, hii haikuanza leo, toka enzi za Nabii Musa, alikatizwa hakuingia nchi ya ahadi Caanan, kwa sababu fulani. Everything happens for a reasons anazojua Mungu mwenyewe, hivyo hata Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania labda hadi 2025 ni Mungu tuu mwenyewe anajua. Kama Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania 2025 -2030, then Mungu atasema nasi hapa katikati kabla ya 2025, kwasababu hata JPM, hakuna aliyejua Mungu alipanga nini, vivyo hivyo kwa Samia 2025, ni Mungu tuu pekee ndiye ajuaye amepanga nini, lakini kwa utaratibu wa CCM, urais huu wa sasa wa Mama Samia ulioletwa kwa kudra tuu za Mwenyezi Mungu, hii ni awamu yake ya kwanza, hivyo kila mtu anajua utaratibu wa CCM, anajua uchaguzi wa 2025 ndio awamu yake ya pili ya Mama Samia but only if ndivyo Mungu alivyopanga.
Kwa vile hili ya yeye kugombea 2025, rais Samia mwenyewe aliisha liweka vizuri kabisa ile siku anahojiwa na Salim Kikeke wa BBC, baada ya kuhojiwa kama atagombea urais 2025, rais Samia alijibu vizuri kabisa kuwa "kwa sasa tufanye kwanza kazi, ya 2025 tumwachie Mungu maana no one is shure kufika 2025", hivyo hata rais Samia aliposema 2025 tutamchagua mwanamke, hajamaanisha lazima mwanamke huyo awe ni yeye!. Hivyo ni busara kwa rais wetu Samia, hili la ugombea wa 2025, asilizungumze zungumze sana kwa sasa, ni vyema akaendelea na msimamo wake ule ule wa kwenye BBC kuwa ya 2025 tumuachie Mungu. Kwa sasa, rais aendelee ku deal na haya ya Kaizari, kwa kuchapa kazi na kazi iendelee na yale ya Kimungu tumuachie Mungu mwenyewe.
Swali linabaki, Jee Samia ndio mpango wa Mungu kwa Tanzania, 2025 ....
2025 Twende na Mwanamke!.
Paskali
Hizo ni bangi na "paradigm" ya kisukuma zimechanganyika.
Toka lini msukuma akakubali kwenye nafsi yake kuongozwa na mwanamke?
kwanza anaesikia sauti zinamsemesha huyu "schizophrenic". Una matatizo makubwa sana ya "psychiatric" .Muone daktari wa machizi mapema sana.
Najisikia very proud kuwa Msukuma, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye upendo na kuongoza kupenda. Ndilo kabila linaloongoza kwa watu wema, wapole, wanyenyekevu, wastahimilivu, wenye heshima. Licha ya wewe kunitukana humu kila uchao, mimi sijawahi kukutukana, naendelea kukuheshimu and besides everything, I always love you.Wasukuma watakuja kupinga humu. Wa kwanza atakuwa Pascal Mayalla maana kishaweka nyuzi za kujaza watu ujinga kuhusu mama. Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, Sauti Imeshauri Mama Amkabidhi Kwanza Dr. Mwinyi, Urais wa JMT, Ndipo Aje Mwanamke! Fala sana yule jamaa.
Ukiona mtu anajisifia elewa kuwa huyo ni fala tu. Umesahau sifa ya kupenda sifa kwa wasukuma. Umeidhihirisha.Najisikia very proud kuwa Msukuma, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye upendo na kuongoza kupenda. Ndilo kabila linaloongoza kwa watu wema, wapole, wanyenyekevu, wastahimilivu, wenye heshima. Licha ya wewe kunitukana humu kila uchao, mimi sijawahi kukutukana, naendelea kukuheshimu and besides everything, I always love you.
Karibu mitaa hii, ushuhudie huyu Msukuma Pasco, asivyo kubali kuongozwa na Mwanamke!
P.
No, sisi wengine ngozi zetu zimekakamaa na kuwa ngumu kama gamba la kobe, ukimparua utaishia tuu kuumiza kucha zako.Atakuparura shauri yako mami.
No, sisi wengine ngozi zetu zimekakamaa na kuwa ngumu kama gamba la kobe, ukimparua utaishia tuu kuumiza kucha zako.
Hivyo akina sisi wenye ngozi ngumu, tutamkuna vizuri pale anapostahili kukunwa vizuri, ila pia kama kumpara ni kumsaidia zaidi kuliko kumkuna, pia tutampara.
P
Tushindane kwa hoja tafadhari.Ukiona mtu anajisifia elewa kuwa huyo ni fala tu.
