Uchaguzi 2020 Watanzania tuwakatae CHADEMA na uzushi wao

Salaam,

CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais Magufuli ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.

Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za Magufuli" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.

Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa Chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa Vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila Rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?

Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.

WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.

Sauti inatosha?
Dawa yao inachemka. Subiri Oktoba 28 ifike.
 
mayanja construction
 
Delete ccm Oct 28
 
Kashfa hizi sijui mtajibu vipi:

Steven Makigo ni Swahiba wa Rais John Pombe Magufuli... hawakukutana barabarani!! Hawa wamesoma pamoja Lake Secondary School.

Akiwa kama waziri wa ujenzi, mwaka 2012 JPM alimteua Steven Makigo kuwa Mjumbe wa TEMESA. TEMESA hii ni ile ile ambayo ilinunua boti kwa mabilioni ya pesa huku boti yenyewe ikiwa na speed sawa na mtumbwi!!

Ni boti ile ile ambayo, ili kuwakata watu midomo wasiijadili, JPM yule yule akaipeleka boti hiyo jeshini! Yaani, Jeshi linapewa boti yenyewe mwendo wa kinyonga!!!

REMEMBER: Zabuni ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chato iliweka sharti kwamba Contractor LAZIMA awe ni wa Kanda ya Ziwa!!

Yaani "National Project" inaweka condition ya ku-eliminate Watanzania wengine!!!!

Tena hapa tukumbushane kwamba, hiyo ni aina moja wapo ya Grand Corruption! YES, I mean it... a type of the GRAND CORRUPTION ambayo kwa makusudi watu wanaweka baseless conditions only to eliminate other competitors in favor of their guy!!!

SO, Kuna atakayeshangaa tukisema Mradi wa ujenzi wa Chato International Airport uliletwa maalumu ili tenda apewe Mayanga Construction Ltd, and ONLY Mayanga?!

Halafu ngoja, nimekumbuka!!

Hivi mnakumbuka JPM enzi zake akiwa Waziri wa Ujenzi akaja na "Wakandarasi Wazalendo"?!

Hoja tamu kweli kweli ambayo mtu ukiitia doa utaonekana unapingana na mtu anayekusudia kuwainua Wakandarasi Wazalendo lakini ukweli ni kwamba hiyo ilikuwa ni janja janja nyingine ya kui-favor Mayanga Construction!!

Wakati Wizara ya Ujenzi chini ya Magu ilipokuwa na mpango wa kujenga Daraja la Mbutu, Magu alijua kabisa Mayanga hatakuwa na ubavu wa kushindana na kampuni za kigeni na ndipo likaja suala la Wakandarasi Wazalendo, na Mayanga Construction akala shavu akiwa na "wazalendo" wengine!!
 
YOTE haya CHADEMA mnapotosha tu. Hatukatai kuwa ni ukweli ila ni ukweli uliopotoshwa.
 
Nawaaminia sana wahaya, hawa jamaa hawanaga longo longo pale wanapo amua kufanya maamuzi yao.
Hongera zao kwa kumuonyesha kuwa ccm sasa basi mkoani kagera
Hata mwalimu Nyerere walimsumbua sana hawa jamaa
 
YOTE haya CHADEMA mnapotosha tu. Hatukatai kuwa ni ukweli ila ni ukweli uliopotoshwa.
🤣 🤣 🤣 ...ukweli uliopotoshwa! Yapo mengi tunayatoa kwa awamu ili watu wapate kujua ukweli wa jiwe ulivyo kabla ya kufanya makosa makubwa October.
 
Salaam,

CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais Magufuli ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.

Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za Magufuli" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.

Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa Chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa Vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila Rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?

Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.

WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.

Sauti inatosha?
Pumbaaaavuuuuuuuuu!!
 
