Wala huna haja ya kuwaambia watu kuwa Dialo ni nani, wengi wanamfahamu, alijitoa sana kupitia vyombo vyake vya habari kumnadi Meko 2015!!na ndio wale wale tu , kwa sasa tujadili hoja hiyo aliyoitoa je ina mashiko?
Bila shaka ndio ukweli wenyewe huo, hata mkitumia nguvu kubwa kumshambulia lakini ujumbe umefika, na msifikirie labda ni yeye tu, huko nyuma kuna wengi sana wenye mawazo kama hayo, wewe unadhania mtizamo wa KINANA, NAPE, MAKAMBA, licha ya kuomba msamaha kipindi kile, misimamo yao ilibadirika?!!
JAMANI LEGACY ya MEKO, imeshafutika na kila siku inazidi kupotea kabisa kutokana na watu kama kina Dialo.Sasa ikitokea mtu akamsema vibaya mwendazake basi huyo alikuwa mwizi!!