Watanzania twende na Rais Samia 2025-2030 ili akamilishe kazi ambayo alikwisha ianzisha

Vijana na wazee , ipo kila sababu ya kwenda na Mama 2025-2030 ili akamilishe Kazi ambayo alikwisha ianza.

Kwanini Twende na mama ?

1. Mama ni msikivu
2. Mama ana uwezo mzuri wa kuongoza na kuleta maendeleo kwa wakati sahihi.
3. Katiba Mpya Mama amelenga kuleta katiba mpya na itayojibu kilio cha watanzania kwa upana

Hivyo watanzania tusiichezee hii bahati , huu ndo wakati sahihi wa kumpata Rais wa kwanza Mwanamke kwa kuchaguliwa.

Nani Kama Mama
Mama ni Mama

October tunatiki .
Nenda nae wewe mimi nataka reform kwanza ndio uchaguzi ufanyike
 
Vijana na wazee , ipo kila sababu ya kwenda na Mama 2025-2030 ili akamilishe Kazi ambayo alikwisha ianza.

Kwanini Twende na mama ?

1. Mama ni msikivu
2. Mama ana uwezo mzuri wa kuongoza na kuleta maendeleo kwa wakati sahihi.
3. Katiba Mpya Mama amelenga kuleta katiba mpya na itayojibu kilio cha watanzania kwa upana

Hivyo watanzania tusiichezee hii bahati , huu ndo wakati sahihi wa kumpata Rais wa kwanza Mwanamke kwa kuchaguliwa.

Nani Kama Mama
Mama ni Mama

October tunatiki .
Chinjachinja, mtekaji na muuaji
 
Nyinyi lengo lenu kuu ni kuiua kabisa Tanganyika. Hamna lengo lingine.
 
Huyo anateka mpaka na makanisa anayafunga hamuoni kama nishetan linaongoza taifa mpaka mtekwe wote ndio msikie nyie vipofu wa akili
 
Furusa ya kurekebisha Katiba ikitokea nitashauri Urais uwe wa miaka saba na Rais aruhusiwe kugombea miula mitatu.
 
Kaanzisha kipi cha maana zaidi ya Kusagana na kina shilole tu?????????!!!!!
 
Vijana na wazee , ipo kila sababu ya kwenda na Mama 2025-2030 ili akamilishe Kazi ambayo alikwisha ianza.

Kwanini Twende na mama ?

1. Mama ni msikivu
2. Mama ana uwezo mzuri wa kuongoza na kuleta maendeleo kwa wakati sahihi.
3. Katiba Mpya Mama amelenga kuleta katiba mpya na itayojibu kilio cha watanzania kwa upana

Hivyo watanzania tusiichezee hii bahati , huu ndo wakati sahihi wa kumpata Rais wa kwanza Mwanamke kwa kuchaguliwa.

Nani Kama Mama
Mama ni Mama

October tunatiki .
Nawe utadai chochote toka kwa huyo mama yako kuhusu kazi hafifu hii?
 
Vijana na wazee , ipo kila sababu ya kwenda na Mama 2025-2030 ili akamilishe Kazi ambayo alikwisha ianza.

Kwanini Twende na mama ?

1. Mama ni msikivu
2. Mama ana uwezo mzuri wa kuongoza na kuleta maendeleo kwa wakati sahihi.
3. Katiba Mpya Mama amelenga kuleta katiba mpya na itayojibu kilio cha watanzania kwa upana

Hivyo watanzania tusiichezee hii bahati , huu ndo wakati sahihi wa kumpata Rais wa kwanza Mwanamke kwa kuchaguliwa.

Nani Kama Mama
Mama ni Mama

October tunatiki .
Kwendraaa
 
Back
Top Bottom