Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Njaa inawakongori dadeeeki na hapo mafuso yashaondoka hawajui watakula nini na watarudi na nini makwao.Basi sawa..!View attachment 1572054
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa inawakongori dadeeeki na hapo mafuso yashaondoka hawajui watakula nini na watarudi na nini makwao.Basi sawa..!View attachment 1572054
Sisi wana kigoma bado tunasubiri kigoma yetu ibadilishwe iwe kama Dubai kama tulivyo ahidiwa na Kikwete mwaka 2010Kwahiyo we unataka uhuni wa ccm kwamba tz itakua km ulaya km shien alivowadanganya wazenji kua itakua km Dubai.... [emoji848][emoji848]
Misukule ya lumumba mnashida sana yani
Salaam,
CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais JPM ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.
Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za JPM" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.
Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?
Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.
WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.
Sauti inatosha?
na wewe ni fala mwenzie na lissuFala ni wewe uliye kabidhi akili zako kwa chakubanga
Naona mmeishiwa pumzi kisa Lissu anazidi kukubalika sana na watanzania.na wewe ni fala mwenzie na lissu
Mi nimekwelewa vzr sana mtoa hoja, [emoji1] [emoji1]Salaam,
CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais JPM ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.
Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za JPM" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.
Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?
Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.
WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.
Sauti inatosha?
Nashukuru sana Mkuu. Haikuwa kazi rahisi.Mi nimekwelewa vzr sana mtoa hoja, [emoji1] [emoji1]
herzegovina bahati mbaya sana watu wengi hawajaona "irony" kwenye andiko lako. Wengi wanakujibu kwa kuwa wamesoma tu kichwa cha post yako. Wangejua kuwa humo kwenye content umemuua Meko wao sijui kwa kweli.....
Umetishaa mkuu
Acha porojo za kitoto wewe. Wanafunzi wa secondary na msingi wakijuja kumsikiliza???! Unadhani hatujui kuwa mnatia agizo kuahirisha vipindi na kuhakikisha wanafunzi wote na waalimu, watumishi wa uma wote wanakuja kwenye kampeni zeni ili muonekane mna watu? Tunafahamu mnawasomba kwa malori na mnagawa mafuta kwa went magari binafsi, bidaboda na daldala nakutoa posho ili walete watu kwenu.Salaam,
CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais Magufuli ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.
Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za Magufuli" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.
Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa Chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa Vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila Rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?
Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.
WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.
Sauti inatosha?
Kama wewe ni mhenga huwezi kuwaza nini kitatokea baada ya uchaguzi na chama fulani kushindwa.Tuweke kaba ya maneno hawa jamaa ccm wakipita hatutaonekana humu nawaza thread za kibabe zitakavyoshushwa
Thubuutuuuuuu, safari hii wakifanya huo ujinga watajutiaTume ya Uchaguzi si ipo chini yenu CCM ,sasa mnashindwa vipi kuwaadhibu Chadema kupitia Taasisi zenu hizo !?
Mi nimekwelewa vzr sana mtoa hoja, [emoji1] [emoji1]
Wewe ndiye mwendawazimu uliye kubuhu, maana sasa hivi usha kuwa sugu wa matatizo ya ccm.
Miaka 60 tangu uhuru mmetutia umasikini wa kudumu. Hadi leo hii mtanzania hana uhakika wa kesho yake atakula nini?
Alafu jitu linakuja kuisifia ccm! Shame on you
Acha porojo za kitoto wewe. Wanafunzi wa secondary na msingi wakijuja kumsikiliza???! Unadhani hatujui kuwa mnatia agizo kuahirisha vipindi na kuhakikisha wanafunzi wote na waalimu, watumishi wa uma wote wanakuja kwenye kampeni zeni ili muonekane mna watu? Tunafahamu mnawasomba kwa malori na mnagawa mafuta kwa went magari binafsi, bidaboda na daldala nakutoa posho ili walete watu kwenu.
Huu ni utumwa na kujilisha upepo. Angalieni Chadema inavyojaza watu wazima walinaokuja kwa miguu yao bila nauli au malipo. Hampendwi mnajisumbua. Wekeni mazingira huru ya uchaguzi muone mtakavyoaibishwa asubuhi na mapema.
Nakubaliana na mchango wako mkuu, tatizo la ccm hii inayo jiita cc m mpya ni kuwa wanajifanya ndiyo kwanza imezaliwa juzi.Wanatuona watanzania ni wajinga ndiyo maana wanafanya hivyo ninkuwaonesha kwenye sanduku la kura tu hawa wanataka wawe wanatawala hii nchi kwa mazoea. Hivi kweli mgombea anaweza kupanda jukwani na kusema haelewi kwanini Umeme unauzwa bei kubwa na amekuwa seikalini miaka zaidi ya 20