Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walipokuja kuwatawala mlikua mnaongea kizungu? Mbona mlielewana na mkatawaliwa....Hehehe yeye Kiswahili haitokuja hata siku moja akitumie, hata kwa salamu...ila nyie lazima mjitutumue kuongea lugha yake maana kwenu huko hata kiwanda cha sindano hamna, mnaagiza nje, yaani kila kitu iwe silaha ni za kwao, mifumo ya mawasiliano hata simu inayotumika ikulu vya kwao, mifumo ya usafiri hata mindege na madaladala vya kwao hamna chochote cha kwenu hivyo jeuri ya kutunisha misuli
hamuna.
Hata madini na gesi ni wao wanachuma, nyie mnapanda mihogo tu...
Na muandae sentensi zinazoeleweka wakati mtamjibu, msilipuke lipuke na kufyatuka....
Mtumwa wa fikraHuyu jamaa ana matatizo ya kiakili sio bure
Na uzuri ni kwamba hivyo navyo vitapigiwa kura na wananchi. Sasa Beberu ameanza hapa ni mwendo wa mpera mpera mpaka wakubali katiba mpya na tume huru.
Na hakutakua na kura za kwenye mabegi.Na uzuri ni kwamba hivyo navyo vitapigiwa kura na wananchi
Mbona mikataba ya madini hatumwambii Beberu aichapishe kwa Kiswahili tunaishia kusaini 10% ya kwetu na 90% ni ya kwao?Kha! Tuogope aibu ya kiingereza!!? Kwani yeye anajua kiswahili? Anaogopa aibu ya kutojua kiswahili?
Kabisa, hata wale wa kuleta kura na kuzichoma moto hawatakuwepoNa hakutakua na kura za kwenye mabegi.
Walipokuja kuwatawala mlikua mnaongea kizungu? Mbona mlielewana na mkatawaliwa....
Punguza fikra za kitumwa maana hizi hoja zako zinakuaibisha sasa
Acha kurukaruka MK254Walikuja wakakuta mnaishi kama wanyama, enzi hizo hakukua na kitu kinachoitwa Tanzania, wao ndio walibuni na kuchora mipaka hadi leo hii unakenua meno na kujiita Mtanzania mzalendo huku ukijipiga kifua na kuwaambia wasiingilie nchi yako, hiyo hiyo nchi ambayo hukua nayo hata haukua na habari taifa linabuniwa vipi.
Kila kitu unachotuma kimebuniwa na wao, barabaraba, reli hata chupi unayovaa.....
I beleive democracy can exist and it is the best system.BUT this democracy that America and Europe are preaching is a load of bullshit.
Uganda wana puppet wao ndomâana wameikalia kimya,Tz puppet wao ni TAL ndomaana wanashupaza shingo...watafanya chochote ili subsaharan Africa isi Industrialize na kuendelea ili tuendelee kuwauzia raw materials at a cheap price.
ndomana Magufuli kahubiri viwanda wameharibu uchumi...kikwete aliyehubiri kilimo uchumi ulikuwa bwerere
Tatizo waafrika hata hatumjui adui yetu na mipango yake.
Adui wa kwanza ni IMF,WTO,WB,EU na CCP
Hatuwaambii waichape kwa kiswahili sababu tunaelewa kizungu.Mbona mikataba ya madini hatumwambii Beberu aichapishe kwa Kiswahili tunaishia kusaini 10% ya kwetu na 90% ni ya kwao?
Acha kurukaruka MK254
Nimekuuliza unavyokitukuza kizungu na kuona huwezi kupumua bila hiyo lugha hebu niambie wao walipokuja kutawala babu zako waliongea nao kizungu?
Kama sivyo jitathmini
Huna hoja kumbe🤔😥Kwanza kizungu muhimu sana kwenye shughuli zangu maana hiki Kiswahili cha Mwarabu bado hakijajitosheleza, kina mapungufu ya maneno mengi licha ya kutohoa kutoka kote kote, hivyo bila Kizungu kazi zangu haziendi.
Lakini kwa kajamba wa Buza yeye anaweza akauza madafu siku iishe bila kutegemea Kingereza, huyo nitamuelewa akianza kujipa hizo mbinu huwa mnapenda kujiliwaza nazo eti Kingereza cha mkoloni.
Kwa wengine wote Kingereza muhimu sana, madini mnaandika mikataba kwa Kingereza na ndio maana mnapigwa.
