Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

nimekuwa msomaji wa makala zako kwa miaka mingi, makala zenye hoja nzito, lakini hapa ni kiri tu huu ni utumbo ulio uandika either umeamua kupotosha kwa makusudi au ndiyo uzee usio na busara unagonga hodi
 
Alimuumiza sana Kabendera huyu Pascal
 
Kabendera hakufa lkn dhambi ile inawatafuna wewe na jiwe!!
By de way kwani Mama hana Mamlaka ya kumuweka Mtu ndani km akienda kinyume na taratibu??? km ni ndiyo sasa unatetea nini?
hao unaowaita hayawani mabeberu ndo unatumia computer zao
 
Alimuumiza sana Kabendera huyu Pascal
Paskali na wenzako Kimbieni haraka London mkafanye mapatano ya suluhu na Kabendera!! kabla hajafa!!! utapata uteuzi!! ukidharau utakufa kifo kibaya sana!! na hii dhambi itawatafuna mpaka mkome hadi kizazi cha tatu na cha nne!!! mpaka muishe

nakwambia km una masikio! sikia!!

Kuna clip humu km unanifuatilia uzuri Jiwe nili mwambia, akashupaza shingo! yaliyo mkuta kila mtu humu anajua! ukifuata msimamo wa jiwe hatutakuona humu tena!! km tusivyo muona jiwe!! Jishushe tu na,,

kaelimu kako hako ka Mlimani! Kasikupe kiburi! ukatuona km nyaa! kumbe unapotea. ...sisi JF tunakupenda tunakupa bure mavitu ya bure!! tumeshaona Maono adimu mbele yako.....

nakaribisha maswali kutoka kwako Mayala nikupe maelekezo ili ujue uanzie wapi na uishie wapi......
 
Bwana Paskali njaa utahangaika sana kwene hizi Awamu za maintenance uchwara na utaambulia patupu always!!!
Homeboy wako alikuita NJAA na akakutupa kapuni huku akiwachagua Wahuni tu kama kina Ole Sabaya! Think twice bro!!
Kujikomba kwako ni UNAFIKI MKUBWA ULIOPITILIZA.
Kuwaiti CNN chombo cha habari cha Marekani @ MABEBERU ni ujinga na ukichaa.
Kama Marekani wameipatia Tanzania chanjo ya UVIKO aina ya Johnson & Johnson unawaitaje mabeberu KISA TU WAMEHOJI UHALALI WA MBOWE NA VIONGOZI WENGINE CHADEMA KUWEKWA NDANI?
Wewe ni mmoja wa Waandishi wannafikii na wapuuzi sana kuwahi kutokea Tanzania. You need to change my friend. Ndo maana hupati uteuzi wowote! Wewe ni ndumilakuwili unayeonesha rangi zako kwa uwazi kabisa!!!!
 
Juzi nilikuwa nasikiliza mjadala wenu pale TBC juu ya mtazamo wa vyombo vya kimagharibi juu ya Africa,uliokuwa ukiongozwa na Ryoba.Kile kilochozungumziwa ndio hasa kinatokea.

Pamoja na yote hakuna kitakachoharibika,acha wapige kelele.

Mnafundishwa kuwa waoga badala ya kutenda haki. Mnachotaka ni kufanya lolote mnalotaka na msihojiwe na wa ndani wala wa nje???
 
Hivi corona haikuoni?
Mbona inaendelea kuchukua wengine?
 
Umefeli mtihani. Usipende kutumia maneno mazito ambayo hujui nini maana yake. Kama unatumia neno utambue kuwa unaelewa maana yake na sio kuanza kunipa mimi references za theories ambazo umezisoma kwenye vitabu ambavyo vimeandikwa na wapuuzi wasio jua kwenda na ulimwengu. Niambie kitu gani mzungu amekigundua ambacho hakina madhara kwa binadamu na ulimwengu?

Angalia hii Documentary nafikiri utajua nani ni dikteta na kwanini anaitwa dikteta.

 
Ninakushauri usingekuwa unalitaja jina lililo kuu unapofanya UNAFIKI NA UZANDIKI wako!! Mbona unazeeka vibaya? Nicheo tuu unatafuta??
Kama mazeri hataki ukamataji holela basi angeliagiza vinginevyo,ingekuwa niyule mbabu wake ndo kakamatwa angekaa kimya?
Anajifichiamo kwenye ugaidi kwakuwa wafadhili nao wanaupinga wakati kisa ni katiba,woga wakunyimwa misaada kwa udikteta unafanya umbambike MTU kesi yakizushi?!? Watu wanaakili ywanakushtukia isipokuwa mazuzu na wanahabari wazembe "toilet paper(tp)"
Nilidhani tuna mwislam safi asiyeafiki dhulma,nkadhani ni mamabora asiyetaka uonevu alafu nkajua in kiongozi bora asiyekandamiza watu,kumbe ni msisiemu yuleyule aliyezoea kutojali watu,kushinda kidhuluma,kutumia nguvu yadola sio hoja,kuongopa,kukandamiza,kutisha Siajabu tukaona utekaji na udanjishaji watu!!
Nmestuka uskute tumeruka mtego tukakanyaga Bomu mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…