Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ujumbe umefikaWako Marekani na Kiingereza chao kibovu! eti " TANZANIAN WANTS CONSTITUTION"× badala ya TANZANIANS WANT CONSTITUTION✓
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe umefikaWako Marekani na Kiingereza chao kibovu! eti " TANZANIAN WANTS CONSTITUTION"× badala ya TANZANIANS WANT CONSTITUTION✓
Pro mwendazake mna tabu sana. Katiba ni lazima. Hata huyo unayemwambia atwange wenzake ni katiba ndio imemfikisha hapo. Jibuni hoja kwa hoja sio hoja inajibiwa na rungu. Mmekua wadhaifu kiasi kwamba hata hoja ndogo mnataka kutumia bunduki. Shame on youNilimwambia mama, sio kila kitu cha jpm ni cha kukipotezea. Ukatili kwa hawa wanaojiita 'wapinzani' ni jambo muhimu sana na lazima ,kiongozi mkuu wa nchi hii, au ya kiafrika yoyote, lazima uwe na ukatili fulani; tofauti na hapo tegemea kina lema, lissu na mbowe kukuchezea kama hivi. Na bado, wataleta hizi drama zao kila leo na kila siku utaona zinakaribia zaidi na mwishowe utawakuta mpaka nyumbani kwako kabisa ukiwa mapumzikoni.
Hawa ni kuwakagame tu hata hukohuko, shenzi zao!! Ukiwa na hawa jamaa hautofanya shughuli yoyote ya kimaendeleo na mwishowe warship kukunanga na kukutukana. Na kama ukiyafsnya maendeleo huku unawachekea hawa basi hayatoonekana maendeleo hayo na badala yake yataonekana mabaya tu dumb daima!!!
MAMA HUJIFUNZI KWA KIKWETE?!!!!!!!!! Aliwaheshimu na kuwajali kupita kiasi walimlipa nini zaidi ya matusi na kejeli za kudhalilisha kabisa zinazomuandama hadi leo?!!!!!! Mwamba jpm alijua akiwachekea hawa hatofanya na halitoonekana lolote jema lake, AKAWAFINYIA MBALI huko na akajipatia nafasi ya kufanya mambo yake kwa uhuru na mwishowe nchi yote ikaimba jina lake........mpaka ya kikwete yakawa yake na kikwete amebaki mweupeeee km aliyepita na kulala tu pale ikulu.
MAMA UNATAKA YAKUKUTE HAYA YA KIKWETE?!!!! Si mazuri kwa hadhi ya uraisi......TWANGILIA MBALI wapuuzi hao km alivyofanya jpm. Kuongoza hakuhitaji huruma za dini kwa sababu kuna mishetani imejazana kukuharibia.....TWANGILIA MBALI HAOOOOO!!!
Mi panya Road km hao ni kuwatwanga tu!Pro mwendazake mna tabu sana. Katiba ni lazima. Hata huyo unayemwambia atwange wenzake ni katiba ndio imemfikisha hapo. Jibuni hoja kwa hoja sio hoja inajibiwa na rungu. Mmekua wadhaifu kiasi kwamba hata hoja ndogo mnataka kutumia bunduki. Shame on you
BAO LA KISIGINOPongezi nyingi ziwafikie, ujumbe umefika.
hahahaha imenibidi nicheke nikikumbuka ile interview ya Kikeke wa BBC na Mama Samia juu ya katiba mpya.Nilimwambia mama, sio kila kitu cha jpm ni cha kukipotezea. Ukatili kwa hawa wanaojiita 'wapinzani' ni jambo muhimu sana na lazima ,kiongozi mkuu wa nchi hii, au ya kiafrika yoyote, lazima uwe na ukatili fulani; tofauti na hapo tegemea kina lema, lissu na mbowe kukuchezea kama hivi. Na bado, wataleta hizi drama zao kila leo na kila siku utaona zinakaribia zaidi na mwishowe utawakuta mpaka nyumbani kwako kabisa ukiwa mapumzikoni.
Hawa ni kuwakagame tu hata hukohuko, shenzi zao!! Ukiwa na hawa jamaa hautofanya shughuli yoyote ya kimaendeleo na mwishowe warship kukunanga na kukutukana. Na kama ukiyafsnya maendeleo huku unawachekea hawa basi hayatoonekana maendeleo hayo na badala yake yataonekana mabaya tu dumb daima!!!
MAMA HUJIFUNZI KWA KIKWETE?!!!!!!!!! Aliwaheshimu na kuwajali kupita kiasi walimlipa nini zaidi ya matusi na kejeli za kudhalilisha kabisa zinazomuandama hadi leo?!!!!!! Mwamba jpm alijua akiwachekea hawa hatofanya na halitoonekana lolote jema lake, AKAWAFINYIA MBALI huko na akajipatia nafasi ya kufanya mambo yake kwa uhuru na mwishowe nchi yote ikaimba jina lake........mpaka ya kikwete yakawa yake na kikwete amebaki mweupeeee km aliyepita na kulala tu pale ikulu.
MAMA UNATAKA YAKUKUTE HAYA YA KIKWETE?!!!! Si mazuri kwa hadhi ya uraisi......TWANGILIA MBALI wapuuzi hao km alivyofanya jpm. Kuongoza hakuhitaji huruma za dini kwa sababu kuna mishetani imejazana kukuharibia.....TWANGILIA MBALI HAOOOOO!!!
Unakubali kwamba kuna matatizo lakini hauko tayari kwa reform?Badala ya katiba mabango yangebeba ujumbe kumshurtisha Rais arudi nyumbani kushughulika na mambo muhimu zaidi tunayokabiliana nayo kama kudorora kwa uchumi kutokana na mambo mbali mbali.
