JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Pongezi nyingi ziwafikie, ujumbe umefika.Encouraging gestures
Huu ni mwanzo mzuri
LissuWameratibia na nani? Ili tuweze kijua mwelekeo wao
Wazazi wetu wamestaafu miaka Kumi iliyopita hakuna hata mbunge mmoja anayewasemea hawana pesa yoyote hadi popote ulipo mtanzania tangaza katiba mpyaBaadhi ya walioko katika maandamano wanafahamika....
Ni vijana wa wenye nazo,maisha bora na wenye pesa waliolelewa Masaki ,Kichanga Chui ,Mikocheni maeneo ya Regency na mitaa ya Ursino,Ada Estate ,Upanga....
Hivi kweli hawa ndio WANAWASEMEA watanzania wote hata wa kule Nyanguge ,Kwimba ,Sakura ,Kibinda ,Mkwaja ,Bweni ,Tanganyika Masagati ,Mlimba na Mkoka Nachingwea?!!!!
Yaani watanzania hao nao wanahitaji katiba mpya ?!!!😳🤣🤣
#Siempre JMT🙏
#Katiba Iliyopo Inatosha 👍
MAREKANI KUANDAMA NI HAKI YA RAIA HUKU TANZANIA TUKIANDAMANA TUNAPIGWA RISASI SASA HAKI ZETU TUKADAI WAPI?waandamanaji 18 US wanadai katiba wakati mamilioni ya watanzania waishio Tanzania wametulia wanajenga nchi.
Yaani ustaafu kihalali halafu usilipwe hata baada ya miaka 10 ?!!!😳🤣🤣Wazazi wetu wamestaafu miaka Kumi iliyopita hakuna hata mbunge mmoja anayewasemea hawana pesa yoyote hadi popote ulipo mtanzania tangaza katiba mpya
safi sana kumbe unaogopa moto.MAREKANI KUANDAMA NI HAKI YA RAIA HUKU TANZANIA TUKIANDAMANA TUNAPIGWA RISASI SASA HAKI ZETU TUKADAI WAPI?
kumbe wewe ndio mwizi unaetafutwasafi sana kumbe unaogopa moto.
🤣🤣🤣waandamanaji 18 US wanadai katiba wakati mamilioni ya watanzania waishio Tanzania wametulia wanajenga nchi.