Uchaguzi 2020 Watanzania tuwakatae CHADEMA na uzushi wao

Kwahiyo we unataka uhuni wa ccm kwamba tz itakua km ulaya km shien alivowadanganya wazenji kua itakua km Dubai.... [emoji848][emoji848]

Misukule ya lumumba mnashida sana yani
Sisi wana kigoma bado tunasubiri kigoma yetu ibadilishwe iwe kama Dubai kama tulivyo ahidiwa na Kikwete mwaka 2010
 

Ha ha nimecheka sana..
 
herzegovina bahati mbaya sana watu wengi hawajaona "irony" kwenye andiko lako. Wengi wanakujibu kwa kuwa wamesoma tu kichwa cha post yako. Wangejua kuwa humo kwenye content umemuua Meko wao sijui kwa kweli.....
 
Mi nimekwelewa vzr sana mtoa hoja, [emoji1] [emoji1]
 
Nashukuru kwa kuliona hilo.
herzegovina bahati mbaya sana watu wengi hawajaona "irony" kwenye andiko lako. Wengi wanakujibu kwa kuwa wamesoma tu kichwa cha post yako. Wangejua kuwa humo kwenye content umemuua Meko wao sijui kwa kweli.....
 
Tuweke kaba ya maneno hawa jamaa ccm wakipita hatutaonekana humu nawaza thread za kibabe zitakavyoshushwa
 
Acha porojo za kitoto wewe. Wanafunzi wa secondary na msingi wakijuja kumsikiliza???! Unadhani hatujui kuwa mnatia agizo kuahirisha vipindi na kuhakikisha wanafunzi wote na waalimu, watumishi wa uma wote wanakuja kwenye kampeni zeni ili muonekane mna watu? Tunafahamu mnawasomba kwa malori na mnagawa mafuta kwa went magari binafsi, bidaboda na daldala nakutoa posho ili walete watu kwenu.
Huu ni utumwa na kujilisha upepo. Angalieni Chadema inavyojaza watu wazima walinaokuja kwa miguu yao bila nauli au malipo. Hampendwi mnajisumbua. Wekeni mazingira huru ya uchaguzi muone mtakavyoaibishwa asubuhi na mapema.
 
Tume ya Uchaguzi si ipo chini yenu CCM ,sasa mnashindwa vipi kuwaadhibu Chadema kupitia Taasisi zenu hizo !?
 
Tuweke kaba ya maneno hawa jamaa ccm wakipita hatutaonekana humu nawaza thread za kibabe zitakavyoshushwa
Kama wewe ni mhenga huwezi kuwaza nini kitatokea baada ya uchaguzi na chama fulani kushindwa.

Hiyo ni sawa na mpambano wa simba na yanga tu, mechi ikiisha watu wengine wanashangilia na wengine wanazima data lkn after two days maisha yanarudi kama kawaida.
 
Tume ya Uchaguzi si ipo chini yenu CCM ,sasa mnashindwa vipi kuwaadhibu Chadema kupitia Taasisi zenu hizo !?
Thubuutuuuuuu, safari hii wakifanya huo ujinga watajutia
 
[emoji23][emoji23]nmeishia hapo kwenye wanafunzi kutoroka shule nikagundua nasoma article ya kipa katoka
 

Wanatuona watanzania ni wajinga ndiyo maana wanafanya hivyo ninkuwaonesha kwenye sanduku la kura tu hawa wanataka wawe wanatawala hii nchi kwa mazoea. Hivi kweli mgombea anaweza kupanda jukwani na kusema haelewi kwanini Umeme unauzwa bei kubwa na amekuwa seikalini miaka zaidi ya 20
 

Mbona hujasoma andiko ukaelewa ndugu yangu rudia kusoma tena hutakuwa na huo mtizamo tatizo unasoma heading na kuanza comment
 
Nakubaliana na mchango wako mkuu, tatizo la ccm hii inayo jiita cc m mpya ni kuwa wanajifanya ndiyo kwanza imezaliwa juzi.

Wanawaona viongozi walio watangulia ambao pia ni maccm kuwa ni sawa na wapinzani na hawakujua chochote juu ya utawala bora.

Jambo ambalo ni makosa makubwa sana kiutawala. Wanatuona sisi watanzania kama watu tusiyo jua A na B za utawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…