Kuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam. Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani. Uteuzi wa wakurugenzi sio dili kwa sasa tutajadili baadaye. Ni wale wale tu wamegeuzwa mbele nyuma basi.
Tunahitaji kufanya mjadala mkubwa wa wazi wa kitaalamu kuhusu suala la badari yetu, tuwe makini la sivyo tutabaki tunalalamika kwa miaka 100 ijayo!
Tunahitaji kufanya mjadala mkubwa wa wazi wa kitaalamu kuhusu suala la badari yetu, tuwe makini la sivyo tutabaki tunalalamika kwa miaka 100 ijayo!