Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

Wewe paskali ndio mzushi lakini Cnn inasikika dunia nzima. Hata ukipindisha na kuweka nakshi kilichosemwa cnn ndio uhalisia wa mambo. Tujisahihishe hizi sinema zina negative impact kwetu kama tunategemea utalii, FDI, mikopo na chanjo za msaada.
 
Bado haujakata tamaa na kujipendekeza? Hata ukipata kwa umri wako inabidi uanzie angau ukuu wa mkoa.
Wanabodi,

Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".

Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.

Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.

CNN wameripoti hivi:

Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.

Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.

Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.

Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.

Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"

Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.

Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
 
Pamoja na kumwunga mkono Mh.Madam President kwa asilimia mia lakini ndugu yetu P.Mayalla inabidi aelemishwe.Kwanza hakuna TENA mabeberu katika dunia hii ya leo.Pili aidha hakusikiliza vizuri mahojiano ya CNN kuhusu kukamatwa kwa Mwenyekiti Mbowe au Lugha imempiga chenga.Katika yote yule professor hakumshutuma madam President Samia bali alizungumzia sana kuhusu utamaduni uliopo katika nchi za kusini mwa jangwa la sahara kwa vyama kama CCM kutopenda upinzani na kutumia neno Ugaidi ili dunia iwasapoti.siwezi kutafsiri yote ila nitamtafuta Mayalla na kumpa tafsiri sahihi ya aliyeuliza na aliyejibu.Jamani kama umekosa cheo bora unyamaze,ujishughulishe na mambo yako ya kupata rizki.Pole sana Mr Mayalla.Keep it up Madam President.Tupo nawe daima.
Unapoteza muda wakokumwelewesha. Mayala inaonekana ni low IQ, hafundishiki.
 
Nyinyi mnanufaika na huu mfumo kandamizi huku mmejificha kwenye koti la uzalendo. Ipo siku yenu tu ngoja Watanzania waamke kutoka usingizini
Wala hakuna cha kunufaika na mfumo, sisi ni watu wazima wenye akili timamu na uwezo mzuri wa kujua nini kinachoendelea. Sisi siyo nyumbu wa kwenda tu na mob psychology!
 
... Lakini ufahamu kwamba kuunga mkono mtawala wa kiimla sio uzalendo ila kumpinga ndio uzalendo.

Siku hizi kufuatia hali ngumu ya maisha kumezuka mtindo wa baadhi ya watu kushabikia vitendo vya kibabe na kihuni wanavyofanyiwa wapinzani wakifikiri kwamba kwa kufanya hivyo watakumbukwa katika teuzi mbalimbali zinazofanywa na mtawala.
 
Huyo profesa ni mjinga mno....

Nchi ina vyombo vya ulinzi na usalama ,yeye alipata habari za ushahidi kutoka wapi kuwa amri hiyo imetoka kwa mh.Rais wetu?!!!

Si kila wanachokiongea kina ukweli....
Kuna possibility ya 200% wewe ndiye uliye mjinga na siyo huyo Profesa...

Kama wewe huwezi kupata habari (inside Infos) usifikiri kuwa wengine hawawezi pia...!

Unadhani wote serikalini wanapenda ujinga huu Wa kuonea na kubambikizia makosa na kesi watu unaoendelea...?

Unadhani hakuna insiders wa ndani serikali wanaoweza kununulika na kuvujisha inside infos kama hizi..?

Kama serikali inaweza kununua wanasiasa wa upinzani kwa pesa, basi hata yenyewe inaweza kununuliwa pia...!
 
Paskali,
Ningependa uanzishe Mjadala wa Uzalendo, kuhusu Mada mliyoongelea TBC 1 na Dr. Ayubu Rioba pamoja na (nafikiri) Mwenyekiti wa MISA-Tan (Kama nimekosoa juu ya Mshiriki mwenziyo, niko tayari kukosolewa).
Lakini pamoja na hili la Uzalendo, napenda nikupongeze kwa 'staili' yako ya kuchokonoa Mada.
Paskali, wote humu JF tunajua kuwa wewe unasimama upande wa demokrasia.
Hiyo ya 'vyombo vya kibeberu' ni staili yako ya kuonyesha msisitizo kuwa Duniani kuna Vyombo vya Habari, hakuna Vyombo vya Habari vya Kibeberu.
Enzi zile tukiwa na Viongozi mahiri katika 'Kimombo', Marais wetu walikuwa hawaogopi kuhojiwa na Waandishi wa Habari wa BBC, CNN, DW, na wengineo.
Nyerere na Mkapa ni mfano halisi.
Katika hili, nakupongeza Paskali.
Sasa nije kwenye Uzalendo.
Kwa bahati mbaya, nilichelewa kukiona Kipindi cha Mizani.
Paskali, naomba nikuulize;
Tunatofautishaje Maslahi ya Taifa, na Matakwa ya Rais wa Tanzania?
Na hapa niulize swali specific;
TBC1 wako tayari kuhoji pale Rais wa Tanzania anapofanya maamuzi au matendo yanayoliumiza Taifa?
Mada hiyo inaweza kuzungumzika chini ya 'moderation' ya Dr. Ayubu Rioba?
Au tafsiri ya Maslahi ya Nchi ni "Yale yote yanayotoka kwenye mdomo wa Rais"?
Kumtiii rais ndio uzalendo [emoji1]

Hata Kama rais analeta taharuki.

Hapa bongo raisi MUNGU-mtu.

Uzalendo Ni kumpinga hata rais alieye madaraka Kama amri zake zinaleta mpasuko na taharuki kwenye jamii .

Uzalendo Ni kupigania nchi na nchi sio rais Bali wananchi.

Uzalendo sio kuimba wimbo wa Taifa ukiwa umepiga saluti huu sio uzalendo.

Uzalendo Ni kupambana na maadui wa ndani na nje hata Kama wamekalia kiti Cha uongozi ikiwa wanatoka nje ya msingi ya utawala Bora na kushindwa kupigania maslahinya Taifa .

Bongo uzalendo Ni kutii amri bila shuruti[emoji1]hata Kama amri hi ni batili inatoka kinywani mwa dhalimu.

Hii nchi sometime inachosha kwa kweli

Sent from my kombola using ramli JamiiForums mobile app
 
Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.

Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
 
Wanabodi,

Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".

Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.

Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.

CNN wameripoti hivi:

Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.

Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.

Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.

Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.

Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"

Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.

Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Wewe Hupati TEUZI unahangaika Miaka yote
20210716_160047.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Marehemu Magufuli, aliposema Mayala ni neno la kisukuma lenye maana ya njaa,toka kipindi icho nilikuelewa kuwa unasumbuliwa na mayala.
 
Wanabodi,

Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".

Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.

Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.

CNN wameripoti hivi:

Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.

Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.

Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.

Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.

Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"

Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.

Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali

Ewe Mgalatia mwenye akili nani amekuloga? Mbona ulianza kwa roho sasa unamalizia kwa mwili?

Ndugu yangu Mayala umelogwa na nani?mbona umekuwa empty kiasi hiki?
 
Paskali hebu ongelea hili la katiba tulilorithi toka kwa mkoloni kuwa na "IMPERIAL PRESIDENCY" yaani raisi alpha na omega kila kitu kinaanzia kwake na kuishia kwake. Hata bunge letu halina mamlaka juu ya analoliamua raisi.
 
Back
Top Bottom