mwakweya70
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 414
- 106
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza kwa watanzania wenzangu, kwa sasa kila mtu kwa anaweza kutunufaika na maendeleo ya technolojia ya mawasiliano bila kujalisha yupo mjini ama vijijini,kwa sasa ni rahisi hata kwa watu ambao hawana elimu ya kawaida, unamkuta yumo FB,Wasap na pia kuangalia taarifa zingine kupitia simu! Katika siku za hivi karibuni watu wengi wamekuwa wakilalamikia kutopata nakala za katiba,lakini mie kengele leo imegonga kichwani nikaona watu walivyo na ueledi mkubwa wa matumizi ya mitandao ya kijamii na katiba pendekezwa jitihada kidogo tu mtu waweza ipata kupitia mitandao hiyo.
Sasa je swali la kujiuliza kwamba kama si ushabiki wa kisiasa tu,kweli mtu ukipania kuisoma huwezi kuisoma kweli? AMA tukisikia kauli za kisiasa tunapandia hapo hapo,sidhani kama tunaweza kwenda kwa mfumo huu,nijuavyo mie watanzania waliowengi hawana utamanaduni wa kusomo mrundikano wa maandishi hilo hakuna hata mmoja anagusia,ila kusema nakala hazijasambazwa zile za hard copy,hiyo ndo inakuwa habari ya mjini.
Mie nadhani kutokana na umhimu wa katiba katika mstakabali wa nchi kwa siku zijazo kila mtu angepumnzika kidogo tu kuchat na kuingia online kuisoma katika inayopendekezwa,na si kuishia malalamiko ambayo nahisi ni ya wachache kwamba hawawezi kupata nakala ya katiba pendekezwa, ila wengine ni kama hatutaki tu kuifikia katiba hiyo kwa ya kimitandao.
Nawasilisha jamvini mawazo tete haya