Watanzania waishio nje ya nchi (Tanzania Diaspora) waanza kuandamana

Hata mange kimambi alikusanya wenzake hivi hivi...

Akifkiri na wabongo wataiga, wabongo kazi yao ikawa ku view clip tu huku...

wako zao chumbani na mabebe zao, Mange na ndugu zake na vibendera vyao....
Kuhusu WABONGO KUANDAMANA Hilo msahau..mibongo mioga kinoma
 
Hahaha...

Kama wanataka watanzania wawaunge mkono...watafute pesa wawape wale wavuta bangi wa mitaani...

Hatujafikia kwenye shida za kutuingiza barabarani sisi.
Kabisa mkuu,tena kesho nina bonge la dili pale Azikiwe.hawa jamaa wanataka kunifelisha na vurugu zao.
 
Mmeandama mko wawili watatu ?? Seriously? Mbona kama mnajipanga kupiga picha ya ukumbusho?........tunakusubilia passport yako iishe au ujirudishe nyumbani Kwa bahati mbaya ndio utajua ujui.....hiyo nauli unayogawa uko kifisadi utaiomba uku bongo......
Waki lobby hawa mabeberu lazima watawakatia kinachoingia kwenye bakuli mabeberu watakiondoa.
 
Dr. Wilbrod Slaa, balozi wa Tanzania nchini Sweden ajitokeze kubeza maandamano haya ya kudai uhuru na haki za waTanzania zilizobinywa ktk uchaguzi mkuu wa 2020.
 
View attachment 1617314

Watanzania tuishio nje ya nchi (TANZANIA DIASPORA) tumeanza kuandamana kupinga UCHAFUZI uliofanyika juzi hapo nyumbani Tanzania!

Hawa ni ndugu zetu kutoka Ulaya ya Kaskazini (Sweden 🇸🇪, Norway 🇳🇴 na Denmark 🇩🇰) ambao tayari wameanza maandamano yao nje ya Ubalozi wetu uliopo Stockholm, Sweden...

Watanzania tuishio nchini hapa Ufaransa 🇫🇷 tunaandaa maandamano hayo kesho Jumatatu, November 2, 2020 nje ya Ubalozi wa Tanzania 🇹🇿 nchini Ufaransa 🇫🇷.

Maandamano yataanza saa 2 asubuhi na kumalizika saa 6 mchana!

Baada ya maandamano, WAZANZIBARI tuishio nchini hapa, kwa kuongozwa na Balozi wetu (BABU MZANZIBARI), tutazindua Ubalozi wetu (Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar nchini Ufaransa)... Ofisi za Ubalozi wetu zipo mitaa ya TROCADÉRO, karibu sana na mnara wa EIFFEL, jijini hapa PARIS...

Kwa niaba ya Wazanzibari wote waishio nchini hapa Ufaransa, mimi, BABU MZANZIBARI, Balozi wa Zanzibar nchini Ufaransa, natumia fursa hii kuwakaribisha ndugu zetu Watanzania waishio nchini hapa, katika uzinduzi wa Ubalozi wetu!

Usafiri, kula, kunywa ni kwa gharama yangu mwenyewe!...

Kwa kauli moja, tumekubaliana kuwa hatuitambui serikali haramu ya John Pombe Joseph Magufuli! Hatuitambui serikali haramu ya Hussein Ali Hassan Mwinyi!

Rais wa Zanzibar tunayemtambua ni Maalim Seif Sharif Hamad aliyechaguliwa na wananchi wa Zanzibar!... Na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunayemtambua ni Tundu Antipas Lissu, aliyechaguliwa na Watanzania!...

Mungu ibariki Zanzibar yenye mamlaka kamili, Mungu ibariki Tanzania!... 🙏🏾
Hawa ni wapumbavu ambao hawajui hata huku Tanzania tunaishije.Mnajidhalilisha sana kwa sababu sisi huku Tanzania hatuwatambui.
 
Teh teh teh teh, wasitukoromee, Kama wanna ubavu waje waandamane Huku. Kwanza watu wenyewe kura hawakupiga kihere here sijui Cha nini.Sisi tuliopiga kura ndiyo tunajua tulimpigia Nani kura. Waache kimbele mbele. Halafu hao sio Watanzania. Waende wakaandamane kwao Oman huko!
Tulia wewee
 
Mlipiga kura?
 
Nje ya mipaka ya Tanzania watafanya chochote, ila humu ndani bado ni mtihani mkubwa sana...

Msije shangaa kesho mkaambiwa ni siku ya usafi alafu wasimamizi ni wanajeshi...

Cc: mahondaw
 
Mmnataka nyinyi manazi wa chadema muandamane kesho kama hatujawapelekea chakula hospital

sent from HUAWEI
 
We mtoto wa Sweden mbona waanza matata?

Si utulie tu ule maisha?
 
Teh teh teh teh, wasitukoromee, Kama wanna ubavu waje waandamane Huku. Kwanza watu wenyewe kura hawakupiga kihere here sijui Cha nini.Sisi tuliopiga kura ndiyo tunajua tulimpigia Nani kura. Waache kimbele mbele. Halafu hao sio Watanzania. Waende wakaandamane kwao Oman huko!
Kaje uquondou iwe.
 
View attachment 1617314

Watanzania tuishio nje ya nchi (TANZANIA DIASPORA) tumeanza kuandamana kupinga UCHAFUZI uliofanyika juzi hapo nyumbani Tanzania!

Hawa ni ndugu zetu kutoka Ulaya ya Kaskazini (Sweden 🇸🇪, Norway 🇳🇴 na Denmark 🇩🇰) ambao tayari wameanza maandamano yao nje ya Ubalozi wetu uliopo Stockholm, Sweden...

Watanzania tuishio nchini hapa Ufaransa 🇫🇷 tunaandaa maandamano hayo kesho Jumatatu, November 2, 2020 nje ya Ubalozi wa Tanzania 🇹🇿 nchini Ufaransa 🇫🇷.

Maandamano yataanza saa 2 asubuhi na kumalizika saa 6 mchana!

Baada ya maandamano, WAZANZIBARI tuishio nchini hapa, kwa kuongozwa na Balozi wetu (BABU MZANZIBARI), tutazindua Ubalozi wetu (Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar nchini Ufaransa)... Ofisi za Ubalozi wetu zipo mitaa ya TROCADÉRO, karibu sana na mnara wa EIFFEL, jijini hapa PARIS...

Kwa niaba ya Wazanzibari wote waishio nchini hapa Ufaransa, mimi, BABU MZANZIBARI, Balozi wa Zanzibar nchini Ufaransa, natumia fursa hii kuwakaribisha ndugu zetu Watanzania waishio nchini hapa, katika uzinduzi wa Ubalozi wetu!

Usafiri, kula, kunywa ni kwa gharama yangu mwenyewe!...

Kwa kauli moja, tumekubaliana kuwa hatuitambui serikali haramu ya John Pombe Joseph Magufuli! Hatuitambui serikali haramu ya Hussein Ali Hassan Mwinyi!

Rais wa Zanzibar tunayemtambua ni Maalim Seif Sharif Hamad aliyechaguliwa na wananchi wa Zanzibar!... Na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunayemtambua ni Tundu Antipas Lissu, aliyechaguliwa na Watanzania!...

Mungu ibariki Zanzibar yenye mamlaka kamili, Mungu ibariki Tanzania!... 🙏🏾
Walikuwa wanataka kujenga daraja Dar to Zanzibar, waliishiaga wapi?
 
Back
Top Bottom