Tumemwajiri pia analipwa kwa kazi anayoifanya. Shukrani ya nini tena?Kwa hakika Rais wetu anastahili pongezi kwa mambo mengi sana aliyolifanyia Taifa letu.
Unafikiri kwanini Duniani wenye akili waliweka hadi Suala la Tuzo kwa mtu anayefanya vizuri katika kutimiza Majukumu yake? Unafikiri kwanini kuna tuzo ya mchezaji bora wa Dunia? Je huyo mchezaji huwa anacheza pepe yake? Halipwi mshahara?Tumemwajiri pia analipwa kwa kazi anayoifanya. Shukrani ya nini tena?
Wewe kama unaona anafanya vizuri endelea kumpa tuzo na sio kutuambia sisi wengine tuwe na moyo wa shukrani.Unafikiri kwanini Duniani wenye akili waliweka hadi Suala la Tuzo kwa mtu anayefanya vizuri katika kutimiza Majukumu yake? Unafikiri kwanini kuna tuzo ya mchezaji bora wa Dunia? Je huyo mchezaji huwa anacheza pepe yake? Halipwi mshahara?
Nakutaka unijibu kwa haraka sana na kwa usahihi maswali hayo niliyokupatia.Wewe kama unaona anafanya vizuri endelea kumpa tuzo na sio kutuambia sisi wengine tuwe na moyo wa shukrani.
Anatakiwa afanye kazi vile wananchi waliomuajiri wanataka.
Una matatizo kichwani weweSijajisumbua hata kusoma zaidi ya kichwa cha habari.
Ushauri wa bure kada Mwashambwa kuwa licha ya kuandika jina lako sahihi, tena ma namba yako ya simu, halafu hadi leo hujapata teuzi licha ya kujitoa ufahamu.
Basi utakuwa hamnazo maana hata wale chawa maarufu Mwijaku na Baba Levo wameacha uchawa