Watanzania wa kwenye mitandao, ombeni msaada kwa Wakenya namna ya kupambana na mabeberu. Mnatia huruma

Watanzania wa kwenye mitandao, ombeni msaada kwa Wakenya namna ya kupambana na mabeberu. Mnatia huruma

Nakomalia, nataka kitalu, jameni mnaliwa sana kwa kutokujua kingereza, muachie na sisi mabeberu wa Afrika....meli zinaondoka na gesi yote...

Jameni ili mpate kitalu kwanza acheni ukabila, Ukabila itakuwa ni kikwazo kwenu kuja kupata kitalu huku Tz kwani mkiruhusiwa tu itakuwa kama ilivyokuwa "Scramble for Africa" kwa Wazungu, hiyo yenu itakuwa "Scramble for Tz", hapo sasa mtatoana roho kwa uroho wa resources, Mkikuyu atataka apate share yote na wakikuyu wenzake, Mjaluo atataka wajaluo wote wa Kenya na wale wa Tz wapate vitalu vyote hapo bado Mkurya, Mkamba Mmasai Mkalenjin, Mkisii, Mporkot nk, ni bora Wajilie Wazungu kuliko nyie Wakabila kwani mkipewa mtauana kutokana na tamaa za mali iliyokolezwa na Chuki za ukabila---- tunawaonea huruma msije kuuana kugombea resources za Tz kwani si tunaona Wajameni kwamba licha ya utajiri wenu wa kiuchumi mnaojivunia lakini kila siku mnashikwa na njaa kitu ambacho Uhuru (the biggest Beberu in Kenya) anaweza kutoa his own pocket money kudhibiti njaa ya kila siku, what's the problem???---- it is ukabila which eats you in the bottom of your heart.
 
Kwanza nyie mumeingia kwenye ukabila kichwa kichwa, mumekua mabingwa wa ukabila, naona kila kitu mnapeleka Chato, sasa lini watapata maendeleo watu wa Kigoma kule ambao huhangaika kutwa.
Anyway turejelee ombi langu, mtupatie sisi Waafrika wenzenu kitalu, maana hata Wasouth ambao huwatafuna kwenye madini sio weusi, ni muda sisi mabeberu weusi tupate fursa....hehehe hadi raha.
 
Sawa karibuni, ila you have to guarantee you'll firstly renounce tribalism, that is an important condition.

Karibu Brother Gichana. Sisi
hatuna ukabila kama nyie, nyie ni ndugu zetu. We are well bred. 🤣
 
Kawaida mabeberu na vyombo vyao kama CNN wakijikanganya na kuingia kwenye kumi na nane za Wakenya, huwa wanakiona cha moto na kutengua kauli zao. Naona Marekani wameanza shughuli dhidi ya Watz kwa kusindika kura kwenye uchaguzi uliopita, ila sasa mataga wanajibu bila mikakati.

Ombeni msaada kutoka kwa Wakenya wa kwenye mitandao muone itakavyowaka moto na ndani ya masaa machache Marekani watawaomba msamaha, ila mkiendelea wenyewe hivi mnajiabisha maana mtapuuzwa tu.

Poleni bandugu ila hiyo issue ya uchaguzi naona kama haitawatoka hivi hivi tu, japo nakosa kuwaelewa Marekani mbona hawajasema vya Uganda ambapo demokrasia imebakwa mchana kweupe.

2670892_59548241-158E-4D33-92EC-C088798C7252.jpeg

2671008_Screenshot_20210119-194346.jpg
Musubiri chanjo yenu ya korona ya msaada kutoka Kwa mabeberu cjui ndio malipo ya kupambana na mabeberu vizur ama vipi?
 
Sawa karibuni, ila you have to guarantee you'll firstly renounce tribalism, that is an important condition.

