Watanzania wakiwa Gaza wakipika chakula na kugawa

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa watoto na wanawake.

 

Attachments

  • IMG_4998.jpeg
    917.9 KB · Views: 5
Kuhamua ndiyo nini
 
Hata wewe unaweza kuwa Mtanzania lakini asili yako Burundi kwani ukiwa mweusi ndiyo una haki ya kuwa Mtanzania nyie wakimbizi ndiyo mna fikra hizo.
Wangepigwa chapa hawa wengi wangeumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…