Huu ni uongo!.Ukweli uwezo wa kiuongozi hana wala msitumie tafsida mtaani wananchi hawataki hata kumsikia kila unapopita sio wanawake wala wanaume hakuna anaetaka kumsikia na umaarufu wake umeshuka kwa kiwango kikubwa yaani marehemu magufuli mtaani kwa wananchi ni maarufu kuliko Rais aliepo madarakani mwelezeni ukweli.
Hoja yangu si hiyo, huyo ni fala tu.Tushindane kwa hoja tafadhari.
We ni mchumi tumboToka aniondolee dhulma ya loan board na kunipandisha daraja akili inaniambia Mama anafaa..
Miaka mitano iliyopita sikuwa na uhakika na nyongeza ya mshahara. Naamini Mwakani mambo yatakuwa vizuri. Cha msingi tumuombee afya,uhai,busara,hekima,utu na uzima kwa YEYE Mwenye Uwezo wa yote.
P huogopi??Najisikia very proud kuwa Msukuma, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye roho nzuri, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wenye upendo na kuongoza kupenda. Ndilo kabila linaloongoza kwa watu wema, wapole, wanyenyekevu, wastahimilivu, wenye heshima. Licha ya wewe kunitukana humu kila uchao, mimi sijawahi kukutukana, naendelea kukuheshimu and besides everything, I always love you.
Karibu mitaa hii, ushuhudie huyu Msukuma Pasco, asivyo kubali kuongozwa na Mwanamke!
P.
“Baada ya vipindi viwili vya Rais Kikwete atakuja rais ambaye ni mweusi mchapa kazi lakini mchekeshaji sana, hata hivyo atatawaka kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata rais mwanamke.” Sheikh Yahaya, mwaka 2006P huogopi??
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani wakiwemo wanawake hawa!.Wanabodi,
Kati ya maeneo magumu sana kwenye tasnia ya habari ambayo kwa sisi Tanzania tumelikosa, tunaendelea kulikosa, na kama hawatajitokeza watu wenye uwezo wa kulifanya, tutaendelea kulikosa, ni eneo la "news analysis" uchambuzi wa habari.
Kazi kuu za traditional media ni kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha, sasa katika hizo tatu, media ya Tanzania inafanya vizuri katika eneo la uhabarishaji, na kutoa burudani, lakini katika uelimishaji, bado tuna matatizo, na katika eneo la uchambuzi wa habari, news analysis ndio kabisa, media zetu nyingi hazina uwezo huo, kwasababu hazina watu wenye uwezo huo, matokeo yake, mtu akisema kitu, media zinachukua na kukirusha tuu hivyo hivyo kama kasuku, bila kukichakata na kukifanyia analysis.
Juzi kati hapa rais wetu Mhe. Mama kazuzungumzia need ya Watanzania kumchagua rais mwanamke mwaka 2025 kwa kusema tutamsimamisha Mwanamke, media zimelidaka kama lilivyo kikasuku kasuku na kuanza kulivurumisha, hivyo kuleta mjadala mkubwa kwenye media na mitandao ya jamii, mara kaanza kampeni mapema, mara kajiteua, mara ni ubaguzi wa kuwabagua wanaume, mara hivi mara vile, hivyo bandiko hili ni kuwasaidia kidogo, kuwafanyia a simple analysis ya alichokisema rais Samia.
Kwanza ni ombi kwenu Watanzania wenzangu, kwanza tuunge mkono msimamo wa rais wetu Samia kuwa uchaguzi mkuu wa rais na wabunge wa 2025, tuufanye, sio tuu ni zamu ya kuchagua mgombea mwanamke, bali tuifanye ndio zamu ya ukombozi rasmi wa mwanamke katika siasa, sio tuu tuchague rais mwanamke, bali tuchague wabunge na wadiwani wanawake kwa wingi na kuifikia ile 50/50 ya azimio la Beijing na hata kupita, ila kwenye urais, sio lazima ndio awe Mama Samia, anaweza kuwa yeye au mwanamke mwingine yoyote aliyepangiwa kwasababu mpangaji sio yeye, wala sio sisi, mpangaji ni YEYE. Hivyo ikitokea, YEYE amepanga rais wa Tanzania kwa mwaka 2025 awe ni mwanamke, then rais wa Tanzania kwa mwaka 2025 atakuwa ni mwanamke, ila mwanamke huyo atakuwa ni yule aliyepangiwa na YEYE, kuwa rais wetu 2025, kama aliyepangiwa na YEYE ni yeye Mama Samia, then who are we kusema no?, kama ni yeye aliyepangiwa, na YEYE, then ni yeye!, ila kwa vile mpaka sasa YEYE bado hajasema kampangia nani, naomba Watanzania tuwe tayari kujiandaa kisaikolojia kuikubali mipango ya YEYE kwa mwanamke mwingine yoyote aliyepangiwa na YEYE kuwa rais wetu 2025 and not necesarly ni Mama Samia.
