Watanzania Tuwe na Mioyo Ya Shukurani kwa utumishi Uliotukuka wa Rais Samia

We mbwa, kama unashiba hayo ni wewe. Nchi imefilisika na tunaishi kwa shida halafu unatudhihaki kiasi hiki?
 
We mbwa, kama unashiba hayo ni wewe. Nchi imefilisika na tunaishi kwa shida halafu unatudhihaki kiasi hiki?
Acha ujinga wako wewe.unafahamu Nchi iliyofilisika? Tanzania tupo vizuri kiuchumi na ndio maana watumishi wa umma wanaendelea kupokea mishahara yao kila Mwezi ,miradi ya maendeleo Inaendelea kutekelezwa kila kona ya nchi, miundombinu inaendelea kujengwa,ajira zinaendelea kutolewa kwa vijana,n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…