Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Vijana na wazee , ipo kila sababu ya kwenda na Mama 2025-2030 ili akamilishe Kazi ambayo alikwisha ianza.
Kwanini Twende na mama ?
1. Mama ni msikivu
2. Mama ana uwezo mzuri wa kuongoza na kuleta maendeleo kwa wakati sahihi.
3. Katiba Mpya Mama amelenga kuleta katiba mpya na itayojibu kilio cha watanzania kwa upana
Hivyo watanzania tusiichezee hii bahati , huu ndo wakati sahihi wa kumpata Rais wa kwanza Mwanamke kwa kuchaguliwa.
Nani Kama Mama
Mama ni Mama
October tunatiki .