Baadhi ya walioko katika maandamano wanafahamika....
Ni vijana wa wenye nazo,maisha bora na wenye pesa waliolelewa Masaki ,Kichanga Chui ,Mikocheni maeneo ya Regency na mitaa ya Ursino,Ada Estate ,Upanga....
Hivi kweli hawa ndio WANAWASEMEA watanzania wote hata wa kule Nyanguge ,Kwimba ,Sakura ,Kibinda ,Mkwaja ,Bweni ,Mwera ,Kipumbwi ,Pembeabwe,Ipinda ,Matema ,Tanganyika Masagati ,Mlimba na Mkoka Nachingwea?!!!!
Yaani watanzania hao nao wanahitaji katiba mpya ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
#Siempre JMT[emoji120]
#Katiba Iliyopo Inatosha [emoji106]