Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani
Chifu Hangaya ana ngozi ngumu...

Mh.Chifu mkuu wa machifu wote Tanzania AMESHAYAZOEA HAYO.....si mageni hata kidogo

2919449_079E2A09-4AEF-4AB7-B330-422CE107A946.jpeg
 
Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali.

Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19 wanaodaiwa kuwa Bungeni kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

CHADEMA kweli ni chama cha matukio ......

Ona hayo mabango....

Yaangalie tu 🤣🤣🤣🤣
 
Nilimwambia mama, sio kila kitu cha jpm ni cha kukipotezea. Ukatili kwa hawa wanaojiita 'wapinzani' ni jambo muhimu sana na lazima ,kiongozi mkuu wa nchi hii, au ya kiafrika yoyote, lazima uwe na ukatili fulani; tofauti na hapo tegemea kina lema, lissu na mbowe kukuchezea kama hivi. Na bado, wataleta hizi drama zao kila leo na kila siku utaona zinakaribia zaidi na mwishowe utawakuta mpaka nyumbani kwako kabisa ukiwa mapumzikoni.

Hawa ni kuwakagame tu hata hukohuko, shenzi zao!! Ukiwa na hawa jamaa hautofanya shughuli yoyote ya kimaendeleo na mwishowe warship kukunanga na kukutukana. Na kama ukiyafsnya maendeleo huku unawachekea hawa basi hayatoonekana maendeleo hayo na badala yake yataonekana mabaya tu dumb daima!!!

MAMA HUJIFUNZI KWA KIKWETE?!!!!!!!!! Aliwaheshimu na kuwajali kupita kiasi walimlipa nini zaidi ya matusi na kejeli za kudhalilisha kabisa zinazomuandama hadi leo?!!!!!! Mwamba jpm alijua akiwachekea hawa hatofanya na halitoonekana lolote jema lake, AKAWAFINYIA MBALI huko na akajipatia nafasi ya kufanya mambo yake kwa uhuru na mwishowe nchi yote ikaimba jina lake........mpaka ya kikwete yakawa yake na kikwete amebaki mweupeeee km aliyepita na kulala tu pale ikulu.

MAMA UNATAKA YAKUKUTE HAYA YA KIKWETE?!!!! Si mazuri kwa hadhi ya uraisi......TWANGILIA MBALI wapuuzi hao km alivyofanya jpm. Kuongoza hakuhitaji huruma za dini kwa sababu kuna mishetani imejazana kukuharibia.....TWANGILIA MBALI HAOOOOO!!!
Aheri ungekuwa umekosa vyote, ukabahatika kupata akili. Pole sana.
 
Duuuh 😳😳😳
 
Wazazi wetu wamestaafu miaka Kumi iliyopita hakuna hata mbunge mmoja anayewasemea hawana pesa yoyote hadi popote ulipo mtanzania tangaza katiba mpya
Wacha uongo wewe! Mstaafu gani amekaa miaka 10 bila kulipwa? Unatafuta sifa za kijinga mwamba!
 
Nilimwambia mama, sio kila kitu cha jpm ni cha kukipotezea. Ukatili kwa hawa wanaojiita 'wapinzani' ni jambo muhimu sana na lazima ,kiongozi mkuu wa nchi hii, au ya kiafrika yoyote, lazima uwe na ukatili fulani; tofauti na hapo tegemea kina lema, lissu na mbowe kukuchezea kama hivi. Na bado, wataleta hizi drama zao kila leo na kila siku utaona zinakaribia zaidi na mwishowe utawakuta mpaka nyumbani kwako kabisa ukiwa mapumzikoni.

Hawa ni kuwakagame tu hata hukohuko, shenzi zao!! Ukiwa na hawa jamaa hautofanya shughuli yoyote ya kimaendeleo na mwishowe warship kukunanga na kukutukana. Na kama ukiyafsnya maendeleo huku unawachekea hawa basi hayatoonekana maendeleo hayo na badala yake yataonekana mabaya tu dumb daima!!!

MAMA HUJIFUNZI KWA KIKWETE?!!!!!!!!! Aliwaheshimu na kuwajali kupita kiasi walimlipa nini zaidi ya matusi na kejeli za kudhalilisha kabisa zinazomuandama hadi leo?!!!!!! Mwamba jpm alijua akiwachekea hawa hatofanya na halitoonekana lolote jema lake, AKAWAFINYIA MBALI huko na akajipatia nafasi ya kufanya mambo yake kwa uhuru na mwishowe nchi yote ikaimba jina lake........mpaka ya kikwete yakawa yake na kikwete amebaki mweupeeee km aliyepita na kulala tu pale ikulu.

MAMA UNATAKA YAKUKUTE HAYA YA KIKWETE?!!!! Si mazuri kwa hadhi ya uraisi......TWANGILIA MBALI wapuuzi hao km alivyofanya jpm. Kuongoza haku. Kwa bahati nzurihitaji huruma za dini kwa sababu kuna mishetani imejazana kukuharibia.....TWANGILIA MBALI HAOOOOO!!!
Wewe ni chawa wa nani?

Unamdanganya sana 'Maza Mizinguo' kwa hayo unayomshauri ayafanye.

Kwa bahati nzuri anazo akili za kumtosha kutofuata upumbavu unaojaribu kumhimiza aufanye.
 
Wakati wao wakiandamana wenzao kule wanaendelea kuanguka signature tu.......

Demokrasi Raha sana.
1650805223037.jpg
 
Back
Top Bottom