Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!


Hoja ingependeza zaidi asiwe huyu. Bora kujaribu mwingine.



Asiyeendekeza umbeya ni kigezo muhimu.
 
Ukiulizwa swali hili “mwaka 2025 utagombea!? Ila ukaanza blah blah na ngonjera kama “tufanye kazi kwanza, ya 2025 tumwachie Mungu” maana yake ni kwamba wewe una mpango thabiti wa kugombea.

Kama huna mpango huo basi huhitaji hata sekunde mbili kujibu swahili hilo.

Mama anautaka urais beyond 2025. Keshanogewa. Kuna mijitu imeshajipenyeza ndani na bila kujua kaanza kutumiwa kufanikisha ajenda zao. Mungu atunusuru tufike 2025 before it is too late na bila shaka wale wanaopanga mambo behind the scene watahakikisha hatoboi
 
Ni maoni yangu braza..pia una ya kwako. Wote tuko sahihi.
Sijawahi sikia duniani koote rais anasifiiiwa na eti aongezewe muda kisa baadhi ya wafanyakazi wamepanda daraja!! Huo niuzuzu.

jukwaa hili nikubwa na lakimataifa hatuwezi vumilia akili ndooogo kuhutubia ujinga humu na tusikemee.

Nisawa namm nije hapa nijisifu watoto wangu nawapaga chakula!!! Mfanyakazi wa serikali ongea point tunakulipa mshahara Sisi ati sasa usitufanye tuwaone mnakula mshahara bure... Jua Haki zako damittt!!
 
Mbona bado mapema sana kuwaza uchaguzi 2025.

Unashindwa nini kuleta mada za kuchambua uwezo wamtu!!, hatutaki huujinga wa zamuya flani tunataka mtu mwenye uwezo, zamu zibaki kwa wenye ndoa zaidi ya moja ndio watapangiana zamu.
 
Watu kama ninyi ipo cku mukuchukuliwa na kuswekwa ndani,,, alafu muanze kumlaumu mama anawaonea mara oh katili. Ushauri wangu,, Chunga maneno yako mkuu yacje kukugarimu.
Kwani amekosea? Ni kweli kuwa tunaangalia sifa stahiki, kupima sera zao ikiwa zina tija na zinatekelezeka n.k, usimtishe kwani hajatukana. Ametumia haki yake kikatiba.
 
Mwanaume kamili hasifusifu hovyo na kutaja izosehemu ulizotaja!! Utakuwa shooo wewe,nkikwambia kaziyangu utanisifu kilasaa na unaezataka nikufanye nyumbandogo!! Acha tabia mbaya mtoto. Sifu kaleta sera bora,katiba safi,haki nk. Boya ww
Sawa Manka, next nitamsifu Gaidi au Mwendazake...
 
Paschal Mayalla my brother do not undermine yourself by propagating a myth of the moths!!!!
 
Ndo maana ulifukuzwa kazi serikalini!
Ujue Mayala, mabosi wote wa vyombo vya habari namaaanisha wamiliki hasa sio wakurugenzi wa vyombo hivyo yaani wale Media Mogul kama wakina Rupert Mardoch hawapendi waandishi wa habari wa aina yako, yaani mchunguzi mchunguzi unayejifanya ku reason sana, kutafiti tafiti na kuhoji hoji mambo, matajiri hawa wanataka mtu wa kufuata anachoambiwa tu, kwamba habari hii unatakiwa uisapoti kama inavyotakiwa, vyombo vya habari ni mdomo wa kusemea agenda za wakubwa, kazi yake ni kutu programu kichwani tunajikuta all society tunakuwa na the same thinking!! Yaani unaweza kutengeneza habari hata kama sio real ukaituma na kuisambaza, mfano media zinaweza kuamua kueneza negative story tu kama ni kuhamasisha mziki, ngono na content. Bombardment kila kona ni mind programming tu kuanzia social media, redio, magazeti na Television na kutiana ujinga tu, mbona hamfundishi wasikilizaji wenu kuwaambia wapande miti kila siku, waache kutumia mbolea ya chumvi kwenye hii ardhi tunaiua, watu waache kutumia "roundup" kwenye kuua majani it is "hazardous" hamuongei ukweli kuwa kansa inatibika kirahisi sana, vidonda vya tumbo vinatibika kwa gharama isiyozidi elfu 2, hamsemi jinsi namna ya matibabu inayotolewa na Hospitali yanaua, CT Scan jinsi zinavyoharakisha kifo cha mtu baada ya kupigwa mionzi hatari mwili mzima, uwekaji wa Fluoride kwenye maji ya kunywa na hamsemi kuwa Fluoride ni toxic inayoharibu meno huku ninyi mnawaambia watu Fluoride huimarisha meno! Mbona tunang'oa meno na tunapiga mswaki usiku na mchana!!!
Afu pia kama wewe ni mchunguzi je umechunguza huyo Mungu unayemtaja kama unamjua! Au nawe una concrete mind kama za wana dini! Mi mnanikeraga sana kutaja eti mipango ya Mungu, ni kweli huyo Mungu wenu ndo aliweka mipango ya kumweka huyo mama kama spear part ili game kama linaenda vibaya kwao basi mnachezesha manovre baadae anapenda kileleni yaani mnajiweka wenyewe, this is soo deeper
Hakuna mwandishi wa habari mwenye mbavu za kuongea haya kwenye chombo cha habari....ni shaaaaa
 
Mkuu mimi nilipanda mshahara asilimia mia kipindi cha JPM, ila dream zilikuwa zinatimizwa kwa JPM
 
Moja RAIS hachaguliwi kwa sababu ni mwana-mke au ni mwana-ume.
Pili hao wanaotaka kuchaguliwa wajitokeze mapema ili wananchi waanze kufanya vetting!
Ifike mahali tukatae viongozi wanaoibuka ghafla kama uyoga!¡
 
Umeanza kampeni mapema.Ulipoteleaga wapi?
 
Huo ndio ukweriii 100% ndugu zangu.
 
Mmeanza kampeni mapema.Ngoja tubishe hodi kwa mwenye taasisi yake, atuambie na hao watoto wa kambo nao waanze kampeni au wataambiwa wamevuja katiba ya nchi na kamatakamata na kuwafungulia uhujumu uchumi na ugaidi.Ruhusu Msomeno ukate kotekote uone jinsi mambo yatakuwa matamu.
 
Kwani yeye ndiye anayeweka? kumbe hata hujui ruzuku inatoka wapi.Kila kitu katika nchi hii ni kodi yako inafanya.Hata ruzuku inatokana na kodi yako.Na kama hukulipa leo, utalipia kupitia mikopo tuliyopewa kutoka nje ya nchi kule Tanzania inaombaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…