Karibu Brother Gichana. Sisi
hatuna ukabila kama nyie, nyie ni ndugu zetu. We are well bred. 🤣

Tatizo wewe hapo hauna uwezo huo, hata ukinikaribisha huna usemi wowote, wanaoachia hayo madini yachumwe na mabeberu ni top level kwenu huko na walalahoi wa Buza kazi yao kuangalia magari yakipita tu.
 
Kuanzia kesho Pompeo atakuwa nobody. Tatizo kumbukumbu zako zimejaa changamoto zetu tu lakini siyo matokeo.
Kwa jinsi ule uchaguzi ulivyoenda ni jambo la kushangaza kwa US kutoa adhabu ndogo kama hiyo, tena hawataki kutoa majina. Jiulize kwanini.
Us anajitutumua huku anaogopa
 
Kha! Tuogope aibu ya kiingereza!!? Kwani yeye anajua kiswahili? Anaogopa aibu ya kutojua kiswahili?

Msamehe bure tu huyu c ana mawazo ya kitumwa tumwa kwahiyo anaona mtu akiongea lugha ya kingereza anakua mtukufu na ndio maana wakenya wengi wana uwezo mdogo wa kufikiri sababu wanazan kuongea kwao kingereza bc wanawazid akili watu wote wasiongea kingereza
 
SecPompeo is a crooked person with a twisted mind like his boss D.Trump!

How about Trump not wanting a legit president take his seat in the oval office?

Is that even democratic?

Is that not interfering with a democrat process in a country arguably known as the father of democracy?
In a million, there are instances of one person, one person I am insisting, to be mad! In Tanzania, the system is all MAD, corrupt , undemocratic and therefore has to be treated accordingly!
 
battle ya mtandaoni wanafanya wapuuzi,watu makini wanafanya battle halisi kwa ground.

nyinyi hata hizo kelele huwa mnapiga ili muonekane mumeelewa sana kiingereza cha mhusika,ila kiuhalisia hamko kupambana naye

sasa kaa uone vile anapuuzwa.ndio utajua hatuna habari na maneno ya khanga sisi.
Kama msiba wa shoga tu
 
Msamehe bure tu huyu c ana mawazo ya kitumwa tumwa kwahiyo anaona mtu akiongea lugha ya kingereza anakua mtukufu na ndio maana wakenya wengi wana uwezo mdogo wa kufikiri sababu wanazan kuongea kwao kingereza bc wanawazid akili watu wote wasiongea kingereza

Wanavyojidai na hicho kiingereza utadhani ticket ya kwenda heaven😃😉
 
Tatizo wewe hapo hauna uwezo huo, hata ukinikaribisha huna usemi wowote, wanaoachia hayo madini yachumwe na mabeberu ni top level kwenu huko na walalahoi wa Buza kazi yao kuangalia magari yakipita tu.

Nyie sio mabeberu weusi??, njooni na mapesa yenu kama wawekezaji, nendeni TIC (Tanzania investment centre) mtapewa vitalu sio (kitalu).

Mkinyimwa ndio mje hapa JF na malalamiko yenu.

Lakini katika hivyo vitalu wasijae Wakenya tupu. Your disease is tribalism.
 
Ni mtu gani mwenye akili nzuri akajisifia ubaya?!!--- kuwa beberu unaona ni sifa??!.

Eti Kenya ina uchumi mzuri??!!🤣 mgekufa na njaa kila siku kwa huo uchumi wenu "mzuri" wa kibeberu??!!🤣. It's just like an insane talking bullshits.
Ni bora wangekufa kwa njaa tu

Wanauzwa Libya kama ng'ombe
Screenshot_20210112-080002~2.png
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

MK254 nyinyi si mnauzwa Libya kama ng'ombe
Mooooòoo mooooooooo
Hahahaha usilione linapiga domo hapo unaweza kuta lipo Libya kwenye nyumba ya muarabu linatumikishwa na minyororo shingoni na linavyoonekana litiifu kwa tamaduni za wanaume wenzake, linaonekana ni litumwa litiifu sana kwa master wake
 
Back
Top Bottom