Ha ha ha mwisho wa ubaya ni Aibu walikula pesa za maafa huko kagera sasa wanajutia ubaya wao
 
Tatizo awamu hii uongo umekuwa mwingi, ajira 6,000,000 na viwanda 8000. Wakati ukiangalia Maombi ya ajira za walimu unaweza kuta engineer walioomba izo kazi washafika 20,000
 
Salaam,

CHADEMA wamekuwa na tabia ya kumzushia mambo mengi mabaya Rais wetu na mgombea wa CCM. Mfano jana eti wamezusha kuwa rais wetu alizomewa kule Kagera. Cha kushangaza hata video za kuonyesha tukio hilo hazionekani. Rais Magufuli ni kipenzi cha wana KAGERA na wanamwelewa sana ndio maana hata wanafunzi kuanzia chekechea hadi sekondari ilibidi "watoroke" mashuleni wakajae kwa wingi ili kumsikiliza kipenzi chao.

Huu ni mwendelezo tu wa uzushi wao. Chama hiki ni cha kuzusha zusha tu. Kipindi hiki cha kampeni wamezusha kuwa eti "ndege za Magufuli" hazina faida. Huu ni uzushi mkubwa sana. Ndege hizi zimeingiza faida kubwa kwa nchi kwa kusafirisha nyama za mbuzi kwenda mashariki ya Kati.

Pia wamezusha kuwa uwanja wa ndege wa Chato eti hauna manufaa yoyote kwa umma. Je, hawajaona Museveni akitua kusaini mkataba pale? Hawaoni kuwa hata wanyonge wa Vijijini sasa hivi wanaziona NDEGE KUBWA ZIKITUA hivyo kuongeza kipato chao? Lakini hawaoni pia kuwa hali hii ikiendelea basi kila Rais ajaye atajenga uwanja wa ndege KIJIJINI kwake hivyo nchi nzima itajaa viwanja vya ndege na kuwawezesha ng'ombe na mbuzi kuchunga kwenye viwanja vya ndege na hivyo kuiingiza nchi kwenye UCHUMI wa JUU?

Uzushi huu wa CHADEMA unamfanya rais wetu ambaye amejenga VIWANDA 8000 na kutoa Ajira 6,000,000 kwa Watanzania awe mtu wa kupaniki na kufokafoka kwenye majukwaa ya kampeni. Haongelei tena atatufanyia nini Watanzania bali anakuwa anatufokea tu.

WATANZANIA tuwakatae CHADEMA.

Sauti inatosha?

CCM mnafeli wapi?
Leteni sera zenu tuzione, sio mambo yenu ya uzushi, tushindane kwa hoja

Lete hoja ya faida ya uwanja wa chato na sisi tulete hasara ya uwanja wa chato

Achen kuleta mada za utopolo, mnakula ela za Bure
 
🤣 🤣 🤣 ...ukweli uliopotoshwa! Yapo mengi tunayatoa kwa awamu ili watu wapate kujua ukweli wa jiwe ulivyo kabla ya kufanya makosa makubwa October.
Maendeleo siyo Hisani ya CCM wala maendeleo siyo pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM, maendeleo ni lazima siyo Ombi kwani ni pesa za walipa kodi ambao wengi siyo CCM bali ni wapinzani na watanzania wasio na vyama, CCM haijaleta maendeleo yeyote zaidi ya vimaendeleo kiduchu vilivyojaa ufisadi mkubwa mno.
 
CCM mnafeli wapi?
Leteni sera zenu tuzione, sio mambo yenu ya uzushi, tushindane kwa hoja

Lete hoja ya faida ya uwanja wa chato na sisi tulete hasara ya uwanja wa chato

Achen kuleta mada za utopolo, mnakula ela za Bure
Chini ya CCM hakuna maendeleo Tanzania licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa nyingi inapotelea kwenye kukandamiza demokrasia, kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani, kudhoofisha kuihujumu chadema na mambo yasiyo na tija kwa Taifa
 
Back
Top Bottom