Hivyo mimi naunga mkono hoja ya rais mwanamke ile 2025, kwasabubu kiukweli kabisa, wanawake wana uwezo sana wa uongozi na wengine kuliko hata wanaume, ila siku zote, tumekuwa tukiwakandamiza kutokana na kutawaliwa na mfumo dume kwa miaka nenda miaka rudi, na mpaka Mungu alipoingilia kati. Kama Mungu asingeingilia kati na JPM akaendelea hadi 2025, CCM isingemsimamisha mgombea mwanamke, lakini baada ya Mungu kuingilia kati na Tanzania kwa mara ya kwanza tukapata rais mwanamke, na Mama Samia ameisha onyesha na kuthibitisha pasipo shaka kuwa wanawake wanaweza, then why not 2025 asiwe mwanamke sasa sio tena kwa kudra za Mwenyeenzi Mungu bali kwa chaguo la Mungu kwa Tanzania na kupata endorsement ya Watanzania kwenye sanduku la kura, kumchagua rais mwanamke na wabunge na madiwani wanawake wa kutosha. Na hili likifanyika na likakamilika kikamilifu, uchaguzi wa 2025 tukapata 50/50 ya wabunge na madiwani wanawake wa kutosha. Kazi ya kwanza ya Bunge jipya ni kufuta viti maalum, vitakuwa havihitajiki tena, vikiendelea kubaki ni wastage of time, money and resources.
Marais wa Nchi Hupangwa na Mungu, hata JPM alikuwa ni Chaguo la Mungu kwa Tanzanzia, ila Mungu huweza kulikatiza chaguo lake wakati wowote na kumchagua mwingine, hii haikuanza leo, toka enzi za Nabii Musa, alikatizwa hakuingia nchi ya ahadi Canan, kwa sababu fulani. Everything happens for a reasons anazojua Mungu mwenyewe, hivyo hata Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania labda hadi 2025 ni Mungu tuu mwenyewe anajua. Kama Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania 2025 -2030, then Mungu atasema nasi hapa katikati kabla ya 2025, kwasababu hata JPM, hakuna aliyejua Mungu alipanga nini, vivyo hivyo kwa Samia 2025, ni Mungu tuu pekee ndiye ajuaye amepanga nini na amempangia nani, lakini kwa utaratibu wa CCM, urais huu wa sasa wa Mama Samia ulioletwa kwa kudra tuu za Mwenyezi Mungu, hii ni awamu yake ya kwanza, hivyo kila mtu anajua utaratibu wa CCM, anajua uchaguzi wa 2025 ndio awamu yake ya pili ya Mama Samia but only if ndivyo na YEYE alivyopanga!.
Kwa vile hili ya yeye kugombea 2025, rais Samia mwenyewe aliisha liweka vizuri kabisa ile siku anahojiwa na Salim Kikeke wa BBC, baada ya kuhojiwa kama atagombea urais 2025, rais Samia alijibu vizuri kabisa kuwa "kwa sasa tufanye kwanza kazi, ya 2025 tumwachie Mungu maana no one is sure kufika 2025", hivyo hata rais Samia aliposema 2025 tutamchagua mwanamke, hajamaanisha mwanamke huyo ni lazima awe ni yeye!, anaweza kuwa ni mwanamke mwingine yoyote!. Hivyo ni busara kwa rais wetu Samia, kwa sasa, hili la ugombea wa 2025, asilizungumze zungumze sana kwa sasa, ni vyema akaendelea na msimamo wake ule ule wa kwenye BBC kuwa ya 2025 tumuachie Mungu. Kwa sasa, rais aendelee ku deal na haya ya Kaizari, kwa kumpa Kaizari yaliyo ya Kaizari kwa kuchapa kazi na kazi iendelee na kwa yale ya Kimungu, tumpe Mungu kwa kumuachia Mungu mwenyewe!.
Swali linabaki, Jee Samia ndio mpango wa Mungu kwa Tanzania, 2025 ....
Nenda ukanisome in between the lines, nilisema nini kumhusu mtu anayeitwa Samia Suluhu Hassan, katika mabandiko haya. Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material? na hapa Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na hapa "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Ukiisha soma, kama una uwezo to read in between the lines, jibu utakuwa umelipata.
Sasa kama mpangaji ni YEYE, na ndie amepanga 2025 ni yeye, then who are we to say no?.
2025 Twende na Mwanamke!.
Paskali
Update
Kuna hii sauti imeibuka Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Kwamba Samia amuombe Mwinyi 2025 angombee Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mmejiridhisha na utendaji kazi wa Rais Hussein Mwinyi Zanzibar?Wanabodi,