Mtulivujohn
Member
- Nov 2, 2018
- 43
- 17
Hivi nchi yetu iliobarikiwa na mungu kipi tumekosa? Tekomblolewa na kanga la korona la ulimwengu leo hii tunajitafutia mikosi tena Kama mungu ananisikia AIFANYE tz kuwa ya furaha wananchi tupambaneni sjaona Cha kutuingizia barabarani Ni kwel hayo yamefanyika ila je kasi ya maendeleo so ipo sio tunamtaka mtu Bali tuna taka maendeleo tu.
Nchi yangu amani yangu[emoji113][emoji120]
Nchi yangu amani yangu[emoji113][emoji120]