Watanzania Tuwe na Mioyo Ya Shukurani kwa utumishi Uliotukuka wa Rais Samia

Sijajisumbua hata kusoma zaidi ya kichwa cha habari.

Ushauri wa bure kada Mwashambwa kuwa licha ya kuandika jina lako sahihi, tena ma namba yako ya simu, halafu hadi leo hujapata teuzi licha ya kujitoa ufahamu.

Basi utakuwa hamnazo maana hata wale chawa maarufu Mwijaku na Baba Levo wameacha uchawa
 
Dah aisee hivi wewe kuna siku hata moja uliwahi kumsifia maza yako mzazi?
 
Tumemwajiri pia analipwa kwa kazi anayoifanya. Shukrani ya nini tena?
Unafikiri kwanini Duniani wenye akili waliweka hadi Suala la Tuzo kwa mtu anayefanya vizuri katika kutimiza Majukumu yake? Unafikiri kwanini kuna tuzo ya mchezaji bora wa Dunia? Je huyo mchezaji huwa anacheza pepe yake? Halipwi mshahara?
 
Wewe kama unaona anafanya vizuri endelea kumpa tuzo na sio kutuambia sisi wengine tuwe na moyo wa shukrani.
Anatakiwa afanye kazi vile wananchi waliomuajiri wanataka.
 
Nakutaka unijibu kwa haraka sana na kwa usahihi maswali hayo niliyokupatia.
 
Sijajisumbua hata kusoma zaidi ya kichwa cha habari.

Ushauri wa bure kada Mwashambwa kuwa licha ya kuandika jina lako sahihi, tena ma namba yako ya simu, halafu hadi leo hujapata teuzi licha ya kujitoa ufahamu.

Basi utakuwa hamnazo maana hata wale chawa maarufu Mwijaku na Baba Levo wameacha uchawa
Una matatizo kichwani wewe
 
Back
Top Bottom