PostGE2025 Watanzania wajitokeza kwa wingi kuomboleza kumbukumbu ya mauaji ya 29.10.2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
29 Oktoba 2025
Your browser is not able to display this video.
 
MUNGU WAPIGE KOFI WALE WOTE WALIO KINYUME NA AMANI NA MAAGIZO YAKO. HIVI CHADEMA MNAJUA NYAKIJOGA NI MWEZI WA NGAPI?
 
Dual za kuku kama machozi ya samaki. Dola ilifanya kazi takatifu kuondoa wahalifu. Wangetaka tenawangetokea tena jana waone. Rais Samia apewe shukran kwa kusimama imara. Wale wa bahati mbaya mpokee na kukubali kazi ya dola. Wahalifu waendelee kusakwa waunganishwe na wale 518. Taifa ni muhimu kuliko wahalifu.
 
Haaa mbona yule juha Tiaatiaah anasema watu hawakujitokeza kwa wingi? Ila Tiaatiaah inatakiwa apigwe mpaka azimie ngoja nile kwanza....
 

Attachments

  • twitter_20210712_210637~2.mp4
    2 MB
Haaa mbona yule juha Tiaatiaah anasema watu hawakujitokeza kwa wingi? Ila Tiaatiaah inatakiwa apigwe mpaka azimie ngoja nile kwanza....
Mimi ishu yangu sio kujitokeza kwa wingi bali watu kukumbuka na kulaani mauaji. Hata CCM wanajitoa akili, wanajua damu ilimwagwa kimakosa.

Kila mtu kaomboleza sehemu alipo nchi nzima. Waombolezaji wangekusanyika sehemu moja ingekuaje?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…