hilo haliwezekani tena Tz, Mwl.Nyerere alifunga sill.Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani.
Kuna hisia kubwa kuwa kuna kundi la wanasiasa wanatumia mbinu mbalimbali ikiwepo kutaka upendeleo wa kisiasa kutoka kanda flani flani ili washinde uchaguzi ujao. Hawa wanasiasa wanajua ni wapi watakimbilia endapo nchi itakuwa katika machafuko, tafadhali watanzania tuwakatae watu hawa mapema kabla mambo hayajawa mabaya.
Nyerere hayupo tena na nchi imeshabadilika sanahilo haliwezekani tena Tz, Mwl.Nyerere alifunga sill.
I can assure you jambo hilo liko silled kabisa. Eti ukabila, udini, rangi au jinsia vitutenganishe?. Utalifanya apo ulipo na Jamii yako na litaishia apo apo njee ya hapo watakushangaa tu watu na wakusamehe bureNyerere hayupo tena na nchi imeshabadilika sana
Kuna kitu unataka kusema, ila unajificha nyuma ya pazia fulani hivi. Hebu funguka ili nasi tuelewe tutachangiaje katika mada hii.Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani.
Kuna hisia kubwa kuwa kuna kundi la wanasiasa wanatumia mbinu mbalimbali ikiwepo kutaka upendeleo wa kisiasa kutoka kanda flani flani ili washinde uchaguzi ujao. Hawa wanasiasa wanajua ni wapi watakimbilia endapo nchi itakuwa katika machafuko, tafadhali watanzania tuwakatae watu hawa mapema kabla mambo hayajawa mabaya.
Chonde chonde Taifa libaki salama,Mwl Nyerere katika jambo hakulala usingizi hakuutaka ukabila kabisa, alitaka tubaki salama tuwe waTanzania basi.Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani.
Kuna hisia kubwa kuwa kuna kundi la wanasiasa wanatumia mbinu mbalimbali ikiwepo kutaka upendeleo wa kisiasa kutoka kanda flani flani ili washinde uchaguzi ujao. Hawa wanasiasa wanajua ni wapi watakimbilia endapo nchi itakuwa katika machafuko, tafadhali watanzania tuwakatae watu hawa mapema kabla mambo hayajawa mabaya.
Naona wachaga mmeamua kila mada zenu ni ukabila tu, kwani kumetokea nini naomba mnifaamishe.Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani.