Watanzania wakiwa Gaza wakipika chakula na kugawa


Nasubiri comment kwa wasiokua waislamu
 
Hayo majitu yasivyo na shukran yanaweza kuwatoa mhanga chap!

Akili zako ndio zinakutuma uamini hivyo, usifikiri hao ni kama wale wanaotoana kafara, wanaojiroga, wanaouwa albino na wezi kuwachoma moto. Pole sana
 
Pata picha sasa Watanzania hao hao wangekua Israel.....
 
Wahuni hao wamechungulia fursa, yaani nimeona hapa Dodoma gari ina stika eti save palestine hahaha yaani hao wanaangalia wapate maokoto na lazima watapiga mpunga kweli kweli
 
Naona kila Taifa, taasisi watu binafsi wanajifichia hapo kwenye wanawake wazee na watoto, hao mnaojifichia hapo na kutaka kupata kura za turufu za huruma waambieni wasiwafiche magaidi pamoja nao vinginevyo wataisha, wakumbuke vita havina macho, bomu sio risasi usema itamchagua mhusika tu.
 
Wadau vipi hiyo ndiyo biriani?
 
Reactions: EEX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…