Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
safi sana diaspora. You made us proud
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama ya peni 1 iliyotumika pale ni sawa na milo yako 15, kitendo cha kwenda pale amepoteza kama tsh laki 3, lile jiji wee aacha tu,Mbona Wachovu sana sura zao
Maisha yamewapiga si warudi tu Tanzania
Vitisho vya namna hii vinakaribia mwisho wake.Huyu dada kakomaa sana. Ajiangalie akirudi bongo
View attachment 2199637
Hata huku watafanya tu, na hakuna lolote mtakaloweza kuwafanya.Waje wafanye hayo wakiwa huku
Unatumia akili kuandika?Huyu dada kakomaa sana. Ajiangalie akirudi bongo
View attachment 2199637
Acha kupandikiza woga, arudi bongo kuna lipi la maana?
Wakati wa Katiba mpya ni lini? Hii ya Sasa haitekelezeki.maana imejengwa juuu ya utashi na uwezo wa mtu mmoja.SIPINGI UWEPO WA KATIBA MPYA....BALI NAAMINI SIO WAKATI WAKE SASA..
KWASASA TUJIKITE KWENYE UTEKELEZAJI WA KWELI WA HII ILIYOPO KIFUNGU KWA KIFUNGU NA BAADA YA KUITEKELEZA KWA ZAIDI YA 80% tunaweza sasa kudeal na haya mengine..
Ukishamdaka umemaliza kazi! iliyobaki kumsumbua CAG kupiga mahesabu yasiyo na majibu.Huyu dada kakomaa sana. Ajiangalie akirudi bongo
View attachment 2199637
Huyu dada kakomaa sana. Ajiangalie akirudi bongo
View attachment 2199637
Kuipenda nchi haimaanishi uipende serikali.wewe mbona uko bongo wakati hakuna la maana.
Ndugu yangu Tindo tuipende nchi yetu na tuipiganie hata kama kuna mambo sio rafiki, lakini ndio Taifa letu lazima tulipende na kuonyesha fahari kuzaliwa hapa..
Usihangaike na hawa chawa...si ajabu wakawa ni policcm wanalainisha mazingira ya kubaka demokrasia haswa kwenye watu kudai mambo ya msingi.Vitisho vya namna hii vinakaribia mwisho wake.
Msidhani mtaendelea kuwatisha watu milele...
Ruhusuni wenyewe mawazo mbadala wayatoe, hapo ndio mtajua madhaifu yenuwewe mbona uko bongo wakati hakuna la maana.
Ndugu yangu Tindo tuipende nchi yetu na tuipiganie hata kama kuna mambo sio rafiki, lakini ndio Taifa letu lazima tulipende na kuonyesha fahari kuzaliwa hapa..
Bado nafasi ipo nenda kazikwe karibu cc zitto,😀😀😀Nilimwambia mama, sio kila kitu cha jpm ni cha kukipotezea. Ukatili kwa hawa wanaojiita 'wapinzani' ni jambo muhimu sana na lazima ,kiongozi mkuu wa nchi hii...