Atlantis Voyager
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 371
- 502
Wanabodi,
Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".
Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.
Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.
CNN wameripoti hivi:
Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.
Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.
Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.
Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.
Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"
Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.
Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Unapoteza muda wakokumwelewesha. Mayala inaonekana ni low IQ, hafundishiki.Pamoja na kumwunga mkono Mh.Madam President kwa asilimia mia lakini ndugu yetu P.Mayalla inabidi aelemishwe.Kwanza hakuna TENA mabeberu katika dunia hii ya leo.Pili aidha hakusikiliza vizuri mahojiano ya CNN kuhusu kukamatwa kwa Mwenyekiti Mbowe au Lugha imempiga chenga.Katika yote yule professor hakumshutuma madam President Samia bali alizungumzia sana kuhusu utamaduni uliopo katika nchi za kusini mwa jangwa la sahara kwa vyama kama CCM kutopenda upinzani na kutumia neno Ugaidi ili dunia iwasapoti.siwezi kutafsiri yote ila nitamtafuta Mayalla na kumpa tafsiri sahihi ya aliyeuliza na aliyejibu.Jamani kama umekosa cheo bora unyamaze,ujishughulishe na mambo yako ya kupata rizki.Pole sana Mr Mayalla.Keep it up Madam President.Tupo nawe daima.
Watu wengi hawajajifunza 'international etiquette' katika uwasilishaji wao wa hoja.Hii kauli ya kushenzi sana. Kumbe bado kauli kama hizi zinaendelea
Jamaa ana roho mbaya hatari .Laana haitakuacha salama wewe Pasco, ulidhamiria kuona Kabendera anauwawa na watawala wa Tanzania. Hukufanikiwa lakini bado huachi roho mbaya.
Wala hakuna cha kunufaika na mfumo, sisi ni watu wazima wenye akili timamu na uwezo mzuri wa kujua nini kinachoendelea. Sisi siyo nyumbu wa kwenda tu na mob psychology!Nyinyi mnanufaika na huu mfumo kandamizi huku mmejificha kwenye koti la uzalendo. Ipo siku yenu tu ngoja Watanzania waamke kutoka usingizini
Vyovyote utakavyouita, lakini sisi siyo nyumbu wa kupelekeshwa na mob psychology!Uzalendo au ujinga ?!
Kuna possibility ya 200% wewe ndiye uliye mjinga na siyo huyo Profesa...Huyo profesa ni mjinga mno....
Nchi ina vyombo vya ulinzi na usalama ,yeye alipata habari za ushahidi kutoka wapi kuwa amri hiyo imetoka kwa mh.Rais wetu?!!!
Si kila wanachokiongea kina ukweli....
iMagufuli alishahitimisha hatima yako, Mayalla maana yake ni njaa
Kumtiii rais ndio uzalendo [emoji1]Paskali,
Ningependa uanzishe Mjadala wa Uzalendo, kuhusu Mada mliyoongelea TBC 1 na Dr. Ayubu Rioba pamoja na (nafikiri) Mwenyekiti wa MISA-Tan (Kama nimekosoa juu ya Mshiriki mwenziyo, niko tayari kukosolewa).
Lakini pamoja na hili la Uzalendo, napenda nikupongeze kwa 'staili' yako ya kuchokonoa Mada.
Paskali, wote humu JF tunajua kuwa wewe unasimama upande wa demokrasia.
Hiyo ya 'vyombo vya kibeberu' ni staili yako ya kuonyesha msisitizo kuwa Duniani kuna Vyombo vya Habari, hakuna Vyombo vya Habari vya Kibeberu.
Enzi zile tukiwa na Viongozi mahiri katika 'Kimombo', Marais wetu walikuwa hawaogopi kuhojiwa na Waandishi wa Habari wa BBC, CNN, DW, na wengineo.
Nyerere na Mkapa ni mfano halisi.
Katika hili, nakupongeza Paskali.
Sasa nije kwenye Uzalendo.
Kwa bahati mbaya, nilichelewa kukiona Kipindi cha Mizani.
Paskali, naomba nikuulize;
Tunatofautishaje Maslahi ya Taifa, na Matakwa ya Rais wa Tanzania?
Na hapa niulize swali specific;
TBC1 wako tayari kuhoji pale Rais wa Tanzania anapofanya maamuzi au matendo yanayoliumiza Taifa?
Mada hiyo inaweza kuzungumzika chini ya 'moderation' ya Dr. Ayubu Rioba?
Au tafsiri ya Maslahi ya Nchi ni "Yale yote yanayotoka kwenye mdomo wa Rais"?
Ni kweli ukikutana naye live utamuona kweli ana njaa anatafuta malishoMagufuli alishahitimisha hatima yako, Mayalla maana yake ni njaa
Wewe Hupati TEUZI unahangaika Miaka yoteWanabodi,
Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".
Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.
Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.
CNN wameripoti hivi:
Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.
Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.
Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.
Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.
Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"
Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.
Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Ewe Mgalatia mwenye akili nani amekuloga? Mbona ulianza kwa roho sasa unamalizia kwa mwili?Wanabodi,