CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,914
- 3,476
Atuambie Huyo mana no waziri Wa habari na michezoMitandao imeshafunguliwa?

Kura tupige sisi, alafu nyingi muandamane?View attachment 1617314
Watanzania tuishio nje ya nchi (TANZANIA DIASPORA) tumeanza kuandamana kupinga UCHAFUZI uliofanyika juzi hapo nyumbani Tanzania!
Hawa ni ndugu zetu kutoka Ulaya ya Kaskazini (Sweden 🇸🇪, Norway 🇳🇴 na Denmark 🇩🇰) ambao tayari wameanza maandamano yao nje ya Ubalozi wetu uliopo Stockholm, Sweden...
Watanzania tuishio nchini hapa Ufaransa 🇫🇷 tunaandaa maandamano hayo kesho Jumatatu, November 2, 2020 nje ya Ubalozi wa Tanzania 🇹🇿 nchini Ufaransa 🇫🇷.
Maandamano yataanza saa 2 asubuhi na kumalizika saa 6 mchana!
Baada ya maandamano, WAZANZIBARI tuishio nchini hapa, kwa kuongozwa na Balozi wetu (BABU MZANZIBARI), tutazindua Ubalozi wetu (Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar nchini Ufaransa)... Ofisi za Ubalozi wetu zipo mitaa ya TROCADÉRO, karibu sana na mnara wa EIFFEL, jijini hapa PARIS...
Kwa niaba ya Wazanzibari wote waishio nchini hapa Ufaransa, mimi, BABU MZANZIBARI, Balozi wa Zanzibar nchini Ufaransa, natumia fursa hii kuwakaribisha ndugu zetu Watanzania waishio nchini hapa, katika uzinduzi wa Ubalozi wetu!
Usafiri, kula, kunywa ni kwa gharama yangu mwenyewe!...
Kwa kauli moja, tumekubaliana kuwa hatuitambui serikali haramu ya John Pombe Joseph Magufuli! Hatuitambui serikali haramu ya Hussein Ali Hassan Mwinyi!
Rais wa Zanzibar tunayemtambua ni Maalim Seif Sharif Hamad aliyechaguliwa na wananchi wa Zanzibar!... Na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunayemtambua ni Tundu Antipas Lissu, aliyechaguliwa na Watanzania!...
Mungu ibariki Zanzibar yenye mamlaka kamili, Mungu ibariki Tanzania!... 🙏🏾
Mmeshiba urojo?View attachment 1617314

Mkuu ni kweli unahangaikaa..yaani hajakosea kabisa..hata mimi nimeling'amua hilo..ebu tulia na familia yako haya mambo tuwachie sisi wajuzi wa mambo.Wewe ndio unahangaika kunifuatilia
Msipomfunga brake na nani,mfunge brake mwenyeweMsitegemee Magufuli atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
Dah mkuu, kumbe nawe una matusi.Duh, kumbe hawa Watanzania wenzetu vichaa wa kisiasa, sio huku nchini tuu, kumbe hata baadhi ya Watanzania walioko nje nao pia ni vichaa tuu!.
Ama kweli
![]()
Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
Wanabodi, Saa hizi natafuta usingizi unagoma, hivyo nimeshuka jf, tutafakari pamoja kuhusu huu utafiti uliowahi kufanywa na kubaini kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ni kichaa!. Jee katika hizo sampling, inawezekana pia kukawa na baadhi ya viongozi wetu wa vyama, taasisi, mashirika, na...www.jamiiforums.com
Paskali
Yaani suali lako ni fupi na linalojitosheleza.Kura tupige sisi, alafu nyingi muandamane?
Kinachowawasha nini?
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.Nje ya mipaka ya Tanzania watafanya chochote, ila humu ndani bado ni mtihani mkubwa sana...
Msije shangaa kesho mkaambiwa ni siku ya usafi alafu wasimamizi ni wanajeshi...
Cc: mahondaw
Hoyo pesa ndani unaipata wapi wakati umefilisi watu,utalii hakuna corona imeharibu mambo.Umesahau hata bajeti yetu ni 79% pesa ya ndani. Au ulikuwa na mgao Iptl?
Mia sanaaaa [emoji122][emoji122][emoji122] jioni nakusubiria hapa Jukwaani unipe mrejeshooNa Mimi nimejianda vilivyo kesho sifi kizembe
We huna akili! Hutakiwi hata kuniquote.Hoyo pesa ndani unaipata wapi wakati umefilisi watu,utalii hakuna corona imeharibu mambo.
Unawatishia watu kifo.mbona wako tayariNauza majeneza
Jichanganyeni niuze ya kutosha.
Wenye akili wanakwambia 40% ya bajeti inatplewa na wafadhili.We huna akili! Hutakiwi hata kuniquote.
Zima simu ulale.Wenye akili wanakwambia 40% ya bajeti inatplewa na wafadhili.
We mama mnafiki saana kelele zote hata hujui kinacho endelea we subir uone wenzio kesho watatembelea ugokoView attachment 1617314
Watanzania tuishio nje ya nchi (TANZANIA DIASPORA) tumeanza kuandamana kupinga UCHAFUZI uliofanyika juzi hapo nyumbani Tanzania!
Hawa ni ndugu zetu kutoka Ulaya ya Kaskazini (Sweden [emoji1236], Norway [emoji1189] na Denmark [emoji1087]) ambao tayari wameanza maandamano yao nje ya Ubalozi wetu uliopo Stockholm, Sweden...
Watanzania tuishio nchini hapa Ufaransa [emoji632] tunaandaa maandamano hayo kesho Jumatatu, November 2, 2020 nje ya Ubalozi wa Tanzania [emoji1241] nchini Ufaransa [emoji632].
Maandamano yataanza saa 2 asubuhi na kumalizika saa 6 mchana!
Baada ya maandamano, WAZANZIBARI tuishio nchini hapa, kwa kuongozwa na Balozi wetu (BABU MZANZIBARI), tutazindua Ubalozi wetu (Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar nchini Ufaransa)... Ofisi za Ubalozi wetu zipo mitaa ya TROCADÉRO, karibu sana na mnara wa EIFFEL, jijini hapa PARIS...
Kwa niaba ya Wazanzibari wote waishio nchini hapa Ufaransa, mimi, BABU MZANZIBARI, Balozi wa Zanzibar nchini Ufaransa, natumia fursa hii kuwakaribisha ndugu zetu Watanzania waishio nchini hapa, katika uzinduzi wa Ubalozi wetu!
Usafiri, kula, kunywa ni kwa gharama yangu mwenyewe!...
Kwa kauli moja, tumekubaliana kuwa hatuitambui serikali haramu ya John Pombe Joseph Magufuli! Hatuitambui serikali haramu ya Hussein Ali Hassan Mwinyi!
Rais wa Zanzibar tunayemtambua ni Maalim Seif Sharif Hamad aliyechaguliwa na wananchi wa Zanzibar!... Na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunayemtambua ni Tundu Antipas Lissu, aliyechaguliwa na Watanzania!...
Mungu ibariki Zanzibar yenye mamlaka kamili, Mungu ibariki Tanzania!... [emoji1488]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]fursaaaPia kwa vijana wenye ndoto za kuzamia mamtoni, kesho ndo fursa. Kaandamane, ukishapokea kichapo chakutosha, badala ya kwenda Amana, nenda ubalozi wa nchi ya chaguo lako ukaombe ukimbizi kwa sababu za kisiasa.
Hata hao wanao andamana huko Sweden walipata ukimbizi. Changamkieni fursa vijana.