Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Wenye kumbukumbu tunzeni posti hii, Job Ndugai ahukumiwe kwa haki, asipotendewa haki, karma itangilia kati.

Nashauri, kwa vile 2025 tumeamua kwenda na mgombea mwanamke, kwa vile tayari tunaye rais Mwanamke, lakini bado hatujajua Mungu ametupangia nani, nashauri kama tunao wanawake wengine ambao ni presidential material, wawe highlighted ili hata asipokuwa Samia, mwanamke mwingine awepo, maana...
P
 
Aliyesababisha haya yote ni 1. ALIYESEMA ANAMFAHAMU MKE WA YESU(Mzee wa Gestemani/Galilaya)
2. NA NCHI HII ITAPIGWA MNADA(like seriously what the hell........)
 
ANAYOKUTANA NAYO NDIYO ANAYOHIGHLIT ......................ALIANZA KUPUUZWA NA KUDHARAULIWA WAY BEFORE KUAPISHWA NDO MAANA ANAONGEA VILE USIONE MTU ANAONGEA UKAHISI NI GOIGOI TENA KWA PRESIDENTIAL LEVEL MAMA ANA VITA YA MFUMO DUME, NA KWAKUSIKIA NILITONYWA KUWA KIPINDI CHA KUAPISHWA KULIKUWA NA VUTA NI KUVUTE NYINGI HADI KUMLAZIMU MKUU WA MAJESHI MZEE MABEYO KUTISHIA JESHI KUCHUKUA NCHI NDO KINA MZEE GALILAYA WAKAFYATA.

ISSUE TU NCHI KUONGOZWA NA MWANAMKE NASHANGAA KWANINI WATU WANAONA MAMA ANAPWAYA WAKATI TANZANIA NI ILE ILE SHIDA ZA MAJI, HOSPITALI ,TANGU UHURU HADI SASA NASHANGAA VIJEMBE VYA HATOSHI VINALENGA NINI...........SHIDA ZETU SIKU ZOTE NI HIZO HIZO PINDUA AWAMU PINDUKA NYINGINE SHIDA NI HIZO HIZO TOFAUTI NI MATUKIO TUU YA KUTENGENEZA LEADERSHIP MOTTO: MFN KAMA WANYONGE NA WATU KWELI WAKAWA WANYONGE

WATU WALIKUWA WANAAMBIWA WABEBE MAV* YAO WAPELEKE NYUMBANI NAO WANASHANGILIA.................
 

Mimi namuombea Mpango naye apate bahati kama alivyopata Samia😂😂😂
BAHATI INAWEZA KUMWANGUKIA MWINGINE KWENYE NAFASI YA MPANGO KUMBUKA WEWE SIYO MUNGU ANAYEPANGA HIZI BAHATI NI MUNGU NA MUNGU ALIYE JUU HAPANGIWI NANI WAKUMPA HIYO BAHATI INAWEZA KUKUANGUKIA HATA WEWE
 
HAHAAHHAHHA HUJAWAHI KUSIKIA WATU WANAOMBA RAISI AONGEZEWE MUDA ULIKUWA UNAISHI PLUTO NINI KIPINDI CHA AWAMU YA TANO AISEE............TENA ILISEMEKANA ATAWALE MILELE SI TU KUONGEZEWA MUDA
 
Ninaamini bibi Titi Mohammed au Sophia Kawawa wasingeongoza anavyoongoza yeye. Tena wale walikulia ndani ya mfume dume wa kikoloni, lakini walikuwa na ushupavu na clear vision yao ambayo mama huyu hana. Ninadhani kama kulikuwa na shock ya kuamkia kwenye kiti hicho, inawezekana ndiyo maana aliaza vibay, lakini siyo kuwa hiyo ndiyo iwe style ya leadership yake hadi leo.
 
Kati ya vitu Magu alikosea basi ni kumchagua huyu mwanamama kua makamu wake.

Sijui ni kigezo gani umekitumia kusema wanawake wana uwezo wa uongozi.
Sioni kitu kwa huyu mwanamama bado anajishtukia sana.

Hafai kuendelea kua raisi, akimaliza muda wake apishe wanaume waingie kazini.
 
Usimpe Personality zisizo zake hebu fikiria kipindi kile Bibi Titi ashindane na Nyerere au aongoze cabinet yenye watu kama Nyerere,Kambona na Enlightened wengine unadhani ilikuwa rahisi

Hata sasa ingawa tupo kwenye Maendeleo hatujawahi kuwa na
1.Waziri Mkuu Mwanamke
2.Jaji Mkuu Mwanamke, hivi vyeo kelele ni nyingi

sasa yeye ni Mwanamke halafu Mzanzibari kuna a way watu wananmchukulia Mama kuona kwamba Hatoshi labda kwa experience au kwa mwonekano akili ya mtu inamchukulia amepooza kumbe..........

Mama ameangukia Cheo Cha Uraisi ambapo uitikio wake na mazoea ya watanzania bado hawakutarajia mwanamke kwenye cheo cha Uraisi, ukichukulia tamaduni zetu wengi wetu bado zipo katika kumalizia mfumo Dume

ISITOSHE EAST AFRICA NZIMA MAMA AMEPINDUA HISTORIA KENYA, UGANDA,NA HATA RWANDA HAWAJAWAHI KUWA NA RAISI MWANAMKE SO PRESSURE ANAYOPITIA KAMA KUNA MTU ANAILEWA........................ ATAELEWA HAIKUWA MATARAJIO YA WENGI
NA NCHI ZETU KUNA JINSI TUNAONA MAMBO ............
 
Wala huhitaji kumfanyika YEYE kampeni.Uongozi(SIYO UTAWALA) wake kwa watanzania ndiyo utakaoamuwa hatma yake ya uongozi.
 
Huu uraisi wakupewa na katiba hata burundi walishampa mwanamam.
 
Your forecast won't materialize; watanzania wanahitaji mtu anayewatetea wao, mbunifu katika kujitegemea kwa kutumia rasilimali za nchi. Mtu ambaye hana viasasi asiyekuwa na mahusiano mabaya na mihimili mingine.

I appeal to 'Karma' to intervene in the wary situation in Tanzania to save the population that is currently desperate due to ongoing vengeance among the government, public and political servants after which the strife will be spread to the normal civilians
 
wanaume tumekataa ,hata dini ya Allah hairuhusu!! tukikubali maana yake tumepingana na Allah. Nani anaweza kuvumilia ghadhabu ya Allah!!! e molah tuepushie mbali hili!!
 

Nakuona ukiteseka sana kwa uyu mama, fanya kazi acha kulaumu usichokijuwa
 
Mungu alinifungulia hili tokea 2016.

Thread hiyo hapo.

 
Mkuu ngebe , kwanza naheshimu mawazo yako, pili naheshimu haki yako na uhuru wako kutoa maoni yako under the freedom of expression provided kwenye katiba yetu.

Sisi Watanzania wazalendo tumeisha amua 2025, tunakwenda na Mwanamke!.

Urais hupangwa na Mungu, hivyo kwa vile JPM aliletwa na Mungu, na akatwaliwa na Mungu, kisha Mungu huyo huyo akatupatia Samia, na sisi tukamuunga mkono Mungu kwa kumuomba 2025 atupatie mgombea mwanamke, nakushauri na ku kukuandaa 2025 kuchagua mgombea mwanamke

P
 
Pasco we ni bonge la mchawi aiseh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…