Watanzania wakiwa Gaza wakipika chakula na kugawa

Wanaukumbi.

Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa watoto na wanawake.

Yapigwe mabomu yafe mapumbavu sana haya,HAMAS imetuulia ndugu zetu acha na wenyewe wafe kabisa
 
Ujinga mtupu.........wameshindwa kupereka chakula congo,sudan kwenye ukame...........Yemen kwenye utapiamlo.......waweze kwenda Palestina kisa lile sinagogi la wayahudi..........ama kweli alifazilaka pundaka .........hata baada ya kuwaua wantanzania wenzenu bado mko kimbele mbele kutafuta muonekane na nyie mnauharabu wa kuchovya
 
Wanaukumbi.

Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa watoto na wanawake.

441961453_10226524874367456_4701197071607322725_n.jpg
 
Wanaukumbi.

Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa watoto na wanawake.

Kote huko wameenda kufanya nn? Si wangeenda jirani tu Congo au Sudan. Au ni magaidi
 
Back
Top Bottom