Watanzania waishio nje ya nchi (Tanzania Diaspora) waanza kuandamana

Pia kwa vijana wenye ndoto za kuzamia mamtoni, kesho ndo fursa. Kaandamane, ukishapokea kichapo chakutosha, badala ya kwenda Amana, nenda ubalozi wa nchi ya chaguo lako ukaombe ukimbizi kwa sababu za kisiasa.

Hata hao wanao andamana huko Sweden walipata ukimbizi. Changamkieni fursa vijana.
 
Wewe una laana!Nakulaani papuchi ziendelee kuwa scarcity kwako na kwa marafiki wenzako wapenda papuchi kama wewe hadi mtubu kwa Watanzania
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nilitaka nione replay yako mkuu

Uzuri mm bado ndugu yako.
 
Inawezekana
We hv seriousily Problem Vile Hatujui.
 
Sisi kesho tumaanzia posta mpya, tunaingia njia gani vile! Tupeni mwongozo kabla ya 0600hrs tafadhali [emoji39]
 
Safi sana. Wameonesha kweli mfano kwa vitendo na historia itawakumbuka hakika.

Hata sie huku Tanzania, kesho tutaandamana kwa amani bila shida yeyote
 
Hata mange kimambi alikusanya wenzake hivi hivi...

Akifkiri na wabongo wataiga,wabongo kazi yao ikawa ku view clip tu huku...

wako zao chumbani na mabebe zao,Mange na ndugu zake na vibendera vyao....
 
Na wao walipiga kura?
 
Hongereni sana Chadema, bendera yenu imepewa pasport, viza ikapanda ndege kwenda Ulaya[emoji23]
na wenyewe ni ushindi pia.[emoji23]
 
Hapa Bongo maadamano yanaanzia wapi wakuu?


Dress code pls....vipi tuje na wachumba au tuwaache nyumbani.

Viongozi waliokosa kura tunaomba mwongozo.
 
Duh, kumbe hawa Watanzania wenzetu vichaa wa kisiasa, sio huku nchini tuu, kumbe hata baadhi ya Watanzania walioko nje nao pia ni vichaa tuu!.

Ama kweli

Paskali
 
Mwaka 2015 Maalimu alizunguka Ulaya kote na kwenye media zote za huko akarudi na mkono tupu.

Lisu na Kimambi wamepita kote huko hakuna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…