Watanzania wa kwenye mitandao, ombeni msaada kwa Wakenya namna ya kupambana na mabeberu. Mnatia huruma

. Sasa Beberu ameanza hapa ni mwendo wa mpera mpera mpaka wakubali katiba mpya na tume huru.
 
Walipokuja kuwatawala mlikua mnaongea kizungu? Mbona mlielewana na mkatawaliwa....
Punguza fikra za kitumwa maana hizi hoja zako zinakuaibisha sasa
 
Walipokuja kuwatawala mlikua mnaongea kizungu? Mbona mlielewana na mkatawaliwa....
Punguza fikra za kitumwa maana hizi hoja zako zinakuaibisha sasa

Walikuja wakakuta mnaishi kama wanyama, enzi hizo hakukua na kitu kinachoitwa Tanzania, wao ndio walibuni na kuchora mipaka hadi leo hii unakenua meno na kujiita Mtanzania mzalendo huku ukijipiga kifua na kuwaambia wasiingilie nchi yako, hiyo hiyo nchi ambayo hukua nayo hata haukua na habari taifa linabuniwa vipi.
Kila kitu unachotuma kimebuniwa na wao, barabaraba, reli hata chupi unayovaa.....
 
Acha kurukaruka MK254
Nimekuuliza unavyokitukuza kizungu na kuona huwezi kupumua bila hiyo lugha hebu niambie wao walipokuja kutawala babu zako waliongea nao kizungu?
Kama sivyo jitathmini
 

Adui wa muafrica ni muafrica mwenyewe. Msisingizie watu wengine ndugu zangu maana kama Asia nao wangekuwa na mindset kama hizi bhasi hadi leo wote tungekuwa maskini
 
Mbona mikataba ya madini hatumwambii Beberu aichapishe kwa Kiswahili tunaishia kusaini 10% ya kwetu na 90% ni ya kwao?
Hatuwaambii waichape kwa kiswahili sababu tunaelewa kizungu.
Swala hapa ni huyu MK254 anayekitukuza kizungu na kudhani kizungu ndio oxygen kwamba waliokikosa wanakufa😅😅😅

Ila nina uhakika MK254 akipewa kazi ya kufanya kwa kizungu kwa usd10 000 leo na ya kufanya kwa kiswahili kwa usd 20 000 bado atachagua ya kiswahili. Hapo ndio unamjua mzandiki
 
Acha kurukaruka MK254
Nimekuuliza unavyokitukuza kizungu na kuona huwezi kupumua bila hiyo lugha hebu niambie wao walipokuja kutawala babu zako waliongea nao kizungu?
Kama sivyo jitathmini

Kwanza kizungu muhimu sana kwenye shughuli zangu maana hiki Kiswahili cha Mwarabu bado hakijajitosheleza, kina mapungufu ya maneno mengi licha ya kutohoa kutoka kote kote, hivyo bila Kizungu kazi zangu haziendi.
Lakini kwa kajamba wa Buza yeye anaweza akauza madafu siku iishe bila kutegemea Kingereza, huyo nitamuelewa akianza kujipa hizo mbinu huwa mnapenda kujiliwaza nazo eti Kingereza cha mkoloni.
Kwa wengine wote Kingereza muhimu sana, madini mnaandika mikataba kwa Kingereza na ndio maana mnapigwa.

Wazungu walikuja wakakuta mababu zako wanaongea Kisukuma, wakapambana na kuwajengea reli, barabara na kila aina ya miundo mbinu kisha wakawaambia wajiite Watanzania.
 
Huna hoja kumbe🤔😥
 
Tanzania iombe msaada wakupambana na mabeberu kenya? kenya ipi? soma historia, Tanzania haijawahi kuchezewa na taifa lolote hapa duniani. sisi siyo wakenya wanaolamba miguu ya wazungu, si mna military base za marekani nairobi? tueleze ni za nini? we handle kenyans with care. kenya ni mali ya mzungu, wakenya wamebaki misukule tu, mpaka BBI ni mipango ya mabeberu kuvuna rasilimali za kenya kwa urahisi zaidi, poor kenyans
 
uzi wa kipuuz
 

Kwa namna huwa mnatia aibu itabidi msaidiwe, hamjui kingereza, mnaishia kupuuzwa tu.....ooh mara vita vya Kagera, mara Comoros
 
Adui wa muafrica ni muafrica mwenyewe. Msisingizie watu wengine ndugu zangu maana kama Asia nao wangekuwa na mindset kama hizi bhasi hadi leo wote tungekuwa maskini
Umesema kweli.. lakini hawa viongozi wanaoikandamiza africa wengi wao ni puppets wa wazungu..wengi wao wanawekwa madarakan na wanapewa grants,Aids na Loans kuhakikisha wanatawaliwa...waziri wa malawi alishawahi kukiri baada ya kubanwa kuwa mojawapo ya masharti waliyopewa ili wapate loans ni kuua maghala ya vyakula na kumaliza surplus matokeo yake njaa ikatokea.
jiulize kwanini US na EU hawamcondemn Museven?
Hizi misaada usidhani tunapewa bure kwasababu wanatupenda...viongozi ndo wanajua prices zake
China walilijua hili ndomaana wakaondokana na hiyo circle wakaindustrialize wakaachana na western propaganda.
miongozo yakiuchumi kutoka IMF na WB imedesigniwa kutubakisha masikini(subsaharan africa na latin America).
hata mitaala tunayosoma imedesigniwa kutubakisha masikini.
Economies of scale is bullshit propaganda..wanataka tuendelee kuwa raw materials provider ili watuuzie finished products na tukitaka kuproduce tushindane nao wanatuwekea vikwazo na masharti kibao ili tufeli...jaribu kuexport goods ulaya utaelewa nachokisema..Hata ndizi tu utakuta ina masharti kibao wanayoitaka..Lengo kuu ni kureduce prices ya vitu tunavyowapa kama sio bure kabisa kama makinikia.
 
Acha kurukaruka MK254
Nimekuuliza unavyokitukuza kizungu na kuona huwezi kupumua bila hiyo lugha hebu niambie wao walipokuja kutawala babu zako waliongea nao kizungu?
Kama sivyo jitathmini
Wanaume wa Kenya wakiolewa na wazungu, ukoo mzima hufanya sherehe, kwa mwanaume wa Kenya kuolewa na mzungu ni kama amepata PhD. Kenya not yet Uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…