Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha ujinga wewe!!! Wewe ndiyo chanzo cha kumchomea Erick Kabendera hadi akakamatwa na kubambikiwa kesi mbaya ya uhujumu uchumi na kuwekwa ndani bila dhamana na hatimaye kusababisha kifo cha mama yake. Kujipendekeza kwako ili upewe teuzi kuwe na mipaka na siyo kusababisha Watanzania wengine wabambikiwe kesi.
Paskal amekuwaga bumundaBadala uwaase wajinga wenzako huko ccm wajifunze kujibu hoja kwa hoja unakimbilia kutuhumu vyombo vya habari vinavyopigania haki na demokrasia.
Hivi ni lini hiyo njaa ya madaraka itakuisha? Lizee lizima unajidhalilisha alafu unaona kawaida tu [emoji57]
Paskali na wenzako Kimbieni haraka London mkafanye mapatano ya suluhu na Kabendera!! kabla hajafa!!! utapata uteuzi!! ukidharau utakufa kifo kibaya sana!! na hii dhambi itawatafuna mpaka mkome hadi kizazi cha tatu na cha nne!!! mpaka muisheAlimuumiza sana Kabendera huyu Pascal
Wanabodi,
Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".
Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.
Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.
CNN wameripoti hivi:
Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.
Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.
Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.
Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.
Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"
Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.
Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Hii mijitu ya Usukumani inakuwa mipuuxz sana.....!!?Pascal Mayalla mwenyewe huwa hatambui anaamini kipi...
Beberu haliwezi kugeuka kuwa jitu jema,linaangalia fursa ulizokuwa nazo likunyonye tu,halina urafiki na weweAchana na neno beberu, ukiwa uko makini na wataka watu makini wakusikilize basi usitumie maneno ya kijinga kama beberu au wanyonge, ila ni mtazamo wangu tu
Empty head ni kama wewe utakayechoma hizi chanjo,sio mimiThen urudi kwao uwapigie magoti ukililia msaada wa vaccination za Covid19, such a useless empty head.
Juzi nilikuwa nasikiliza mjadala wenu pale TBC juu ya mtazamo wa vyombo vya kimagharibi juu ya Africa,uliokuwa ukiongozwa na Ryoba.Kile kilochozungumziwa ndio hasa kinatokea.
Pamoja na yote hakuna kitakachoharibika,acha wapige kelele.
Mods na mayalla wameshirikiana kufuta comment yangu..wote ni njaa tu.
Hivi corona haikuoni?Wanabodi,
Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".
Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.
Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.
CNN wameripoti hivi:
Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.
Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.
Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.
Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.
Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"
Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.
Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Huelewi chochote mkuu, lakini asante kwa comment yako.Mnafundishwa kuwa waoga badala ya kutenda haki. Mnachotaka ni kufanya lolote mnalotaka na msihojiwe na wa ndani wala wa nje???
Umefeli mtihani. Usipende kutumia maneno mazito ambayo hujui nini maana yake. Kama unatumia neno utambue kuwa unaelewa maana yake na sio kuanza kunipa mimi references za theories ambazo umezisoma kwenye vitabu ambavyo vimeandikwa na wapuuzi wasio jua kwenda na ulimwengu. Niambie kitu gani mzungu amekigundua ambacho hakina madhara kwa binadamu na ulimwengu?Wewe utakuwa darasa la saba... au graduate wa vyuo vya kata! if you cant contemplate that! Umeseoma [political conomy of capitalism na socialism? Anyway, kwa swali lako nimekuelimisha hapo juu. Sorry for this may be the unpleasant response, but sina jinsi ya kuiweka.
Wanabodi,
Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa".
Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake. Kwao kuibagaza Africa ndio maslahi kwao kwa mataifa yao.
Juzi Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe amekatwa na Polisi na tuhuma za kijinai.
CNN wameripoti hivi:
Katika ripoti hiyo, kwanza CNN, hawakutafuta any authoritative source Kutoka nchini Tanzania, zaidi ya kuokoteza habari hiyo kama ilivyoripotiwa na media mbalimbali za ndani.
Kwa vile CNN ni chombo cha kibeberu, hivyo kina agenda ya kubagaza, CNN wakamtafuta Prof. Nic Cheeseman, ni Professor wa Democracy, University of Birmingham, kabla ya hapo, alikuwa Director wa African Studies Centre at Oxford University, ili kuichambua habari hiyo.
Prof. Huyo akatunga uongo wa wazi wa mchana kweupe kuwa Freeman Mbowe, amekamatwa kwa amri ya rais Samia ili ku divert attention ya vuguvugu la katiba na tozo kwenye miamala ya simu!.
Huu sio uongo wa mchana kweupe?. Yaani hata kwa akili ya kawaida tuu, yaani Rais wetu Samia atoe amri ya Kukamatwa kwa Mbowe, kisa ni vuguvugu la mjadala wa katiba mpya na tozo za miamala?!, Watanzania tusijue, aliyemkamata Mbowe, amezungumza na sababu ametoa, CNN badala ya kutafuta the reliable sources, wanatuletea wazushi na kutuletea uzushi!. Ukisikia Ajenda hasi ndio hizi!.
Kwa vile hii ni lugha ya watu, na pia naufahamu uwezo wa wengi wetu kwenye uelewa hizi lugha za watu, hivyo ili kuwasaidia wale wenzangu na mimi, sikiliza kwa makini jibu la swali la pili.
"it is a crackdown, she has launched or pretended to launch all along"
Watanzania Wazalendo lazima tuwe makini sana na Vyombo hivi, unaweza kujikuta unasambaza taarifa ya kuibagaza nchi yako, rais wako na watu wako bila kujijua.
Uzalendo wa kweli ni kutanguliza mbele maslahi ya nchi yako, maslahi ya taifa lako, maslahi ya watu wako.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Mkuu lakini chanjo yao tulioipokea toka Johnsons kwa furaha, sio ya kishenzi nayo? Maana ni mabeberu hawa. Au vingine vyao ni vya kusheherekea?Hii kauli ya kishenzi sana. Kumbe bado kauli kama hizi zinaendelea