Yaani kwa hali ya uchumi namna ilivyo mbaya ni anasa tu zinazofanyika huo uzinduzi wa filamu.
Wameupiga mwingi sana yaani.Pongezi nyingi ziwafikie, ujumbe umefika.
🤣🤣🤣hahahaha imenibidi nicheke nikikumbuka ile interview ya Kikeke wa BBC na Mama Samia juu ya katiba mpya.
Mama akamchenjia Kikeke, watz wamekutuma?
Hehehe leo mnaongelea kwa mbali tu hamuwawezi sijui mngewafanyaje wengekutania hapa Tz🤣🤣🤣🤣🤣
Hao ni vijana wenzetu waliokulia katika maisha bora viunga vya Ursino ,Ada Estate ,Regency...wazazi wao wakawapeleka US....wengine ni wabwia unga tu......
Nakushauri tu unapo comment hapa uwe makini na Lugha unazotumia.Nilimwambia mama, sio kila kitu cha jpm ni cha kukipotezea. Ukatili kwa hawa wanaojiita 'wapinzani' ni jambo muhimu sana na lazima ,kiongozi mkuu wa nchi hii, au ya kiafrika yoyote, lazima uwe na ukatili fulani; tofauti na hapo tegemea kina lema, lissu na mbowe kukuchezea kama hivi. Na bado, wataleta hizi drama zao kila leo na kila siku utaona zinakaribia zaidi na mwishowe utawakuta mpaka nyumbani kwako kabisa ukiwa mapumzikoni.
Hawa ni kuwakagame tu hata hukohuko, shenzi zao!! Ukiwa na hawa jamaa hautofanya shughuli yoyote ya kimaendeleo na mwishowe warship kukunanga na kukutukana. Na kama ukiyafsnya maendeleo huku unawachekea hawa basi hayatoonekana maendeleo hayo na badala yake yataonekana mabaya tu dumb daima!!!
MAMA HUJIFUNZI KWA KIKWETE?!!!!!!!!! Aliwaheshimu na kuwajali kupita kiasi walimlipa nini zaidi ya matusi na kejeli za kudhalilisha kabisa zinazomuandama hadi leo?!!!!!! Mwamba jpm alijua akiwachekea hawa hatofanya na halitoonekana lolote jema lake, AKAWAFINYIA MBALI huko na akajipatia nafasi ya kufanya mambo yake kwa uhuru na mwishowe nchi yote ikaimba jina lake........mpaka ya kikwete yakawa yake na kikwete amebaki mweupeeee km aliyepita na kulala tu pale ikulu.
MAMA UNATAKA YAKUKUTE HAYA YA KIKWETE?!!!! Si mazuri kwa hadhi ya uraisi......TWANGILIA MBALI wapuuzi hao km alivyofanya jpm. Kuongoza hakuhitaji huruma za dini kwa sababu kuna mishetani imejazana kukuharibia.....TWANGILIA MBALI HAOOOOO!!!
She was taken by surpriseWameupiga mwingi sana yaani.
Ni kama tunavyojadili hapa au wewe unadhani jukwaa linakusaidia nini?.Sasa hawa jamaa wanadhani marekani itawasaidia nini?
This is a cool way of time wastage.
Hata galaxy nzima ikijua still no one cares!Sanaa. Dunia yote ijue kuwa watanzania wanahitaji constitutional Reform.
Hongera sana kwa Diaapora US
Mbowe na makundi yake wana taabu sanaa 🤣🤣🤣
Waje kuandamana huku nyumbani Tanzania kwani Wamarekani hawatoweza kuwasaidia lolote katika hoja yao ya katiba mpya 🤣🤣
#Siempre JMT🙏
Watoto wa kishua wanaandamana kutafuta mambo mazuri ya kitaifa nyie wanyonge mmelala tu.Hata galaxy nzima ikijua still no one cares!
Na hao watoto wa kishua 20 sijui walioandamana hawatoshi kwa hata foot 40 za kijiji kujua uwepo wao sembuse dunia nzima yenye mambo mengi ya msingi kama uchumi kuyumba sababu ya vita ya russia na ukraine.
Unless you're sleep walking.
Wangeandamana 1000 sijui ingekuwaje. 20 tu wanawatoa jashoMACCM WAJINGA SANA!!!! Mnaweweseka nini?
Kwa wenzetu maandamano ni suala la kawaida tu. Hapa mnakuwa hamna raha kwa hao mnaosema sijui watu 20, sijui Wakongo etc.
ENIWEI - MESSAGE HAS BEEN SENT - LOUD AND CLEAR.
Kama wangekuwa wanajua maana ya kutafuta mambo mazuri ya kitaifa basi wasingekimbilia huko nje kwa watu weupe waliohangaika kwa mamia ya miaka kujenga kwao.Watoto wa kishua wanaandamana kutafuta mambo mazuri ya kitaifa nyie wanyonge mmelala tu.
Si ajabu wakawa watoto wa kishua wanajua what life means.
🙏🙏🙏Nakushauri tu unapo comment hapa uwe makini na Lugha unazotumia.
Hili ni jukwaa public linasomwa na watu wengi.
Unaweza kufikiri umetoa ushauri mzuri na kudhani kuwa utaungwa mkono.
Punguza munkali wa maneno.
Comment hizi huko mbeleni zinaweza kukuletea matatizo.
Alipaniki. Alitegemea maswali kama ya wale waandishi wa lumumba.hahahaha imenibidi nicheke nikikumbuka ile interview ya Kikeke wa BBC na Mama Samia juu ya katiba mpya.
Mama akamchenjia Kikeke, watz wamekutuma?