Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

Hahaha,leo mayala kakanyaga miwaya

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Katika vyombo vya habari vya nje ambavyo ni vya hovyo Basi huwezi kuwaacha CNN.hawa CNN ni wanahabari wa udaku,uzushi na umbea.bola aljazella sio hawa wapuuzi sieni eni.
 

Hivi mpaka leo bado hujalamba uteuzi ?.
 
Katika vyombo vya habari vya nje ambavyo ni vya hovyo Basi huwezi kuwaacha CNN.hawa CNN ni wanahabari wa udaku,uzushi na umbea.bola aljazella sio hawa wapuuzi sieni eni.
Sio kweli ni ujinga wako tu wa kukosa exposure.

CNN ndio walichangia sana kuanguka kwa Trump na ni media kubwa sana kidunia
 
Hapo ulipomalizia na Mungu ibariki tanzania naongezea na iepushe na watu wenye fikira potofu kama wewe. Umenisikitisha sana kwa kutoelewa kuwa shirika la habari kama CNN huwa haliandiki hovyo kama magazeti ya musiba. Hali ya kisiasa Tz na msimamo wa chama tawala haufichiki kabisa kuwa hakitaki kutoa mwanya wowote utakaopelekea kitoke madarakani. Nikitumia mfano huo huo wa kumkamata Mbowe kwanza nikutaarifu makosa ya ugaidi huwa hayafumbiwi macho hata kidogo nikimaanisha kuwa kama angekuwa ametenda au kujaribu kutenda au kama inavyodaiwa angekuwa ameshatiwa nguvuni siku nyingi mno. Ccm kupitia polisi wametumia mashtaka hayo ili kuifanya Tz isionekane na jumuiya ya kimataifa kuwa inaminya demokrasia kwa kuzuia harakati ya kudai katiba mpya ambayo ikipatikana chama hicho hakibaki madarakani kabisa. Na kwa taarifa yako CNN inasikilizwa dunia nzima tena kwa haraka kwa hiyo una kazi nzito wewe na wenzako kwenda kuwajulisha wote waliosikiliza CNN kuwa haijasikiliza upande wa Tz ili kupata ukweli na usisahau aljazeera pia wameshatangaza hivyo hivyo
 
Reliable sources zenu za kubambika watu kesi?

Tutaelewana tu ngoja kwanza tuonyeshane makali😂😂

Niguse ninuke!
 
Ukitaka uteuliwe kaa kimya acha kuwatetea. Ukiwatetea wao watakuona hapo ndio mahali unapotakiwa kubakia ndio maana mpaka leo bado uko pale pale
 
Walidhani wanaweza kumfanyia mama manipulation , ila amewashitukia, alipoendeleza panatosha, walitaka Rais aweke Lockdown kwa vile hata hizo chanjo zitadoda!!
Tunawaambia ingie kama mlivoingia zama za wajerumani miaka ya 1800 huko mkawaua sana baba zetu na walimu wetu wa kweli mkatuletea makanisa misikiti na shule zenu.
Mtawaua wote lakini atakayenyanyuka atasaidia kuwaongoza wa Tanzania kwenye mwanga wa kweli
 
Bado unawinda zile nafasi za uteuzi?

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Dunia ya sasa utamdanganya nani. huwezi kutoa analysis nzuri kama huyo Profesa anajua hata malalamiko ya tozo? kadanganye wengine wacha waseme ukweli? wewe mtu kutekwa usiku akiwa amelala unaona sawa tuu, wamemshikilia siku mbili hawasemi yupo wapi kwako ni sawa, kuna sheria ya search warrant ilitumika? acha kufanya watanzania viaz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…