Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Mkuu nchi yetu ya Tanzania ni Patrillineal, Mwanaume ni muamuzi namba moja katika nyanja zote/Top controller πŸ˜›
 
Duhγ€‚γ€‚γ€‚οΌοΌŒ hii male chauvinism ya kiwango hiki! kaz kwelkwel!。
P
πŸ˜€Umekaribia kuelewa sasa, utakapoacha ushabiki utarudi kwenye point....Mwanaume ndiye anapaswa kuwa dereva mkuu wa nchi, Msikiti, Kanisa, Familia n.k...😎
 
You are selfish being
 
πŸ˜€Umekaribia kuelewa sasa, utakapoacha ushabiki utarudi kwenye point....Mwanaume ndiye anapaswa kuwa dereva mkuu wa nchi, Msikiti, Kanisa, Familia n.k...😎
Not necesarily, kwenye dini yes but kungine kote anything a man do, woman can do, but not everything a woman can do, a man can do!。
P
 
Mkuu nchi yetu ya Tanzania ni Patrillineal, Mwanaume ni muamuzi namba moja katika nyanja zote/Top controller πŸ˜›
nchi yetu ni secular state, haina dini, hivyo hakuna cha matrilinier wala patriarch, any gender can be a president。
P
 
Katika nchi yako Tanzania hakuna matrireneal societies?
hakuna kabisa. Mwanamke katika presedential position "NO!"...tumejikwaa hatuwezi kuendelea kuhalalisha anguko letu 😎 , Mungu ametuvusha salama katika kipindi kizito tumshukuru aliyekuwa amewekwa ili kutupitisha hapo..tunamshukuru sana, ila sasa tumefika mwisho atupishe tuendelee na taratibu zetu za kila siku ili Mungu aendelee kutupa mema kupitia Mwanamume kwenye hiyo nafasiπŸ˜›
 
Hii inasisimua sana mkuu, kama kweli YEYE akifanya kuchagua vice versa, hakika waTanzania tutabaki midomo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…