Watanzania wakiwa Gaza wakipika chakula na kugawa

Wanaukumbi.

Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa watoto na wanawake.

Nasubiri comment kwa wasiokua waislamu
 
Hayo majitu yasivyo na shukran yanaweza kuwatoa mhanga chap!

Akili zako ndio zinakutuma uamini hivyo, usifikiri hao ni kama wale wanaotoana kafara, wanaojiroga, wanaouwa albino na wezi kuwachoma moto. Pole sana
 
Wanaukumbi.

Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa watoto na wanawake.
Pata picha sasa Watanzania hao hao wangekua Israel.....
 
Wanaukumbi.

Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa watoto na wanawake.
Wahuni hao wamechungulia fursa, yaani nimeona hapa Dodoma gari ina stika eti save palestine hahaha yaani hao wanaangalia wapate maokoto na lazima watapiga mpunga kweli kweli
 
Mbona hawaendi Darfur ambako Janjaweed Arab Militias wanachoma hadi Mashamba ili Waafrika wafe njaa?

5f86a03b-c912-4123-a041-103ae0c2a36e_16x9_1200x676.jpg
2004-06-28T000000Z_1081700801_RP5DRIDAQUAA_RTRMADP_3_SUDAN.jpg

Hao Waarabu wa Tanzania mbona hawaendi Darfur kuwalisha Waafrika wenzetu ambao wanauwawa na Waarabu wenzao?
 
Wanaukumbi.

Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa watoto na wanawake.

Naona kila Taifa, taasisi watu binafsi wanajifichia hapo kwenye wanawake wazee na watoto, hao mnaojifichia hapo na kutaka kupata kura za turufu za huruma waambieni wasiwafiche magaidi pamoja nao vinginevyo wataisha, wakumbuke vita havina macho, bomu sio risasi usema itamchagua mhusika tu.
 
Back
Top Bottom