Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Nakomalia, nataka kitalu, jameni mnaliwa sana kwa kutokujua kingereza, muachie na sisi mabeberu wa Afrika....meli zinaondoka na gesi yote...
Jameni ili mpate kitalu kwanza acheni ukabila, Ukabila itakuwa ni kikwazo kwenu kuja kupata kitalu huku Tz kwani mkiruhusiwa tu itakuwa kama ilivyokuwa "Scramble for Africa" kwa Wazungu, hiyo yenu itakuwa "Scramble for Tz", hapo sasa mtatoana roho kwa uroho wa resources, Mkikuyu atataka apate share yote na wakikuyu wenzake, Mjaluo atataka wajaluo wote wa Kenya na wale wa Tz wapate vitalu vyote hapo bado Mkurya, Mkamba Mmasai Mkalenjin, Mkisii, Mporkot nk, ni bora Wajilie Wazungu kuliko nyie Wakabila kwani mkipewa mtauana kutokana na tamaa za mali iliyokolezwa na Chuki za ukabila---- tunawaonea huruma msije kuuana kugombea resources za Tz kwani si tunaona Wajameni kwamba licha ya utajiri wenu wa kiuchumi mnaojivunia lakini kila siku mnashikwa na njaa kitu ambacho Uhuru (the biggest Beberu in Kenya) anaweza kutoa his own pocket money kudhibiti njaa ya kila siku, what's the problem???---- it is ukabila which eats you in the bottom of your heart.