Wazungu walikuja wakakuta mababu zako wanaongea Kisukuma, wakapambana na kuwajengea reli, barabara na kila aina ya miundo mbinu kisha wakawaambia wajiite Watanzania.
Kawaida mabeberu na vyombo vyao kama CNN wakijikanganya na kuingia kwenye kumi na nane za Wakenya, huwa wanakiona cha moto na kutengua kauli zao. Naona Marekani wameanza shughuli dhidi ya Watz kwa kusindika kura kwenye uchaguzi uliopita, ila sasa mataga wanajibu bila mikakati.
Ombeni msaada kutoka kwa Wakenya wa kwenye mitandao muone itakavyowaka moto na ndani ya masaa machache Marekani watawaomba msamaha, ila mkiendelea wenyewe hivi mnajiabisha maana mtapuuzwa tu.
Poleni bandugu ila hiyo issue ya uchaguzi naona kama haitawatoka hivi hivi tu, japo nakosa kuwaelewa Marekani mbona hawajasema vya Uganda ambapo demokrasia imebakwa mchana kweupe.
![]()
![]()
Tanzania iombe msaada wakupambana na mabeberu kenya? kenya ipi? soma historia, Tanzania haijawahi kuchezewa na taifa lolote hapa duniani. sisi siyo wakenya wanaolamba miguu ya wazungu, si mna military base za marekani nairobi? tueleze ni za nini? we handle kenyans with care. kenya ni mali ya mzungu, wakenya wamebaki misukule tu, mpaka BBI ni mipango ya mabeberu kuvuna rasilimali za kenya kwa urahisi zaidi, poor kenyans
uzi wa kipuuzKawaida mabeberu na vyombo vyao kama CNN wakijikanganya na kuingia kwenye kumi na nane za Wakenya, huwa wanakiona cha moto na kutengua kauli zao. Naona Marekani wameanza shughuli dhidi ya Watz kwa kusindika kura kwenye uchaguzi uliopita, ila sasa mataga wanajibu bila mikakati.
Ombeni msaada kutoka kwa Wakenya wa kwenye mitandao muone itakavyowaka moto na ndani ya masaa machache Marekani watawaomba msamaha, ila mkiendelea wenyewe hivi mnajiabisha maana mtapuuzwa tu.
Poleni bandugu ila hiyo issue ya uchaguzi naona kama haitawatoka hivi hivi tu, japo nakosa kuwaelewa Marekani mbona hawajasema vya Uganda ambapo demokrasia imebakwa mchana kweupe.
![]()
![]()
Where there was transaparent and fair election in this world? Hata kwao hamna kama unaelewa maana ya hayo maneno umetumia.The issue here is, did we have a transparent and fair election?
Tanzania iombe msaada wakupambana na mabeberu kenya? kenya ipi? soma historia, Tanzania haijawahi kuchezewa na taifa lolote hapa duniani. sisi siyo wakenya wanaolamba miguu ya wazungu, si mna military base za marekani nairobi? tueleze ni za nini? we handle kenyans with care. kenya ni mali ya mzungu, wakenya wamebaki misukule tu, mpaka BBI ni mipango ya mabeberu kuvuna rasilimali za kenya kwa urahisi zaidi, poor kenyans
Khaaa! Hii kinge ya Chattle .Because people uzed to die in the rake.
Umesema kweli.. lakini hawa viongozi wanaoikandamiza africa wengi wao ni puppets wa wazungu..wengi wao wanawekwa madarakan na wanapewa grants,Aids na Loans kuhakikisha wanatawaliwa...waziri wa malawi alishawahi kukiri baada ya kubanwa kuwa mojawapo ya masharti waliyopewa ili wapate loans ni kuua maghala ya vyakula na kumaliza surplus matokeo yake njaa ikatokea.Adui wa muafrica ni muafrica mwenyewe. Msisingizie watu wengine ndugu zangu maana kama Asia nao wangekuwa na mindset kama hizi bhasi hadi leo wote tungekuwa maskini
Wanaume wa Kenya wakiolewa na wazungu, ukoo mzima hufanya sherehe, kwa mwanaume wa Kenya kuolewa na mzungu ni kama amepata PhD. Kenya not yet UhuruAcha kurukaruka MK254
Nimekuuliza unavyokitukuza kizungu na kuona huwezi kupumua bila hiyo lugha hebu niambie wao walipokuja kutawala babu zako waliongea nao kizungu?
Kama sivyo jitathmini