Watanzania waandamana kwa hasira za kutamaushwa na mabasi ya mwendo kasi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Abiria ambao wamekua wakiteseka kwa kuyasubiri haya mabasi wameamua kujitokeza na kuandamana kwa hamaki, maana mradi wenyewe haueleweki, haukupangwa vizuri tangia mwanzo, na ndio maana hamna nchi ipo tayari kuiga hayo mateso na vurugu.

----------------------------------------

Last Monday Bus Rapid Transit commuters’ patience was tested to the limit.
After failing to board the buses at the Kimara Terminal in the city because of the shortage they decided to vent their frustration by demonstrating.

The passengers held their demonstration on the rapid bus lanes that enter the terminal, something which caused a long traffic jam.
Witnesses said commuters made the decision after spending many hours waiting for buses.
Commuters’ expression of anger took place exactly two years since the rapid buses project took off.
When the BRT project started on May 10, 2016, a lot of people thought that it would bring a taste of modernity in the chaotic Dar es Salaam’s public transport system.
Dashed hopes for modern public transport system in Dar
 
Sasa mkuu....huu uzi umewaandikia waingereza au sisi wananchi wa kawaida wapanda mwendokasi!!!maana umeanza vzr ukamaliza na uzungu,dah shida!!
 
Hizo ni changamoto za KAWAIDA za mradi.
Hata SGR YENU si mizigo bado ni machache? Ina maana bado demand ni ndogo. Sisi demand bado ni kubwa, sema fleet size ndiyo ndogo.
 
MK254

Kumbe lulu ametoka. Thanks for the news. Nimeona kwenye hilo gazeti.
 
Kazi Nzuri sana..Inaonekana BRT ya Dar iko na ushabiki mwingi sana bahati ni kwamba WB imetoa pesa ya ujenzi na upanuzi wa BRT. Usipoona customer complaints kwa biashara ujue hapo hakuna kazi unayo fanya. JPM Chapa Kazi
 
Ushabiki??? [emoji15] Lakini kama ni mkenya ananung'unika kwako inakuwa ni Uhuru must go! Ikifika ni Tz, JPM hoyee! Hizi akili za G.M.O hizi! 😎
 
Wakenya hawanug'uniki sababu ya Huduma kuwa zinafanya kazi na zinabidi ziongezwe ili zi wafikie wengi. Wakenya wanasumbuka na pesa za uma ambazo zinafaa kutoa huduma zina liwa na Jubilee. Na zile huduma abazo kwa kiasi zina fanya kazi zimejaa matapeli kama vile Umeme
 
Wabongo kuandamana? BRT slowly becoming a white elephant two years after
 
Wakenya hawanug'uniki sababu ya Huduma kuwa zinafanya kazi na zinabidi ziongezwe ili zi wafikie wengi. Wakenya wanasumbuka na pesa za uma ambazo zinafaa kutoa huduma zina liwa na Jubilee. Na zile huduma abazo kwa kiasi zina fanya kazi zimejaa matapeli kama vile Umeme
Woooi, siujitie kitanzi tu!
 
Negative Effects of Floods, Wananchi wasubiri everything will be okay
Negative Effects of Floods, wakati Serikali iliambiwa na hakina Mnyika kuwa pale Jangwani apafai kuwa karakana ya mradi huo, serikali na mibunge yenu ya CCM ikapinga ushauri wa Mnyika kisa ni mbunge wa upinzani!!?, acheni mambo ya kiuni.
 
We acha kuni quote upumbavu wako, Kama umelogwa na uchadema wako shauri yako.. Ukitaka kuniquote usiingiize siasa majitaka.
 
Ama ni Wakenya vichwa ngumu wanaotembelea Dar BRT! 😀😀
Hahaha 😀 najaribu kufikiria maandamano ya kweli ya watz yatakuwa ya sampuli gani. Kuna wale wataanza kulia hata kabla ya vitoa machozi kulipuliwa. Alafu wataingia mtaani na kandambili na wote wamebeba sharubati ya machungwa huku wakiimba, haki zetu hoyeeeee! Haki tunazo hatuna? Twataka haki zetu! X15 [emoji23][emoji23] Cc. Nalendwa
 
Back
Top Bottom