Mama anatakiwa ajifunge kibwebwe kwelikweli tunautaka Ugali wetu 😁Aahahhha nafahamu hilo mkuu! Ila kuna mengi tuliporwa na yanahitaji muda kuyarejesha kwenye main track. Hivyo haiwezekani yote yakafanywa kwa wakati mmoja. Njia mbili zilimshinda fisi
Aahahhhahaa usijali, naye ni mpishi hodari. Ile miaka alokaa ughaibuni imempika vizuri, hawezi kutuangusha...!Mama anatakiwa ajifunge kibwebwe kwelikweli tunautaka Ugali wetu 😁
Ni kweli alichosema, unajua Uchumi uliuwawa na Magufuli, sasa tunataka Uchumi wetu wa Ugali mezani sio ule wa kwenye Magazeti ya kufungia Vitumbua.Aahahhhahaa usijali, naye ni mpishi hodari. Ile miaka alokaa ughaibuni imempika vizuri, hawezi kutuangusha...!
Hili la kudai katiba mpya linahitaji nguvu ya kuelimisha raia (public awareness), kwani huku mtaani watu wengi hawana hata habari na kitu kinaitwa katiba mpya.., muda wa kuwa wanaona pesa bado haijafika mikononi mwao. Raia wengi wapo na matumaini kwa Mh. Rais wakisubiri aibadilishe hali yao ya kiuchumi ambayo kwa kiasi kikubwa ni mbaya na wala sio aibu kusema.
Tangu mwaka 1961 mnajenga uchumi. Mmefikia wapi??Hili la kudai katiba mpya linahitaji nguvu ya kuelimisha raia (public awareness), kwani huku mtaani watu wengi hawana hata habari na kitu kinaitwa katiba mpya.., muda wa kuwa wanaona pesa bado haijafika mikononi mwao. Raia wengi wapo na matumaini kwa Mh. Rais wakisubiri aibadilishe hali yao ya kiuchumi ambayo kwa kiasi kikubwa ni mbaya na wala sio aibu kusema...
Kama hii ya Zamani inavunjwa na Viongozi sijui hata hiyo Mpya kama wataiheshimu ila Wafungulie Siasa za Majukwaani ili tuwafundishe Raia umuhimu wa Katiba Mpya kwetu na kwa Vizazi vijavyoNahotaka kusema ni kwamba kuna kazi kubwa ya kuwaelewesha raia waone umuhimu wa katiba mpya... Wengi huku hawajui...!!!
Hili ndilo la kufanywa sasa..!Kama hii ya Zamani inavunjwa na Viongozi sijui hata hiyo Mpya kama wataiheshimu ila Wafungulie Siasa za Majukwaani ili tuwafundishe Raia umuhimu wa Katiba Mpya kwetu na kwa Vizazi vijavyo
Hata nyumbani ktk familia, wana familia wanaweza wakadai nguo za sikukuu wakati baba ndio anajua kiasi cha pesa kilichopo kinatosha kununua mahitaji ya pilau tu na vinywaji. Hivyo atawaomba wasubiri kwa sikukuu hii wavae nguo za zamani lakini atahakikisha wanakula vizuri na vitamu. Sikukuu ijayo mambo yatakua sawa.., watapata na nguo za kutokea...!Tangu mwaka 1961 mnajenga uchumi. Mmefikia wapi??
Swala la kujenga uchumi halina mwsiho
Kila awamu ya serikali humu jf kuna id za wapigapanda wa upande wake.Watanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba Mpya apewe muda kidogo...
Tangu mwaka 1961 mnajenga uchumi. Mmefikia wapi??
Swala la kujenga uchumi halina mwsiho
No research no right to speak. Hiyo tathmini kuwa watz wamefurahi umeipata kwa siku moja tu? Huu sio tu ujinga bali ni uongo uliorithiwa kutoka kwa mwendazakeWatanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba Mpya apewe muda kidogo..
Kwa sasa mh. Rais tunakuomba uone umuhimu wa katiba mpya kwani hauna mipaka ya kuijenga na huwa haukamiliki kwamba hapa tayari sawa na tajiri ambavyo hatoshekiWatanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba Mpya apewe muda kidogo...
USITUSEMEE WATANZANIA SEMA WEWE UMEFURAHIA. UCHUMI UPI UNAOJENGWA SASA NA WAKATI TULIAMBIWA UCHUMI UMEIMARIKA NA SASA TUMEINGIA UCHUMI WA KATI. TUSISAHAU MLIYOYASEMA. HIVI MNATUONA WATANZANIA MAMBUMBU SANAWatanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba Mpya apewe muda kidogo.
Watanzania hao kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo ya Arusha, Mwanza, Dar es Salaam, na Mbeya wamesema ni kweli Rais Samia anahitaji muda wa kutosha kuboresha uchumi wetu ambao umeshuka kutokana na Corona hiyo asisumbuliwe na porojo za Katiba Mpya na Mikutano ya hadhara.
Rais Samia akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari ambapo kuhusiana na suala la Katiba Mpya amesema[emoji116]
“Niombe sana kama mnavyosema nimeanza vizuri nipeni muda nisimamishe uchumi wa nchi, halafu tutashughulikia mingine iwe Katiba, na mikutano ya siasa.”
Hakika kwasasa Watanzania wanaelewa mahali gani ambapo Mhe. Rais Samia anawapeleka ili kuhakikisha maisha yao yanakuwa bora zaidi, na si kuanzisha michakato inayogharimu pesa nyingi na mwishowe Wakina Mbowe na wenzake wataishia kukimbia.
#KaziIendelee #Siku100ZaSuluhu
Watanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba Mpya apewe muda kidogo.
Watanzania hao kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo ya Arusha, Mwanza, Dar es Salaam, na Mbeya wamesema ni kweli Rais Samia anahitaji muda wa kutosha kuboresha uchumi wetu ambao umeshuka kutokana na Corona hiyo asisumbuliwe na porojo za Katiba Mpya na Mikutano ya hadhara.
Rais Samia akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari ambapo kuhusiana na suala la Katiba Mpya amesema[emoji116]
“Niombe sana kama mnavyosema nimeanza vizuri nipeni muda nisimamishe uchumi wa nchi, halafu tutashughulikia mingine iwe Katiba, na mikutano ya siasa.”
Hakika kwasasa Watanzania wanaelewa mahali gani ambapo Mhe. Rais Samia anawapeleka ili kuhakikisha maisha yao yanakuwa bora zaidi, na si kuanzisha michakato inayogharimu pesa nyingi na mwishowe Wakina Mbowe na wenzake wataishia kukimbia.
#KaziIendelee #Siku100ZaSuluhu