Watanzania Tuwe na Mioyo Ya Shukurani kwa utumishi Uliotukuka wa Rais Samia

Kwanza kitendo cha kuwapa Uhuru wapinzani na kurudi nchini kwao na kuwasikiliza shida na madai Yao! Kuwa huru kufanya mikutano ya kisiasa ikiwa ni pamoja na maandamano, TBC taifa kusoma habari za viongozi wote wa vyama vya siasa Tanzania,haya ni mfano Tu Ila sidhani hata Mbowe angeweza kufanya haya na sidhani kuna Raisi amewahi Fanya hivi
 
Watanzania wengi ni vipofu ikiwemo na huyu mleta mada.haoni mambo ya hovyo yanayotendeka kama ya kutekwa watu na kutupwa porini (sativa),kuingiwa mikataba ya hovyo,miradi mingi kusimamia kama Ile flyover ya Morocco,mwenge, magomeni Hadi fire,mradi wa maji Kwa watu wa ubungo kibamba .yote haya yamesimama na kufa kabisa.Hizi ni sehemu tu ndogo ya miradi mingi ambayo imekufa sababu ya uongozi legelege wa awamu ya sita.
 
Ndiyo sababu mnaichukia katiba ili muibe vizuri.
 

Naaisitiza jibu maswali mengine mkuu
 
Umeongea ukweli kabisa
 
Samia ni Rais wa awamu ya sita. Katika hao sita, ni yupi hakuwa na utumishi uliotukuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…