Kuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam. Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani. Uteuzi wa wakurugenzi sio dili kwa sasa tutajadili baadaye.
Tunahitaji kufanya mjadala mkubwa wa wazi wa kitaalamu kuhusu suala la badari yetu, tuwe makini la sivyo tutabaki tunalalamika kwa miaka 100 ijayo!
Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani.[emoji419][emoji375]Kuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam. Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani. Uteuzi wa wakurugenzi sio dili kwa sasa tutajadili baadaye.
Tunahitaji kufanya mjadala mkubwa wa wazi wa kitaalamu kuhusu suala la badari yetu, tuwe makini la sivyo tutabaki tunalalamika kwa miaka 100 ijayo!
Ni sasa na kusema serikali tanganyika ilikua chini ya ujerumani basi inabidi ukoloni urudiBandari ya salaama iliasisiwa na Waarabu na kwa Waarabu imerejea hakuna haja ya chuki ndivyo mambo yalivyo.
Bandari hii ilikuwa chini ya Masultani wa Zanzibar
Utapewa lini huyo kiongozi?.wakubadilisha mambo ni wananchi wenyewe.Na tutabadilisha mambo tukianza na katiba bora.sasa wewe endelea kusubiri Mungu akuletee huyo kiongozi.Hakuna chochote cha maana kitafanywa na awamu hii ya 6. Yani tuchunge sana huyu mama asije ingilia kubadilisha katiba ya nchi ndiyo atatupoteza dira kabisa.
Hakuna kitu cha muhimu chochote kutafanyika kwenye hii Nchi. Hakuna kiongozi ambaye yuko huru hata mmoja wote wachafu kimwili na kiroho.
Tunamuomba Mungu atupe kiongozi shupavu na shujaa mwenye Nafsi ambaye hajafanyiwa udhalili mbele ya kamera.
Malizia huu uzi mkuu. Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamuHakuna chochote cha maana kitafanywa na awamu hii ya 6. Yani tuchunge sana huyu mama asije ingilia kubadilisha katiba ya nchi ndiyo atatupoteza dira kabisa.
Hakuna kitu cha muhimu chochote kutafanyika kwenye hii Nchi. Hakuna kiongozi ambaye yuko huru hata mmoja wote wachafu kimwili na kiroho.
Tunamuomba Mungu atupe kiongozi shupavu na shujaa mwenye Nafsi ambaye hajafanyiwa udhalili mbele ya kamera.
Kama tumeshindwa kujitawala tunaendeleza wizi uchawi na mambo ya kijinga basi Wajerumani warudi tu.Ni sasa na kusema serikali tanganyika ilikua chini ya ujerumani basi inabidi ukoloni urudi
Mkuu umesahau kwamba tz ni kichwa cha mwenda wa zimuKuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam. Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani. Uteuzi wa wakurugenzi sio dili kwa sasa tutajadili baadaye. Ni wale wale tu wamegeuzwa mbele nyuma basi.
Tunahitaji kufanya mjadala mkubwa wa wazi wa kitaalamu kuhusu suala la badari yetu, tuwe makini la sivyo tutabaki tunalalamika kwa miaka 100 ijayo!
Unasema hivi kwa sababu ili uweze kujustify bandari kubinafsishwa? Hapa unaposema tunataka katiba mpya kila mara Ina maana unakua unatania?Kama tumeshindwa kujitawala tunaendeleza wizi uchawi na mambo ya kijinga basi Wajerumani warudi tu.
Unachanganya mambo. Walichofanya ticts ilikua sehemu ndogo hasa container, dp world anaendesha bandari kwa full operation tena sio bandari ya dar tu ni bandari zote nchi nzima hadi zile za lake taganyika, nyasa na Victoria. Issue ndio ipo hapoBandali kwa miaka mingi inaendeshwa na private sector, kuna kwmpuni moja lilimaliza muda wake mwakw jana sijui tis nadhani sasa nafikiri zabuni mpyw imefika hivyo si ajabu sana
Tatizo nn sasa kama tunafahamu hayaUnachanganya mambo. Walichofanya ticts ilikua sehemu ndogo hasa container, dp world anaendesha bandari kwa full operation tena sio bandari ya dar tu ni bandari zote nchi nzima hadi zile za lake taganyika, nyasa na Victoria. Issue ndio ipo hapo